Wazee wa delivery kuweni makini na utapeli huu unatrend sana

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
2,330
2,283
Kwa wale wenye biashara ya kupelekea mteja alipo hata kama ni kwa garama zake kuwa makini.

iKO HIVI.
Anakuja mteja siku ya kwanza mnafanya biashara vizuri kwa 100% hapo kwa mfanyabiashara lazima atengeneze imani na mteja wake ambeye anamzoom na kumset akae kwenye line.

Mnabadilishana mawasiliano yenu kwa miadi ukipata mzigo mwingine/mzuri nicheki tufanye biashara. Hapo lazma uingie choo tu step inayofuata. Mfano biashara ya mchele, simu, mayai n.k

Tutumie mfano wa biashara ya mchele

Siku unapata mali anayotaka mteja unamcheki anakubali kuichukua akijua ww huwez kufunga biashara kwa sababu yake mwenyewe, anakupanga sasa... "mpe boda/ toyo unaemwanini aniletee arudi na pesa yako" sawa boss
Unampakia mzigo unampa mawasiliano dereva anaenda anakutana na tajiri njiani akisubiri anapakia wanaondoka wote. Dereva mgeni eneo hilo tajiri anaagiza shusha gunia 5 hapa ni stoo yangu hizi nyingine tupeleke dukani.

Zinashuka na toyo inasonga mbele kukunja kona tajiri anaomba kushuka ili atoe hela kwenye kibanda cha wakala. Anazuga kidogo kukupoteza. Kibanda kipo karibu na uchochoro anazama hapa na kutokomea. Kushuka tajiri humuoni simu haipatikani tena.

Kurudi kule ulikoshusha gunia 5 akasema stoo hayupo na gunia hazipo... Unaachwa mjini tayari, dereva na boss mnaanza kutafuta mchawi.

Usifanye biashara kimazoea wala kuamini amini watu, dunia imebadilika sio kama zamani.

USHAURI WANGU KWA WAFANYABIASHARA WA DELIVERY

Kama umepata mteja wa kupelekewa bidhaa...
Hakikisha mnakutana eneo la wazi
Hakikisha amekulipa ndio umkabidhi mzigo
Usiruhusu akupe point 2 wakati makubaliano ni point moja tu
Usimpe mteja gape baada ya kumpatia bidhaa atakutoroka
 
Ngeni kwa wapenda stry na hampo ground
Mnajifanyaga mnajua sana, miaka ya 2006/7 ilikuja DECI watu wakapigwa, ni miaka mingapi imepita bado watu wanapigwa style zilezile hadi mwaka huu watu wamepigwa na Kalynder!?,mtu kaleta thread kuwasanua watu unajifanya unajua sana eti unamuuliza nani hajui huo utapeli!?,kwani wajinga mjini wanaisha!?.., mbona Kila siku watu wanatapeliwa kwa style zilezile za zamani!?,wakati mwingine ni busara kukaa kimya tu.
 
Huu utapeli unafanana na huu..sio mgeni,kuna meneja wa hotel alipigiwa simu na mteja ambaye alifikia hotel hapo siku za nyuma kulala..sasa yule mteja akamwambia meneja amwekee booking ya chumba anakuja kulala, halafu akamwambia kuna mzigo (mchele) wake ataletwa hapo hotelini auhifadhi. Mzigo ukaletwa ukahifadhiwa baada ya muda yule mteja akapiga simu bla bla kibao kuwa huo mchele kuna mtu ataufuta aupeleke unakotakiwa kwenda...kweli baada ya muda ule mchele ukafuatwa....mida ya jioni meneja wa hotel anashangaa watu wanakuja kusema mchele ulioletwa hapa wanamtafuta mtu aliyesema uletwe hapa kwasababu simu yake haipatikani. Duuh ndio ikagundulika kuwa jamaa alifanya mchezo kama huo...alimhadaa muuza mchele kwa staili hiyo
 
