watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watoto ni wageni katika ndoa yenu, hawana Mkataba na ninyi!

    WATOTO NI WAGENI KATIKA NDOA YENU; HAWANA MKATABA NA NINYI Ni Yule Mtibeli, Robert HERIEL. Hawakukuomba uwazae, hwakukuomba uwe Baba au mama Yao, hawakuomba lolote lile. Na kamwe hukujua Kama ungewazaa watoto wa namna hiyo, na hata wao hawakujua Kama wangezaliwa na mtu Kama wewe. Labda Kama...
  2. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Hivi huu Mshahara wa UN mpakampenzi wako na watoto wanalipwa?

    Heshima kwenu wakuu. Well, nimekuwa nikiskia tu kuwa unapofanya kazi UN mpaka mchumba/mpenzi/mke wako nae ana lipwa kila mwisho wa mwezi. Leo katika pitapita nikawa napita kwenye website ya UN kuangalia Salaries, Allowances, Benefits and Job Classification nikaona hii kitu hapa...! Hii ina...
  3. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania CAG: Watoto wa Masikini wapigwa chini mikopo elimu ya juu, Watoto wa matajiri wala bata

    Hakuna wa kumlaumu kama kwa %kubwa wasiojiweza wamekosa mikopo ili hali wanavigezo. Kwani Mama Mwenye nyumba alishasema " hata watoto wenye uwezo nao wanufaike mikopo" yote hayo ni kupindua mambo aliyofanya Past President kwajuhudi alizokuw akifanya. Na kwasababu alitamki ulitegemea board...
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Avunjwa miguu baada ya kukutwa kwao na binti akitafuta watoto

    Benard Mkolwe wa kata ya Madilu Mkoani Njombe amepigwa na kuvunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa akiwa na Sarah Mgohole (18) nyumbani kwao ambako alimfuata kwa lengo la kufanya mapenzi ikiwa ni siku yao ya kwanza tangu waanze uhusiano wiki 2 zilizopita. Chanzo Millard Ayo
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Watoto wa mtaani wa Arusha

  6. N

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini kufuta kumbukumbu za matukio mabaya kwa watoto wangu?

    Salaam wakuu Miaka michache iliyopita nilipitia mambo mengi kwenye ndoa ambayo nikiri kuwa hayakuwa mazuri kwa ukuaji wa watoto wetu kisaikolojia. Watoto walishuhudia nikipigwa mara nyingi sana, nikitukanwa au kusemwa vibaya. Na hata kuna wakati ugomvi ukitokea chumbani walikuwa wanakuja...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unapoongoza elewa kuwa wewe ni kiongozi tu! Tabia za kufokeana Kama watoto peleka Kwa watoto wako nyumbani

    Kwema Wakuu! Kuna viongozi wakipewa dhamana wanarukwa sijui na akili, wanafoka foka, kufokeana watu wazima ni kudhalilishana tu. Hakuna aliyekulazimisha uteua mtu, Kama mtu kaboronga fukuza kazi, sheria zingine zifuate. Sio kupewa tuu uongozi unajifanya mkoloni ndani ya nchi, na kuwabagaza...
  8. papag

    JamiiForums Tanzania Wanawake msikae kimya kwenye ndoa kwa unyanyasaji kisa watoto

    Maisha yako ni bora sana kuliko ndoa. Watoto watakua tu. Ukiona dalili hatarishi chukua hatua haraka kwani hakuna spea za uhai wako. REST IN PEACE MAMA WA EKUWEMEE!
  9. Mwanakulipata

    JamiiForums Tanzania Filamu ambazo hutakiwi kuangalia na watoto, unaweza kuangalia na mpenzi wako

    Hizi hapa baadhi ya Movie ambazo hutakiwi kuangalia na watoto, au kama upo na mwenza wako unataka movie Colour Of Night The Dreamers Intimacy Nymphomaniac In The Realm Of The Senses Kiss And Kill Loving White Girl Love Darker Shades Of Elites Illicit Desires Spread Mother's Job Double Lover...
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wazazi kuweni makini na watoto wenu hasa wa kiume

    Inasikitisha sana kuona wazazi wanazaa tu kisha kuacha watoto wajilee wenyewe. Dunia ya sasa imeharibika, hii imetokea juzi nikiwa nimelala zangu mchana majira ya saa saba, nikiwa kwenye usingizi mzito nasikia sauti ya mtoto mdogo akilalama aachiwe. Sikutilia manani nikahisi huenda labda naota...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kenya yawapa wanaume haki ya kulea watoto wa chini ya miaka tisa

