watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Equation x

    Watoto wazuri wapo?

    Natamani kesho niwe Mwanza kwa ajili ya kushangaa mawe, samaki, pamoja na ziwa, lakini bado kupata connection; vipi wakuu watoto wazuri wapo huko?
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Hakuna mwanaume Mgane. Wanaume tujipange

    HAKUNA MWANAUME MGANE"ALIYEFIWA NA MKE AU NA WATOTO: JIPANGE. Anaandika Robert Heriel. Andiko hili maneno yake yamepimwa yakathibitika. Ni amini na kweli. Sijaandika kumuumiza yeyote, wala kumfurahisha yeyote. Nimeandika haya Kwa ajili ya wanangu iwe wa kuwazaa mwenyewe au wakufikia, au...
  3. beth

    Marekani yaidhinisha Chanjo ya Pfizer kwa Watoto wa miaka mitano hadi 11

    Taifa hilo limeidhinisha Chanjo dhidi ya COVID19 ya Pfizer/BioNtech kwa Watoto walio na umri wa miaka 5 - 11, ikielezwa Wataalamu wamebaini ina ufanisi wa 91% katika kuzuia Ugonjwa huo kwa Watoto Kwa mujibu wa Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa (CDC) Marekani imerekodi maambukizi takriban...
  4. JF Member

    Loan Board mnatutesea Watoto. Jitahidini kwenda na muda

    Nashauri kama hari ndio hii basi vyuo visiwe vinafunguliwa hadi pale Loan Board inapokamilisha ugawaji wa mikopo na kuhakikisha kila anayestahili kupata amepata na kisha kutangaza kufunga dirisha la kupanga mikopo. Wanafunzi wanateseka hawajapewa mikopo/accommodation huku masomo yameshaanza...
  5. Emanuel Eckson

    CDF yawaweka pamoja Makamishina na Makamanda wa Polisi nchini kujadili Ukatili wa Watoto

    MAKAMANDA wa Polisi nchini wameagizwa kupanga watu sahihi kwenye madawati ya jinsia na kuacha kupanga watendaji wagonjwa na wajawazito ili kupunguza kasi ya ongezeko la matukio ya udhalilishaji wa wanawake na watoto kwenye jamii. Aidha aliwataka baadhi ya watendaji wa madawati hayo kuacha...
  6. M

    INAUZWA Nguo mtumba za watoto zinauzwa elfu 3000 tu

    Karibuni mjipatie mtumba mzuri kwa bei ya jumla ya shilingi elfu 3 tu ukichukua nguo kuanzia 20.. Rejareja ni elfu 6 ... Namba kwa mawasiliano zaidi ni 0738664971 Ukurasa wangu wa instagram ni bnl_clothes_shoes_bags
  7. Nsennah

    Mtoto mchanga wa wiki mbili anapata maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa

    Habari madoctors!! Mwanangu ana wiki mbili toka azaliwe lakini ameanza kupata changamoto ya maumivu akitaka kujisaidia haja kubwa maana kanalia kakitaka kunya na pia hadi makalioni kamekuwa na rangi ya uwekundu. Naomba mwenye experience na hili suala anisaidie.
  8. S

    Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar

    Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es salaam. ===== CCM yapiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia mjini CHAMA Cha...
  9. guojr

    Wazazi na Serikali tuangalie maadili ya watoto wetu Vyuo vya Kati

    Kama wazazi au walezi tunapenda watoto wetu wapate elimu ili iwasaidie maishani mwao. Ila kuna hili jambo la wazazi na walezi kupeleka watoto wao kusoma kwenye hivi vyuo vya kati hasa hivi vinavyotambulika kama vyuo vya mipango ambavyo vipo mikoa mbalimbali. Watoto hawa wengine wakiwa chini ya...
  10. MabatiBeiNafuu

    Tamaa za pesa zimetuponza Simba, tumesajili kimhemko. Sijasikitika sana

    Wakuu hii Simba ukiangalia ni mbovu sana hairidhishi hata kuiangalia. Hata tuliposhinda kule Botswana wala sikufurahia jinsi timu ilivyocheza. Hii timu haionekani hata ikitafuta ushindi. Tulicheza vibaya sana na timu ilionekana kuelemewa basi tu bahati ilikuwa kwetu. Kocha ameshindwa hata...
  11. Miss Zomboko

    Mbunge ashauri Serikali kuweka mtaala wa kufundisha Watoto kalenda ili kuzuia Mimba za Utotoni

