wazee

Wazee Lake is a lake east of Black River Falls, Wisconsin, in the town of Brockway, Jackson County, Wisconsin, United States. The name "Wazee" means "tall pine" in the Ho-Chunk language. The artificial lake is the deepest lake within the state of Wisconsin, with a maximum depth of approximately 355 feet (108 m). The man-made lake was formed after the site was used as a quarry for taconite mining between the mid-1960s through April 1983. The quarry produced about 850,000 tons of taconite pellets each year. The mine closed in 1983 as a result of a crash of the domestic steel markets in the United States. When the mine was in operation, pumps removed about 800 US gallons (3,000 L; 670 imp gal) of water per minute from the quarry. Once these pumps were shut down, the quarry began filling with water.
The lake is now part of a county park known as Wazee Lake Recreation Area. The lake is a prime scuba diving destination because of its deep, clear water. Visibility averages between 30 feet (9.1 m) and 40 feet (12 m) during the summer months. There are also visible remains of mining operations underwater, such as roadways used for hauling equipment. Some features have been added to the lake, such as underwater platforms for training divers and fish cribs to improve habitat for the fish. Fish species within the lake include rainbow, brook, and brown trout, bluegills, suckers, catfish, walleye, warmouth, and smallmouth bass.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya acha vijana wa sasa wadharau Mila za Wazazi na Wazee wao

    KWA MAMBO HAYA ACHA VIJANA WA SASA WADHARAU MILA ZA WAZAZI NA WAZEE WAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana wa sasa wanaonekana kama hawana maadili lakini ukilinganisha na wazazi au Mababu zao utakuja kugundua vijana wa sasa wana maadili kuliko wazazi na wazee wao. Taikon katika...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bahati Ndingo AWAKATIA BIMA Wazee 1,000

    MBUNGE BAHATI AWAKATIA BIMA WAZEE 1000 Katika kuadhimisha siku ya wazee Duniani mwaka huu, Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Kanali Denis Mwila amesema Serikali itaendelea kuthamini mchango wa wazee ikiwa ni pamoja na kutafuta utatuzi wa kero zinazowakabili ikiwemo katika sekta za afya. Mkuu wa Wilaya...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani

    Ikiwa leo ni siku ya Wazee ya Kidunia ,, Kitaifa jambo hilo linawakilishwa na Wazee wa Chadema (BAZECHA) , hii ni baada ya Wazee wa vyama vingine kugeuka Chawa wa Watawala , na linafanyika Zanzibar , Tayari Mwamba wa Siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe amewasili Zanzibar kwa ajili ya...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hurumia wazee waliolitumikia taifa kwa uaminifu leo wanalipwa Tsh 3,000 kwa siku

    Raisi wangu Samia naandika post hii nikiamini kwa huwa unapitia jukwaa hili kama siku moja ulivyotwambia. kama siyo wewe kuusoma mwenyewe basi naomba wasaidizi wako wakufikishie ujumbe huu. Kuna wazee wastaafu waliolitumikia taifa hili kwa uaminifu, na unajua kuwa huko myuma hapakuwepo ujanja...
  5. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kati ya AZAM na STAR TIMES, ipi itakayowafaa wazee wangu kijijini?

    Si mpenzi wa mpira wala vipindi vinavyofanania mpira, n.k., labda wajukuu wake, lakini siweki kwa ajili yao ila bibi yao. Mlengwa anapendelea vipindi vya kwaya na mahubiri ya Kiswahili na "movies" zenye maudhui ya Kiafrika, hasa ya Kitanzania, lakini zinazozingatia maadili . Nilishajaribu...
  6. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Tanesco Mngesubiri Watu Wajiandae Waende Makazini Angalau, Mnakata Umeme Mtu Akiwa na Mapovu Bafuni Wazee...?

    Hata salamu sitoi. Kiukweli hii sio sawa aisee mmeamua kutushindisha bila ya umeme na kutulaza bila ya umeme sawa haina shida, ila kwa asubuhi angalau mgekuwa mnakata japo saa 2 kamili wazee. Kuna sehemu zina baridi na watu wanatumia heater kuoga, sasa mtu ameshajipaka sabuni hata hajaanza...
  7. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Umekwishalipa Fadhila Kwa Waasisi wa CCM, Sasa Fanya Kazi Yako Kama Rais

    Halina ubishi teuzi zote za akina Nape Nnauye, Makongoro Nyerere, Januari Makamba, Ridhiwani Kikwette, Halima Bulembo, Maharage Chande, Vita Kawawa na wengineo wengi zilikuwa ni kulipa fadhila kwa wale wanaoitwa "waasisi wa CCM." Wateule wote hao hapo na wengine wengi lazima waepita kwa JK au...
  8. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Vuguvugu la elimu Katiba Mpya, wazee waweka ngumu

  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyo sasa baada ya kumfuma mwamba akilia mbele ya wazee na mkewe ili asiachwe!

    Nimefadhaika, nimehuzunika, nimekasirika, nimeshangaa, nimechoka na nimekata tamaa kabisa!! Yaani jamaa analia 'live' mbele ya wazee waliokuja kusuluhisha mgogoro wao na mkewe ambaye anadai talaka aondoke.........analia huku amempigia magoti mkewe (huku wazee wakishuhudia) akimsihi asiondoke...
  10. Elon J

    JamiiForums Tanzania Simu yangu inaingiza Apps bila ridhaa yangu (bila kudownload), shida ni nini?

