Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.
LHRC (2020) "Kwa kipindi cha miaka 5 matukio ya ukatili wa kingono, ubakaji na ulawiti dhidi ya watoto yamekuwa yakiongezeka. Tangu mwaka 2015 hadi 2019 jumla ya makosa 36,940 ya ubakaji na ulawiti yaliripotiwa katika Vituo vya Polisi. "
LHRC (2020): "Kwa mwaka 2020 ni makosa 45 tu kutoka Mikoa...
Inasikitisha mno,
Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake.
Wakati haya yakiendelea.
Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini.
Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna.
Lakini wanapotaka...
Wote tunajua ndoa ni jambo la kheri kimila na kidini, kutokana na malalamiko kuwa vijana wanashindwa kutambuana, sio mbaya kwa mfano baba ambaye huwa anahangaika maeneo mbalimbli, endapo atamuaona kijana ambae anaamin ana tabia nzuri, amawambie kuwa amuoe bint yake, na kama mzazi ana uwezo pia...
Wataalamu wa #Malezi wanatuambia ni muhimu kuwapa watoto elimu ya afya ya uzazi ili kuwaepusha na madhara kama kujihusisha na kujamiiana wangali wadogo, mimba za utotoni, ndoa za utotoni na kupata magonjwa ya zinaa.
Lengo kuu likiwa ni kuwawezesha watoto kujilinda na kujitunza ili waendelee...
Acheni kusomesha watoto kozi za kustafia bali wasomesheni kozi ambazo zinaweza watengenezea bilioni of money.
Kozi za kustafia
VS
Kozi za kutengeneza bilioni of money. Utanielewa tu jaribu kufanya access matajiri wakubwa duniani wamesomea nini, achana na matajiri hawa wakibongo na Afrika...
Na kama tukiamua 'Kuwakazia' tutaishia Kuwachapeni sana 'Bakora' na huenda hata hizi Pesa zenyewe tusiwe tunawapeni vile vile na hakuna cha Kutufanya.
Haiingii Akilini Mtoto umeenda Kumtembelea Wiki Mbili tu zimepita Leo hii anakupigia Simu na Kukuambia sijui kaishiwa Vitabu mara sijui kaibiwa...
Mahakama ya Rufani leo October 13, 2021 imetupilia mbali mapingamizi ya mtoto mkubwa wa Reginald Mengi dhidi ya maombi ya mapitio ya kesi kutoka kwa Jacqueline Ntuyabaliwe.
Awali Abdiel mengi na Benjamin Mengi walimuwekea pingamizi la awali la kisheria Jacqueline wakiiomba mahakama iyatupilie...
Sahau Tozo, sahau machinga, sahau COVID-19Hatari mpya inayowakabili watoto na wajukuu wetu ni Superman mpya ambaye ni shoga.
Ushaur;
Serikali yetu ingetunga Sheria mathubuti za kuzuia vikaragosi hivyo visionyeshwe wala kufanya mijadala kama hiyo.
Maana wazung wanaweza sema ni haki ila ni kwao...
Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili amesema wazazi wote ambao hawatawapeleka watoto wa kike shule watachukuliwa hatua.
Akizungumza kwenye hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani yaliyofanyika kiwilaya katika mji mdogo wa Ilongero wilayani Singida, amesema...
Wazazi na walezi wameaswa kuwatafutia njia mbadala watoto wao wa kike ya kujikwamua kiuchumi inapotokea kukatishwa ndoto zao kwa kushindwa kuendelea na masomo kwasababu mbalimbali ikiwemo kubebeshwa mimba.
Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili alitoa wito huo wakati akizungumza...
Ni biskuti nzuri toka katika kampuni ya bakemate inayoitwa Kreme-E! Imetengenezwa na kuwa Imported from India.
Taste yake ni ya pekee ikiwa katika flavors mbili tofauti:
1.Chocolate
2.Orange
Ina ujazo na ladha nzuri zaidi compared na ambazo ziko madukani kama Royal, Cremelo na zinginezo, 82g...
Nimewaza ili swala pasipo kupata majibu kwa wilaya yakaratu inaongoza kua na wanawake wengi kuliko wanaume lakini asilimia kubwa hawana muda na wanaume wazawa hivyo asilimia kubwa ya wanaume wazawa ndio wanaoshika namba ya ubakaji hususani ya watoto wadogo.
Nimepiga mahesabu kwa miaka mitatu...
Kufuatia ripoti kuhusu Watoto kukimbia Shuleni, Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesisitiza Chanjo dhidi ya COVID19 zitatolewa na wenye umri wa zaidi ya miaka 18 pekee
Ameeleza, "Hakuna mtoto aliye chini ya miaka 18 ambaye atachanjwa. Na hawa wa miaka 18 na kuendelea watachanjwa kwa hiari...
1. Mtoto mtulivu, mkarimu
Huyu ni mtoto anayewaamini wazazi na watu wanaomzunguka. Utulivu wake unasababishwa na kujiona yu katika mazingira salama na hivyo hana wasiwasi. Kutokuwa na wasiwasi kunamfanya asiwe mgomvi wala msumbufu na hivyo hana tabia kulia lia bila sababu. Kulia kwa watoto mara...
Mfanyakazi wa zamani wa Facebook, Frances Haugen amewaambia Wabunge Nchini Marekani kuwa App za Kampuni hiyo kuleta athari kwa Watoto.
Facebook ni Mtandao wa Kijamii unaotumika zaidi duniani, ikiwa na watuamiaji wapatao Bilioni 2.7 kwa mwezi. Mamilioni ya watu pia hutumia WhatsApp na Instagram...
Shirika la UNICEF limesema Mtu 1 kati ya 5 wenye umri wa miaka 15 - 24 duniani husema ana Msongo wa Mawazo. Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka.
Imeelezwa, kila mwaka Vijana wapatao 45,800 hupoteza maisha kwa kujiua, sababu ambayo imetajwa kuwa ya 5 kwa vifo vya...
Mkazi wa kijiji cha Busanda kata ya Busanda wilayani Geita Unice Kulwa(25) na wanawe wawili wamepoteza maisha baada ya kukosa hewa kutokana na kuingiza jiko la mkaa alilokuwa akipikia maharage kwenye nyumba waliyolala.
Mbali na vifo hivyo pia baba wa familia hiyo Kulwa Kamili amenusurika kifo...
Pamoja na wazazi wengi kuwasajili watoto wao shule za mbali na wanakoishi ili sababu ya ubora wa hizo shule ukweli ni kwamba wamekua wakiwatesa sana watoto wao.
Fikiria mtoto wa Dar es salaam anaishi pugu, gongo lamboto, kibamba, mbagala, toangoma halafu anasoma bunge primary, diamond au...
Rais Samia kujenga madarasa mapya manne ( 4 ) katika kila ilipo shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Watoto wote 1M wa kidato cha kwanza nchi nzima kuanza shule Siku moja ambayo ni tarehe 06|01|2021
====================================
Tanzania inajumla ya shule za sekondari 5,143 hii...
Amen, T.G.I.F, wale wenzangu na Mimi wapenda weekend tunaijua ile feeling ya Ijumaa,
Natumaini mpo salama, nimejikuta najiuliza hichi kitu maana ni situation ambayo nimekutana nayo sana kwa watu wengi, kuna ile namna unahisi kabisa kwamba kwenye familia yetu yenye watoto kadhaa, kuna kipenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.