Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa rai kwa Vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo kupitia sekta mbalimbali zikiwemo Kilimo, Maliasili, Utalii, Ujenzi, Uchukuzi, Mawasiliano, Nishati, Madini, Viwanda na Biashara.
Amesema hayo leo akiwa katika Kongamano la Tano la Taifa la Uwezeshaji...
Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abiy Ahmed ameapishwa kwa muhula mwingine wa miaka mitano. Miongoni mwa Wakuu wa Nchi waliohudhuria uapisho ni kutoka Nigeria, Senegal na Somalia
Serikali ya Abiy ambaye alichaguliwa kuwa Waziri Mkuu kwa mara ya kwanza mwaka 2018 inakabiliwa na changamoto mbalimbali...
Mwaka mmoja uliopita
Sasa anatumi za kukodisha
Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi!
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu, tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka.
Swali ni hili, Amefuata nini?
WATOTO WETU WOTE WATAINGIA FORM 1 MWAKA HUU HATUNA SECOND SELECTION TUMEJENGA MADARASA YA KUTOSHA RAIS AMETOA 842 BILIONI alisikika kiongozi mmoja akinadi kwa bashasha na masham sham sera za Chama
Huyu mama Maajar ni miongoni mwa Waanzilishi/Wamiliki wa kampuni ya REX ATTORNEYS na hiyo kampuni ya uwakili ndiyo inayoiwakilisha Symbion na Dowans katika kesi zao dhidi ya TANESCO.
Halafu unatoka hapo unamteua huyo mtu kuwa mjumbe wa bodi ya TANESCO, huoni kuna mgongano wa Maslahi hapo...
Idadi ya wanajeshi wanawake nchini ni ndogo sana. Wizara hii ni kama ni ya kiume zaidi katika muundo wake. Wanaume ni zaidi 90% ya askari wote. Kuwawekea Waziri mwanaume ni sawa na Wizara ya wanawake, jinsia na watoto kumteua mwanaume awe Waziri wao. Hii haifanyiki hata huko Marekani na...
Godfrey Kazinda ambaye alikua mhasibu ofisi ya Waziri Mkuu wa Uganda amekutwa na hatia ya ubadhirifu wa dola milioni 26.4 (Sawa na Tsh. Bilioni 61.16) zilizotolewa na serikali ya Ireland, Sweden na Denmark
Kazinda alitumia fedha hizo kukaa hoteli kubwa kwa miezi 10 na kuishi maisha ya anasa...
Kinachonishangaza ni kuona ndugu yangu huyu ambaye naamini ni msomi wa sheria leo anaamua kugeuka makusudi mbele ya umma wa watanzania bila hata kuogopa na kuzingatia maadili ya kazi yake.
Nataka niulize swali, hivi si ndio huyu huyu Simbachawene alikuwepo wakati wa kutunga katiba mpya awamu ya...
DKT. SAMIZI ASHIRIKI VYEMA ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA, ASHIRIKI UPANDAJI WA MICHIKICHI.
Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma Mhe Florence George Samizi ameshiriki vyema ziara ya Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa anayoifanya mkoani Kigoma iliyoanza Septemba 16, 2021.
Katika ziara hiyo...
Nimesoma taarifa kuwa waziri Makamba atafukuza watu umeme ukiendelea kukatika nimejikuta nasema 'yale yale'..
Makamba mashabiki wake wanampamba Sana kama mtu mwenye akili na Presidential material lakini cha ajabu anakuja na kauli zile zile za kufukuza watu..
Kalemani alikuwa anafukuza na...
kama kuna wanasiasa vijana nchi hii ambao mimi binafsi nawakubali sana kutokana na uwezo wao wa kiakili, wewe ni namba moja mheshimiwa. iko hivyo kwangu muda mrefu tu. na si mimi tu, kuna wengine tu wanaouona umaridadi wako pia......ushahidi upo ulipoingia katika kinyang'anyiro cha uraisi na...
Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho.
Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi.
Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara moja.
Rais Mohamed Abdullahi Mohamed amemuondolea Waziri Mkuu, Mohammed Hussein Roble, Madaraka ya kuajiri na kufukuza kazi Watumishi akidai Kiongozi huyo amekiuka Katiba.
Amesema kusitishwa kwa madaraka ya Waziri Mkuu kutaendelea hadi baada ya kumalizika Uchaguzi. Kitendo hicho kinaendelea...
YAH: CHANGAMOTO YA KUONGEZEWA GHARAMA ZA KAZI YETU ZA KUBEBA ABIRIA KUTOKA OFISI YA MKURUGENZI YA MANISPAA YA SUMBAWANGA
Mh. Waziri Mkuu,
Sisi ni madreva tunaoendesha magari madogo ya abiria maalum kama Hiace yanayofanya safari kuanzia Sumbawanga kwenda wilaya za Mkoa wa Rukwa ambayo ni...
Serikali ya Haiti imeendelea kuingia kwenye sintofahamu baada ya Waziri Mkuu, Ariel Henry kumbadilisha Waziri wa Sheria, Rockfeller Vincent
Pia, Afisa wa Juu amejiuzulu akisema hawezi kumtumikia Kiongozi anayeshukiwa kuhusika kwenye mauaji ya Rais Jovenel Moise
Henry amekana kuhusika katika...
VIVA TANZANIA | VIVA UVCCM
UZINDUZI WA UVCCM GREEN CUP KITAIFA,
KAMBARAGE-SHINYANGA18/9/2021
__________________________________
MGENI RASMI : MH WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MJUMBE WA KAMATI KUU CCM TAIFA MIZENGO PINDA AKIAMBATANA NA MHE KENANI KIHONGOZI KATIBU MKUU UVCCM-TAIFA
KARIBUNI SANA...
Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo
Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa
Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa...
baraza
baraza la mawaziri
january
january makamba
kuapishwa
kuteuliwa
makamba
marketing
mawaziri wapya
nishati
oil
rais samia
samia suluhu
stergomena tax
tanzania
waziriwaziri wa ulinzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.