Utafiti: Wazazi wenye watoto wa kike ni rahisi sana kuachana kuliko watoto wa kiume.

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,451
17,155
Utafiti uliofanyika huko Marekani na Netherlands kuanzia miaka ya 80 unaonyesha kwamba wazazi wenye watoto wa kike ni rahisi sana kuachana kuliko watoto wa kiume.

Sababu inaonyesha kwamba ni rahisi kulea watoto wadogo wa kiume kuliko wa kike.

Utafiti unaenda mbali zaidi na kusema talaka inakua rahisi zaidi kama mtoto wa kwanza akiwa ni wa kike.

Zaidi soma hapa mwenyewe.
 
Bd sijaamini kbsa na sitakaa niamini eti
ila daa ukipata mtoto wa kike bana heee kazi unapata nzuri mshahara mzuri....maisha yanakuwa rahisi mnoo kila kitu ukitaka unapata...safari za nje wee utachoka weye....halafu vya kike vina upendoooo!! Mpaka roho inauma sana kukaacha ni ngumu.....huwaga vinaita dadiiii...sasa hako katoto mwache uone!! Kila kitu kina kata. Bora umuibe umwache mama yake...halafu mke ni mke tu hata akiwa mdogo....
 
Back
Top Bottom