watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Una swali lolote kuhusu ugonjwa wa saratani kwa watoto?

    Tarehe 4 na 15 Februari ni siku za maadhimsho ya siku ya Saratani na Siku ya Saratani kwa Watoto ulimwenguni. Lengo la maadhimisho hayo ni kuokoa maisha ya mamilioni na kuepusha vifo vinavyoweza kuzuilika kila mwaka kwa kuongeza ufahamu na elimu kuhusu saratani ya utotoni, pamoja na kushinikiza...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Madai ya watu kuishi Hifadhi ya Ngorongoro na wanyama pori kuwa ni kuvutia utalii ni ujinga

    Hivi karibuni kumezuka mijadala mingi juu ya uwepo wa zaidi ya watu zaidi ya laki Moja kuishi hifadhi ya Ngorongoro kuwa ni njia Moja wapo ya KUVUTIA UTALII ni ujinga na upuuzi usio vumilika hata kidogo. Tumeshudia Waandishi wa habari Maulid Kitenge na Oscar Oscar Mzee wa Kaliua wakiwa...
  3. Mwananchi wa chini

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa Kiafrika ni Wajinga.?

    Thread Hii kwa Hisani ya DK YAHYA MSANGI (PHD)-WEST AFRIKA. Ukiishi na wazungu utabaini jinsi vitoto vina uelewa. Na ndio maana wengi hupata digrii ya kwanza kabla hajavuka Miaka 18. Miaka 25 tayari wana PhD! Watoto wa kiafrika digrii ya kwanza sio chini ya Miaka 25! PhD inasomwa uzeeni...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dk. Anna Makakala, utoaji Pasipoti kwa vijana wa Kitanzania unaambatana na fogery Kwasababu maafisa wako wanalazimisha watoto wetu kudanganya

    Moja ya Kiongozi Mwanamke aliyeweza kufanya mabadiliko makubwa ya utoaji huduma na kupanua uwazi Kwa wateja ni Kamishna Jenerali wa UHAMIAJI. Ametumia elimu yake kufanya mabadiliko makubwa na amefanikiwa kuzifanya huduma za UHAMIAJI ziwe kwenye mtandao kama nchi za ulimwengu wa kwanza. Kwa...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mamia ya watoto watoweka jela nchini Syria

    Mamia ya wavulana wametoweka kwenye Gereza la Kikurdi nchini Syria ambalo linawazuia wapiganaji wa Kundi linalojiita Dola la Kiislamu - IS na familia zao. Hii ni baada ya wanajeshi wa Kikurdi wanaoungwa mkono na Marekani wakipigana na wanamgambo wa IS kwa siku kumi ili kuikomboa jela hiyo...
  6. Kiturilo

    JamiiForums Tanzania Wasimamizi wa mirathi ya Mengi wagoma kuhudumia watoto, waburuzwa mahakamani

    Mirathi ya marehemu Dkt Mengi imezua balaa baada wasimamizi wake kuburuzwa mahakamani kwa tuhuma za kukataa kuwahudumia watoto wa Mengi aliozaa na Jacqueline Ntuyabaliwe. Kesi hii imefunguliwa ikiwa mke huyo mdogo wa Mengi akiwa amezuiwa kukanyaga Kilimanjaro hata kwenda kusafisha kaburi la...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hakuna baba ambaye hataki kuona watoto wake wote wanamtii, wanamheshimu na wanafanikiwa, tukubali tu kuwa kuna mapungufu

    Habari! Hapa nazungumzia hawa miungu au Mungu maarufu duniani ambao mafundisho yao yameenea sana. Dini hizi zilizoonea sana zinasema kuwa Mungu ni; - Baba(mzazi) -Muweza wa yote -Yupo kila pahali -Anajua yote --Muumba -Mwenye huruma. *****Atakayewachoma moto watu wote wasiomtii na watenda...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwenu watoto wa kiume, Mapenzi ya baba kwako utayatambua ukianza kujitegemea na kuhama kwenu, huenda utaona hata yale ya mama hayafikii

    Mama ni moyo ana mapenzi ya dhati yaliyovuka mipaka kwa mwanae, leo hii hata mama yako ukimwambia unataka kuwa msanii hata kama hujui kuimba atakupa sapoti, mapenzi haya kwa mtoto kuna muda huwa yanapofusha kushindwa kuona uhalisia. Baba ni kichwa, mlinzi na mtafutaji, leo hji ukimwambia...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nimechoka watoto wangu kusomeshwa 'eat more, the slogan say' kila siku!

