Kassim Majaliwa: Serikali imetoaTsh. bilioni 15 kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kununua mahindi toka kwa wakulima

mapessa

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
487
1,000
Kupitia kwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeshatoa sh. bilioni 15 kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ili kununua mahindi kutoka kwa wakulima.

“Uzalishaji wa mahindi ni mkubwa lakini na sisi pia tumeimarisha hifadhi yetu ya Taifa ya chakula. NFRA tumeipa fedha za kwenda kununua mahindi kwa bei ya kumwezesha mkulima ili ajikimu hadi msimu ujao. Uwezo si mkubwa sana, lakini tumeipa shilingi bilioni 15,” amesema.
 
Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
1,608
2,000
Bora serikali inafanya kwa vitendo kile ilichowaahidi wananchi wake. Kuliko wale waliokuwa wanawakata wabunge wao mamilioni ya shilingi kila mwezi kwa kisingizio cha kujenga chama na kukarabati makao makuu. Lkn cha kushangaza juzi kati mwenyekiti alilalamika chama kukosa hata hela ya kuwalipa viongozi walio nje ya genge lake, na pia wameshindwa hata kupiga rangi ofisi ili kuwahadaa vizuri waliokatwa hela zao. It's so sad mkuu.
 
Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
3,023
2,000
Hakuna neema hapo mkuu nakupa mfano mdogo tu hapa

Mkoa wa ruvuma umezalisha ziada ya tani lak3 msimu huu lakn NFRA watanunua tani elfu 30

Sasa hapo tan 270000 watanunua wengine kitu ambacho hakiwezekani tan zote kununuliwa na watu watu wa nje yaan private companies

Lazma zitabak tani nyingi Sana

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,274
2,000
Bila wakulima kusimama na kutaka haki yao ya kuuza mali yao popote duniani iheshimiwe hawatainuka kamwe.

Kuuza kwa wakala wa serikali hadi uhonge wakati South Sudan kuna uhitaji mkubwa mno wa mahindi. Mkulima asipokuwa na say kwenye mazao yake atabaki duni milele.
 
rsvp

JF-Expert Member
Dec 13, 2012
877
1,000
Hakuna neema hapo mkuu nakupa mfano mdogo tu hapa

Mkoa wa ruvuma umezalisha ziada ya tani lak3 msimu huu lakn NFRA watanunua tani elfu 30

Sasa hapo tan 270000 watanunua wengine kitu ambacho hakiwezekani tan zote kununuliwa na watu watu wa nje yaan private companies

Lazma zitabak tani nyingi Sana

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wakulima waruhusiwe na wapewe utaratibu utakaowawezesha kuuza mazao soko la nje ya nchi ili wapate zaidi.
Kama walivyotangaza kwamba wananua,vile vile watangaze kuwa wakulima wanaruhusiwa kuuza nje ya nchi ili mwananchi/mkulima awe na wigo mpana wa kujitafutia kipato.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
110,206
2,000
Kupitia kwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeshatoa sh. bilioni 15 kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ili kununua mahindi kutoka kwa wakulima.

“Uzalishaji wa mahindi ni mkubwa lakini na sisi pia tumeimarisha hifadhi yetu ya Taifa ya chakula. NFRA tumeipa fedha za kwenda kununua mahindi kwa bei ya kumwezesha mkulima ili ajikimu hadi msimu ujao. Uwezo si mkubwa sana, lakini tumeipa shilingi bilioni 15,” amesema.
Hii ni serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Hakuna serikali ya Rais.

Kuanzia sasa nakupa fundisho na usirudie tena kuikabidhi serikali ya watanzania milioni 60 kwa mtu mmoja.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
110,206
2,000
Bora serikali inafanya kwa vitendo kile ilichowaahidi wananchi wake. Kuliko wale waliokuwa wanawakata wabunge wao mamilioni ya shilingi kila mwezi kwa kisingizio cha kujenga chama na kukarabati makao makuu. Lkn cha kushangaza juzi kati mwenyekiti alilalamika chama kukosa hata hela ya kuwalipa viongozi walio nje ya genge lake, na pia wameshindwa hata kupiga rangi ofisi ili kuwahadaa vizuri waliokatwa hela zao. It's so sad mkuu.
Pumbaf
 
Bemendazole

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
666
1,000
Mwanzo mzuri. Pia PM aangalie uwezekano wa serikali kui guarantee NFRA ipate mkopo wa riba nafuu kutoka benki ya kilimo ili inunue mazao ya kimkakati mengi zaidi ikiwezekana.
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,837
2,000
Kupitia kwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeshatoa sh. bilioni 15 kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ili kununua mahindi kutoka kwa wakulima.

“Uzalishaji wa mahindi ni mkubwa lakini na sisi pia tumeimarisha hifadhi yetu ya Taifa ya chakula. NFRA tumeipa fedha za kwenda kununua mahindi kwa bei ya kumwezesha mkulima ili ajikimu hadi msimu ujao. Uwezo si mkubwa sana, lakini tumeipa shilingi bilioni 15,” amesema.
Uwezo sio mkubwa ndio ujinga gani huo? Si mngechukua pesa za tozo mkanunulie hayo mahindi kwa wingi zaidi? Njaa sio kitu chankufanyia mchezo kabisa, panaweza kutokea ukame haoa tukatafutana humu, hebu kanunueni hayo mahindi haraka!
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,837
2,000
Inasikitisha Sana wakulima wanalipwa 15,000 kwa gunia la mahindi sawa na 2500 kwa debe/20Kgs; Rejea ITV Jana habari malalamiko ya wakulima Rukwa kwa NFRA.
15k kwa gunia ni kuumiza wakulima na kudidimiza kilimo nchini, walau wangefanya 25k kwa gunia ili kuwatia moyo, not fair aisee. NFRA wafanye marejeo ya bei elekezi.
 
Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
2,804
2,000
Songea hadi wiki iliyopita vituo vilikuwa havijafunguliwa, hizo bilion inaonekana zilikuwa hazijafika...mlio huko kwa sasa hizo bilion zimefika wamefungua NMC??

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom