waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Saint Ivuga

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kuwa 'Mzee Mathias Gwajima' amtaka Dkt. Dorothy kutotumia jina la Gwajima

    Amewataka: : Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu : Dorothy ni mke wao : Amemsifu Ndungulile kwa sababu alitumbuliwa kwa kusimamia ukweli wake kipindi cha meko : Akipata mtu wa kumuelewesha ataelewa ila hawa easily hawafai ni vigeu gemu. : D oroth anasema nilikamatwa na...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Zitto: IGP amemdhalilisha Waziri Gwajima na Rais Samia

    Zitto amesema IGP Sirro anapaswa kujiuzulu maana amekataa kutii amri ya askari wa mwamvuli wa Rais Samia Suluhu kwa kukataa kumkamata Askofu Gwajima. Na kwa kufanya hivyo Sirro amegoma kutii amri toka kwa Rais SSH. Chanzo: StarTV medani za siasa.
  3. Background Check

    JamiiForums Tanzania Waziri Ofisi ya Rais ‘Kazi Maalum’ ana majukumu gani?

    Ndugu, Rejea kichwa cha habari hapo juu, kwa yoyote yule ambaye anaweza kuwa na uelewa ama kufahamu majukumu ya waziri wa Ofisi ya Rais kazi maalum. Nafasi hiyo kwa sasa inashikiliwa na Cap. George Mkuchika. Nimemaliza hivyo ili kufahamu, na kuongeza maarifa. Nimewahi kukutana nafasi katika...
  4. mama D

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima - Huo ndio uanaume!

    Madam Gwajima hoyoooooo Kazi na dawa😃😃😃😃😃😃😃😃
  5. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani unda tume ichunguze SACCOS ya Magereza imejaa dhuluma

    Kwanza saccos hii imejaa watumishi wazembe na wasio na hekima katika muktadha wa huduma kwa wateja. Askari hasa wa mikoani huwalazimu kutoa hadi rushwa ya zaidi ya milioni ili tu wasaidiwe kupata nyaraka muhimu kwa mfano zinazohusu mikopo. Kama huna rushwa ya kuanzia laki tano na kuendelea...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya itafutiwe Waziri mwingine

    Nimeona mtandaoni namna ambavyo Waziri wa Afya ndugu Dorothy Gwajima alipokua anajibu hoja za Askofu Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima na mbunge wa Kawe. Zaidi ya mipasho hakukua na majibu ya moja kwa moja ya kuwashawishi wananchi wakapatiwe chanjo ya UVIKO_19. Kwamaelezo ya waziri...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, jipunguzie kazi kwa kumuweka Makonda au Nape kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani

    Hao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule isipokuwa Rais tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki: Watazuia, kikamilifu na bila uoga, chokochoko zozote zile zenye nia mbaya na hivyo kukupatia pumziko la akili (amani) itakayokuwezesha...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa afya Dkt. Gwajima hana legitimacy ya kubaki kwenye hiyo Wizara

    Nafasi ya uwaziri, tena wa Afya ni eneo sensitive sana, tena kwa kipindi kama hiki ni more sensitive. Kwa kipindi hiki cha mgawanyiko mkubwa wa mitazamo kuhusu chanjo kwenye taifa letu,sio hekima kama waziri,msomi na mtaalamu kuzungumzia mambo binafsi ya mtu mwingine. Hivi work ethics za...
  9. mshale21

    JamiiForums Tanzania Waziri Dorothy Gwajima: "Mume wangu ametest mitambo, kakuta Niko fiti"

    WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema baada ya kuchanja chanjo ya UVIKO-19, mume wake ametesti 'mitambo' kwake na kukuta yupo 'fiti' Ametoa kauli hiyo leo jijini Mwanza alipokagua jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sekou Toure. Amesema...
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