    Mimi nimesomeshwa hilo, yaani kila teacher wa lugha niliyokutana nao ktk kipengele cha poems basi hapo ndo Kimbilio. Mengine ni: A freedom song Development n.k Miaka zaidi ya 15 baadae, watoto wangu nao habari ndo hiyo hiyo; eat more, the slogan say! Hv watunzi wameishaaa au? Wataalamu wa...
  10. wazanaki

    JamiiForums Tanzania Swali tunaloshindwa kujibu na kuwaelezea watoto wetu na kizazi kipya

    Wakuu, kuna story nyingi positive zinazowahusu waafrika. Kuna nyingine zinadai kua waafrika walikua powerful sana, sikatai, hili tunaweza lithibitisha hata sasa hv kwenye wakati huu. Kua waafrika wanafit kila sehemu kuanzia kwenye michezo hadi ubunifu na uwezo wao mkubwa wa kuhimili magonjwa na...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania UN: Watoto 2,000 waliotumikishwa kijeshi Yemen waliuawa vitani

    Ripoti mpya ya wataalam wa Umoja wa Mataifa imeeleza kwamba takriban watoto 2,000 waliosajiliwa na waasi wa Kihouthi wa Yemen kuwa wapiganaji, walifariki vitani, kati ya Januari mwaka 2020 na Mei mwaka 2021. Ripoti imeeleza zaidi kwamba waasi hao wanaoungwa mkono na Iran, wanaendeleza kambi za...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete achaguliwa kuishinikiza Taliban kurudisha watoto wa kike shule

    Ndio maana mataifa makubwa kama US huwa wanaidharau hii United Nations na mpaka kutishia kuacha kuchangia... Sasa Kikwete masikini ya Mungu eti anatumwa aka negotiate na Taliban kurejesha watoto wa kike shule akiwa kama mwenyekiti wa Global Partnership for Education. Mtu atakaepata mkanda wa...
  13. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Utachukua hatua gani ukigundua watoto unaolea siyo wa kwako?

    Habari za muda huu wapendwa...bila shaka sote tuwazima wa AFYA. Maisha ya kimapenzi yamejawa changamoto na vitimbi vya kila aina. Mara nyingi wale tuliowapenda na kuwathamini ndio wanaotuletea vunjiko la moyo na maumivu yasiyoisha. Wahenga wanasema kuwa lisemwalo lipo kama halipo laja...
  14. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Nguruwe wangu amezaa lakini maziwa hayatoki na watoto wanahangaika njaa. Nifanye nini?

    Tafadhali naomba nisaidiwe kwa yoyote mwenye kufahamu, Kuhusu chakula sio tatizo ninakitabu kinaniongoza namna nzuri ya uchanganyaji chakula cha nguruwe. Natunguliza shukurani, Thnx.
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Amuua mjamzito na watoto wawili kwa deni la Tsh. 100,000

    JESHI la Polisi mkoani Rukwa limemkamata Philipo Vincent (22) kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata mapanga mjamzito na watoto wake wawili. Jeshi hilo limesema wakati wa kumhoji, mtuhumiwa huyo alidai kuwa alikuwa anamdai mjamzito huyo gunia mbili za mahindi. Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Rukwa...
  16. evangelical

    JamiiForums Tanzania Wamachinga kuwekwa kundi moja na wanawake watoto na walemavu ni matusi kwao

    Nimesikia kwamba wamachinga wamewekwa kwenye wizara inayoshughulikia wanawake,wazee, watoto na kundi Maalumu (walemavu). Nafahamu kuna baadhi ya wamachinga wachache ni walemavu na wanaweza kufall kwenye hiyo wizara kusaidiwa. Nafahamu pia sio walemavu wote hawajiwezi kuna baadhi yao wachache...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtoto ana haki ya kujua asili yake. Wamama msiwafiche Watoto Baba zao

    MTOTO ANAHAKI YA KUIJUA ASILI YAKE. Anaandika Robert Heriel. Hakuna sababu yoyote inayozuia na kumnyima Haki mtoto kuijua Asili yake. Mtoto lazima amjue Baba yake mzazi, Mtoto lazima ajulishwe mama yake Mzazi. Hiyo ni Haki ya Mtoto. Mtu ili ajitambue lazima atambue asili yake. Mtu ambaye...
  18. Carleen

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye watoto wa kike, utajisikiaje ama ulijisikiaje siku binti yako anaolewa?

    Hi guys, Hope mpo sawa, Nimefikiria hili jambo baada ya juzi kuwa kwenye shughuli flani ya send-off ya rafiki yangu, na kumuona baba yake mzazi akilia machozi yaani ile lia huku anajikaza na kuficha, wakati Mama yake alikuwa tu sawa usoni, ya moyoni siyajui! Nilizoea kuona wamama ndiyo huwa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hadi Januari 2022, ni 51.6% tu ya Makao ya Watoto yaliyokidhi vigezo na kupata leseni. 229 yanaendeshwa kinyume cha taratibu

    20 Januari, 2022, Dodoma. Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum inatoa siku 30 tangu tarehe ya tamko hili hadi tarehe 18 Februari, 2022 kwa Makao ya watoto yasiyo na leseni kuwasilisha maombi ya usajili katika Halmashauri husika kuboresha huduma muhimu zinazohitajika...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watoto wetu wa Siku hizi 'wamerogwa' au 'wamelaaniwa' na nani hasa kimalezi, kiuwajibikaji na kimaadili?

    Yaani kabisa (Mtoto) Mvulana au Msichana wa Darasa la Tano hadi la Saba anafuliwa Nguo zake, anaamshwa kwenda Shule, akila anaacha Vyombo mezani House Girl avitoe na anaamshwa Asubuhi kujiandaa kwenda Shule? Na kinachonishangaza na Kunisikitisha zaidi unakuta Wazazi Wao kipindi cha Utoto...
Back
Top Bottom