Mnajifanyaga mnajua sana, miaka ya 2006/7 ilikuja DECI watu wakapigwa, ni miaka mingapi imepita bado watu wanapigwa style zilezile hadi mwaka huu watu wamepigwa na Kalynder!?,mtu kaleta thread kuwasanua watu unajifanya unajua sana eti unamuuliza nani hajui huo utapeli!?,kwani wajinga mjini wanaisha!?.., mbona Kila siku watu wanatapeliwa kwa style zilezile za zamani!?,wakati mwingine ni busara kukaa kimya tu.
Point ya kutapeliwa hvo ni ya kizamani sana, everything is open sana, kwenye kusema tunasema, sio kwamba ni ujuaji. Yaani na kabisa unakuja na mfano una udraft hapa wa deci, unaijua deci ww, nani amefanya kna deci siku za karibu? Nani?
Wte wamekuja na njia tofauti sio kma deci, lete mfano.
Huo utaperi labda sumbawanga huko au kigoma, sio mikoa ya sasa? Na hta huko huwataperi kipuuzi hvo washamba😂😂😂.
Mshamba nn ww....
 
Una ubishi wa kitoto
 
Huo utaperi labda sumbawanga huko au kigoma, sio mikoa ya sasa? Na hta huko huwataperi kipuuzi hvo washamba.
Mshamba nn ww....
Wajuaji kama wewe ndio mnapigwa tena kishamba sana. Punguza utoto
 
Mie Juzi nimefanya malipo na mzigo ni mkubwa na aina ya usafiri ni Bodaboda.

Nilienda mpk dukani.. nikalipia.. ikabaki kazi ya kuufikisha huo mzigo eneo husika.

Ikabidi itumike boda maana ndio bei nafuu..

Nikawa na wasiwasi wa kupigwa.. nilichofanya ni kuwarekodi kwa siri kuanzia muuzaji mpk boda na chombo chake namba za usajili na nikakusanya namba za simu kimya kimya bila ya wao kubaini.

Then nikawa huru. Just ikitokea utapeli wowote najua wapi pa kuanzia. Ila uzuri mzigo ulifika kwa uaminifu mkubwa.
 
Mnajifanyaga mnajua sana, miaka ya 2006/7 ilikuja DECI watu wakapigwa, ni miaka mingapi imepita bado watu wanapigwa style zilezile hadi mwaka huu watu wamepigwa na Kalynder!?,mtu kaleta thread kuwasanua watu unajifanya unajua sana eti unamuuliza nani hajui huo utapeli!?,kwani wajinga mjini wanaisha!?.., mbona Kila siku watu wanatapeliwa kwa style zilezile za zamani!?,wakati mwingine ni busara kukaa kimya tu.
Asante mkuu, huenda nae TAPELI kwa hiyo hajafurahua nilivyoleta hapa😂😂
 
Inasikitisha sana...
Kuna mfanyabiashara kapigwa trey 200 za mayai kwa aina hii hii...
Amefanya biashara vizuri na mteja wake ila akaishiwa mayai mteja akaomba ni lini anashusha mzigo mana mayai yake yalikuwa makubwa afu alikuwa bei chini kuliko wauzaji wengine.

Kesho yake jamaa akashusha mzigo akampigia simu, mteja akaoda trey 300 ziende ofisini kwake Ilala, toyo ikaenda mpaka ilikoagizwa, kufika mteja akadai ashushe trey 200 hapo kisha 100 ziende Magomeni kwenye ofisi yake nyingine mana ndio hela ilikua huko, jamaa akashusha trey 200 na 100 zikaenda Magomeni.

Amefika Magomeni simu haipokelewi 🤔🤔 kurudi Ilala hakuna mayai na wa kumuuliza hayupo.
 
Kuna mfanyabiashara kapigwa trey 200 za mayai kwa aina hii hii...
Amefanya biashara vizuri na mteja wake ila akaishiwa mayai mteja akaomba ni lini anashusha mzigo mana mayai yake yalikuwa makubwa afu alikuwa bei chini kuliko wauzaji wengine.

Kesho yake jamaa akashusha mzigo akampigia simu, mteja akaoda trey 300 ziende ofisini kwake Ilala, toyo ikaenda mpaka ilikoagizwa, kufika mteja akadai ashushe trey 200 hapo kisha 100 ziende Magomeni kwenye ofisi yake nyingine mana ndio hela ilikua huko, jamaa akashusha trey 200 na 100 zikaenda Magomeni.

Amefika Magomeni simu haipokelewi kurudi Ilala hakuna mayai na wa kumuuliza hayupo.
Daaah hao wahuni ni atarii
 
Back
Top Bottom