    Waziri wa Afya, Dkt Gwajima leo ameelezea suala askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima kupinga chanjo ya Covid-19 na kudai pamoja na ushemeji walionao haungani na itikadi zake. Pia ameshangaa wanaomuamini akitolea mfano wa Askofu kudai atamfufua Amina Chifupa kitu ambacho...
  11. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atuondolee Waziri Gwajima na Msaidizi wake Dkt. Mollel, wana utoto mwingi na wanatusumbua hivi sasa

    Kwani hi Chanjo ni jambo kubwa sana kama nchi iko vitani vile? Kwanini wanakomalia sana as if hakuna shughuli nyingine za kufanya? Wananuka shombo na kama vile wananchi wamewachoka. Hawa viongozi wana utoto mwingi na wanasababisha ukakasi kwenye hili suala la chanjo. Kuna wakati wangekaa kimya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: "Nawaagiza Polisi na TAKUKURU" - Hii kauli kutamkwa na waziri ni sahihi?

    Kwa wale wajuzi wa itifaki na mambo ya chain of command naomba mnielimishe katika hili. Mungu ni mwema wakati wote!
  13. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima akicheza Ngoma ya Egumba akiwa ziarani Musoma

    Pichani chini: Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Dorothy Gwajima akicheza Ngoma Ya Egumba Akiwa Katika Ziara Ya Kikazi Kutembelea Chuo Cha Maendeleo ya Jamii Buhare Musoma.
  14. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Mary Masanja

    Huyu ndio Naibu Waziri wetu wa Maliasili na Utalii, Mh. Mary Francis Masanja! Najua wengi mlikuwa hamumfahamu
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa atangaza zabibu kuingizwa kwenye mazao ya kimkakati

    WAZIRI MKUU ATANGAZA ZABIBU KUINGIZWA KWENYE MAZAO YA KIMKAKATI Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa amesema zao la zabibu litajumuishwa katika mazao ya kimkakati ikiwa ni mkakati wa serikali kuinua zao hilo linalolimwa jijini Dodoma. Kutokana na hatua hiyo, zabibu zitajumuishwa katika...
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waziri Gwajima anaficha taarifa ya Dkt. Sospeter Bulugu kuzidiwa ghafla wakati akitoa hotuba?

    Kuna video clip inazagaa kwenye social media ikimuonyesha Mwamba mmoja (simfahamu) ila seems ni miongoni mwa watu walikua kwenye list ya watoa speech kwenye lile kongomano LA Covid-19 akishindwa kuongea (huenda aliaanguka)! Kabla ya kupata msaada video clip hio haionyeshi kilichoendelea ila...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Chamuriho uliahidi kutangaza tenda ya ujenzi wa Barabara ya Itoni (Njombe) - Lusitu (Ludewa), mbona kimya?

    Mheshimiwa waziri ukiwa pale Luponde Mkoani Njombe, wakati ukitokea Ludewa watu walikusimamisha na kukueleza adha wanayopitia kutokana na barabara kuwa mbovu na wewe uliuona uhalisia na ukaahidi kuwa mwezi wa tano mtatangaza Tender ya kuanza ujenzi wa barabara ya Njombe-Ludewa-Manda kwa kujenga...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenister Mhagama acha kutudanganya Watanzania, Vifo vya UKIMWI havijawahi kupungua Tanzania

    Vifo vya UKIMWI vyapungua Tanzania. Matumizi ya dawa za kufubaza VVU yameongezeka kutoka 95% mwaka 2016 hadi 98%, 2019, vifo vitokanavyo na UKIMWI vimepungua kutoka 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000, 2020 na maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto yameshuka kutoka 18% mwaka 2010 hadi 7% mwaka 2020 -...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini tukimbize mbio za Mwenge kipindi hiki cha COVID-19?

    Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende. Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani? Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
  20. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo za nje wa Kenya amewasili Mogadishu kwa mazungumzo na jirani

    Hakuna nchi ambayo Kenya imekuwa na mahusiano hasi nayo kushinda Somalia. Nafurahi kuona hatua zikichukuliwa na pande zote mbili kurudi mezani na kufanya mazungumzo. Mazungumzo ni muhimu katika kuleta upatanisho kati ya nchi hizi mbili.
Back
Top Bottom