    Aisee, simu yangu inaingiza ma apps ya aina mbalimbali kama vile ma games n.k bila ridhaa yangu (bila kudownload). Mfano Kuna Aapp inaitwa Ayoba kila nikiifuta nikiweka MB tu inarudi tena. Kuna muda nikiweka MB zinaisha faster kwasababu ya kujidownload kwa hizi apps. Wazee wa IT shida ni nini...
  11. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimebaki na Tsh. 10,000/- tu baada ya kupokea mshahara, nifanyaje?

    Wasalaam ndugu zangu, aisee ama kweli pombe sio chai. Juzi Ijumaa katika mazingira yetu ya kazi wakatuzingatia ile posho ambayo tunayoipataga kila ufikapo mwisho wa mwezi, sasa hizi posho zinazaombatana na weekend sio nzuri kabisa ndugu zangu. Sasa si nikaenda kulewa! Nimeamka Jumaatatu leo...
  12. Majok majok

    JamiiForums Tanzania ANGALIZO: Wazee wa kubadili gia angani mseme mapema kama El Merekh ni timu bora ama mbovu

    Hatutaki baadaye kuja na zile swaga za kushiba makande ya mchana na kuanza kuangalia upepo umelalia wapi ndio mnaibuka! Inatakiwa tujue mapema hii timu ni ya aina gani ili kusudi tuweke kumbukumbu sawa. Kuna wale vijana wa Mwenyekiti Rage washasema ndio mwisho wa Yanga, hawatoboi kutokana na...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kazi na dawa, chimbo gani zuri kwa hii wkend?

    Ijumaa ndio hii, inakaribia kuishia. Maisha ni kufurahi na marafiki, sio kila siku kuwaza kununua matofari tu; kuwekeza mwilini kwa kuupa furaha ni muhimu zaidi. Wako wapi wazee wa kale, waliishi miaka mia mbili, wengine miaka mia tisa, sasa wako wapi? Kwa sababu tunaishi mara moja, muhimu...
  14. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania 80% ya wazee wetu walishindwa kujitafuta na kujipata

    Ndiyo wakuu, hii ni nyingine tena kutoka kwa Mwizukulu mgikuru ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa vijana wengi tunapitia joto ya jiwe, moja ya mambo yanayotufanya dunia tuione chungu ni hili la wazee wetu, unakuta kijana anahangaika kujijenga lakini bado pia ajenge na kule alipotoka. Kama...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wazee wapenda taarifa ya habari ni wambea sana

    Ni kuwa wazee wengi huwaambii kitu kuhusu taarifa ya habari. Kipindi chake pendwa kwenye TV ni taarifa ya habari. Ukweli ni kuwa mapenzi yote ya taarifa ya habari ni sababu ya umbea na majungu tu. Anataka akifika kazini apate cha kusimulia wenzake. Waziri fulani hivi, mbunge fulani vile...
  16. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Wazee wa zamani mlijua kutunyoosha

    Mimi ni kijana Ambae Kwa kiasi kikubwa asilimia 75 ya maisha yangu Hadi kufikia hapa nilipo fikia nimelelewa na mababu zangu, na toka enzi hizo Hadi hivi sasa nathamini sana mawazo ya wazee na Huwa nayaenzi Kwa vitendo {alale mahali pema peponi BABU yangu}. Leo nataka niwape Siri ya ile LAANA...
  17. Street brain

    JamiiForums Tanzania Mungu ni mwema lakini usiende kucheza muziki na chui

    Wazee wanasema, "Mungu ni mwema lakini usiende kucheza mziki na chui". Nikweli kuwa Mungu anatupenda, ila anapenda pia tutumie akili zetu vyema. Kuna vitu ameshatuonesha kwamba ni hatari, tujitahidi kutumia akili alizotupa na kwa neema yake ataendelea kutusaidia kwa pale tunaposhindwa. Kumbuka...
  18. Street brain

    JamiiForums Tanzania Ukikosa mtu wa kukupinga kuna hatari ya kuwa mbaya!

    Wazee wanasema, "Ukikosa mtu wa kukupinga kuna hatari ya kuwa mbaya." Mti unaota bila mpango unaweza ukawa dhaifu kwasababu ya matawi mengi! Ni vizuri kukubali kukosolewa! Wala usitengeneze uadui na wale wanaokukosoa. Watumie kujipruni ukue vizuri washangae. Asiyekosolewa ni Mungu tu...
  19. Street brain

    JamiiForums Tanzania Meno anayotumia mbwa kucheza nawe ndio hayo yatakayotumika kukuuma ukimkanyaga mkia

    Wazee wanasema "Meno anayotumia mbwa kucheza na wewe ndio hayo hayo yatakayo tumika kukuuma utakapo mkanyaga mkia". Waweza kuumizwa na mtu ambaye unampenda mnoo mpaka ukashangaa na kujiuliza hivi ni huyu huyu kweli amenitendea hivi? Kile unachokipenda sana chaweza kukuumiza sana vile vile...
  20. Street brain

    JamiiForums Tanzania Barabara ya kuelekea kwenye mafanikio siku zote ipo kwenye ukarabati

    Wazee wanasema "barabara yakuelekea kwenye mafanikio siku zote ipo kwenye ukarabati". Daima kazana kujitahidi kutimiza malengo yako, isifikie mahali nakujiona sasa nimefika, siku zote tupo kwenye mapambano. Unaweza kutumia njia ikakufikisha kwenye malengo lakini kumbuka utakutana na binadamu...
Back
Top Bottom