    Dodoma. Mbunge wa Kigoma Kusini nchini Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nashon Bidyangunze ameshauri Serikali kuweka mtaala ambao utawafundisha watoto kufahamu vyema kalenda. Nashoni ameyasema hayo Oktoba 24, 2021 wakati akizungumza katika semina ya kuangalia namna bora ya kuboresha...
  12. ESPRESSO COFFEE

    Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

    Ni Simba Sports Club Dhidi Ya Jwaneng Galaxy Fc Kutoka Botswana. Baada ya Mechi Iliyopita Simba Sc Kuibuka na Ushindi wa Goli Mbili Bila Ugenini, Leo Jwaneng Galaxy Wanakuwa na Kibarua Kizito mbele ya Miamba ya Soka Afrika Simba Sc kuhakikisha Wanapata Ushindi Wa Goli 3 bila Dhidi ya Wenyeji Wa...
  13. msakhara

    Unaamini majina yanaathiri watoto kama tunavyoyapa uzito?

    Kumekua na dhana ya muda mrefu ya kwamba jina analopewa mtu huwa lina athiri haiba yake. Hii inapelekea watu kuwapa watoto wao majina yanayoambatana na watu waliofanikiwa ili wafanikiwe pia. Lakini pamoja na hayo nimekua nikiona kunabaadhi ya watu hawaendani na majina. Mf. unakuta mtu anaitwa...
  14. Chakorii

    Hivi ile michezo ya watoto wa enzi hizo sasa hivi bado ipo?

    Habari zenu jamani. Natumaini nyote mko salama kabisa. Mimi niko poa kabisa😊😊 Turudi kwenye mada. Hivi mnajua michezo ya zamani ilikuwa inahimarisha akili na ubongo kwa kuwa mwili unakuwa unafanya kazi? Mdako Ukicheza mdako lazima utumie akili ya namna ya kumfunga adui yako. Hapo unacheza...
  15. mfichuamambo

    Wazazi, watoto wanafanyiwa vitendo vichafu kaeni na watoto muongee nao

    Wamama wa JF na wababa jamani hebu kaeni na mpate muda wa kuongea na watoto utajua mengi sana Mimi mwanangu wa kiume ni mtundu anasoma darasa la 5 ana miaka 11 na mwingine wa kike aliyemfuatia anasoma darasa la 3 Lakini mimi watoto wangu huwa nawakagua kabisa Huyu wa kiume huwa namkuza kiume...
  16. THE FIRST BORN

    Only Men: Ulivyokua school Watoto wakike walikua wanakupendea nini?

    Wakuu Poleni na Majukumu ya kutwa Nzima! Leo nimekumbuka Life la school lilivyokua na hasa Inshu ya Mapenzi, nilivyokua natesa watoto wa watu because nilikua kichwa class halafu Handsome, then mtu flani mkimya Pisi ikija naila kiwepesi halafu sitangazi hata kwa wahuni wenzangu. Nikawaza sana...
  17. D

    Ukiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva kwenye Nyumba yenye Watoto watukutu basi kuna mawili

    Ukiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva na kuning'inia kiasi cha kuvutia kwenye nyumba ya watoto watukutuku au shule basi tambua kuna haya mawili; 1. Huenda Mzee mwenye mwembe ni mkali sana au Mchawi 2. Maembe ni machungu balaa yasiyolika hata kwa chumvi! Kwa mfano ule ule utumie pia unapoona...
  18. Nduka Original

    Wenye watoto wa kike tuwafundishe hivi

    Kwa wale wenye watoto wa kike tuwaonye kuhusu kupiga mizinga wapenzi wao. Yani kuna demu nimemu approach hatuna wiki na wala hatuja sex tayari leo kanipiga mzinga wa 1.5m eti anadaiwa kodi ya nyumba yani imeshakula kwake nimempiga block;.
  19. Miss Zomboko

    Je, wajua umuhimu wa lishe bora katika makuzi ya watoto?

    Wataalamu wa #Malezi wanatueleza kuwa Lishe bora ina mchango mkubwa katika ukuaji na ustawi bora wa mtoto kwani hujenga afya na akili ya mtoto. Lishe bora hujumuisha mchanganyiko wa vyakula vya protini kama kuku wa kienyeji na mayai yake, vitamini yaani mboga za majani na matunda, wanga kama...
  20. Miss Zomboko

    UN: Watoto 10,000 wameuawa katika vita ya muda mrefu ya Yemen

    Zaidi ya watoto 10,000 wameuawa au kujeruhiwa nchini Yemen katika vurugu zinazohusiana na vita vya muda mrefu katika taifa hilo masikini. Msemaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na watoto, UNICEF, James Elder, amewaeleza waandishi wa habari kwamba takwimu zilizothibitishwa na Umoja...
Back
Top Bottom