    Mahakama nchini Kenya imeamua kuwa wanaume wanaweza kupewa malezi ya watoto walio chini ya miaka tisa. Mahakama inasema wajibu wa mzazi haufai kwenda kwa wanawake moja kwa moja ikiwa watoto wako katika umri mdogo. Chini ya sheria ya Kenya, akina mama mara nyingi hupewa haki ya kuwalea watoto...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Urusi vyawalenga watoto wa Rais Putin

    Marekani imesema inaamini Mali nyingi za Rais wa Urusi, Vladimir Putin zimefichwa na Wanafamilia. Kauli hiyo inakuja kufuatia vikwazo vipya vilivyotangazwa dhidi ya Watu wa karibu wa Putin wakiwemo Mabinti zake wawili Taarifa ya Marekani imemtaja Katerina Vladimirovna Tikhonova kama Mkurugenzi...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Familia yakamatwa kwa kuozesha watoto wa miaka 12 na 16

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linawashikilia watu saba, wakiwamo wanafunzi wawili wa Shule ya Msingi Kitarungu Wilayani Sereni kwa tuhuma za kuhusika kufanikisha ndoa ya wanafunzi hao wenye umri wa miaka 12 na 16 kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibushubwamu alisema...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua mfumo wa usafirishaji wa dharura wa Wajawazito na Watoto Wachanga (M-Mama)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano Aprili 06, 2022 anatarajia Kuzindua Mfumo wa Usafirishaji wa Dharura wa Wajawazito na Watoto Wachanga (M-MAMA). Uzinduzi wa Mfumo huu muhimu katika kuwasaidia Wajawazito na Watoto Wachanga unafanyika kwenye Viwanja vya...
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Uingereza Kupambana Na Usafirishaji Haramu Wa Watoto

    Tanzania na Uingereza zimekubaliana kuweka mikakati ya pamoja kupambana na usafirishaji haramu wa binadamu wakiwemo watoto hasa maeneo ya mipakani. Hayo yamebainika Aprili 04, 2022 jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Vicky Ford...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wanaowakataa watoto damu zao waliowazaa nje/kabla ya ndoa kuna kitu wanakijua ambacho sisi hatukijui

    Wanaume wanao wakataa watoto damu zao walio wazaa kabla ya ndoa au nje ya ndoa Kuna kitu wanakijua ambacho sisi viherehere tunao wakubali Na kuwalea watoto wa nje/kabla ya ndoa hatukijui. Please fungukeni wakuu ni kitu Gani hicho mnacho kijua ambacho sisi wengine hatukijui
  17. K

    JamiiForums Tanzania Serikali Ya Mtaa Tupieni Jicho Kundi kubwa la watoto wanaoishi Daraja La Kijazi

    Tunaomba wahusika wa mtaa lilipo Daraja La kijazi( Ubungo Mataa) Mtupie jicho kundi kubwa la watoto waliofanya makazi yao eneo la Daraja. Ni Muda sasa watoto hawa wanalala maeneo ya Daraja na wanafanya shuhuli nyingi ikiwemo kupika. Kwa wale wanaoenda Makazini asubuhi nadhani mnajionea watoto...
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Watoto wanataka kuishi na Baba ambaye aliachana na Mama yao baada ya kuanzisha mahusiano na Mwanaume mwenziye

    Kuna rafiki yangu mmoja amekutana na changamoto za kifamilia. Yeye ni singo maza, ila huwa tunapeana kampani na ushauri mbalimbali pale panapohitajika. Waliachana na mumewe, miaka saba iliyopita na walifanikiwa kupata watoto wawili wa kiume; ambao kwa sasa mmoja ana miaka 13 na mwingine 9...
  19. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Iringa: Marufuku watoto chini ya miaka 9 kupanda bodaboda

    Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoani Iringa, kimepiga marufuku watoto chini ya umri wa miaka tisa kupanda bodaboda. Mkuu wa Kitengo hicho, ASP Yusuph Kameta amesema ni kosa kisheria kwa mtoto chini ya umri huo kupanda bodaboda. Hata hivyo, wazazi na walezi wengi ndio wanaoongoza kuwapakia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kununua gesi na mafuta kwa Rouble: Putin awafanya mabeberu Kama watoto wadogo

    Kulikuwa na kisa kimoja kuwa mama mmoja alikuwa na watoto watatu. Kati ya hao wawili ni watoto wa kambo na mmoja ni WA kwake. Huyu mama alinunua machungwa mawili huku akitaka mtoto wake apate chungwa Zima lakini wale wa kambo wagawane chungwa moja nusu kwa nusu!! Ili kuwadanganya Hawa watoto wa...
Back
Top Bottom