BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,704
- 6,499
Watu wengi wakisikia International School Ada ni million 40 wanawaza sasa hawa watoto watafanya kazi gani ili i pay back.
Hizi shule ukichunguza sana hata ufundishaji wao utagundua utofauti, hata likizo zao huwa ni ndefu sana, Summer Holday zao ni ndefu Balaaa.
Hizi Shule Watoto sana sana wanatoka na vitu vikuu Vitatu.
1. Exposure, kuna Exposure ya kutosha hapa, kwa sababu ya safari zao nyingi sana zisip isha, na huwa wana Ziara mbali mbali nyingi tu hasa nje ya nchi, na huwa wana mashindano yao pia ya hizi International Schook, huko kote mtoto anapata Exposure ya kutosha kabisa ya kuja kuitumia baadae.
2. Networking, Hii ndo Faida kubwa nazani kuliko zote ya hizi shule, Hizi shule unakuta kuna watoto wa wafanya Biashara wakubwa kabisa, watoto wa Viongozi wakubwa wa ndani na nje ya nchi, hapa kuna network huwa inatengenezwa, hizi huja kuwadaidia baada ya kumaliza masomo yao na kuingia mtaani, hawa kwa sababu wametokea Familia za kitajiri huwa kutupana kufungiana vioo, kuoneana wivu havipo kabisa.
3. Confidence, ukija kwenye Swala la Confidence mtoto wa primary kwenye International School anamzidi mbali mno kwa confidence mtu anaye chukua Masters yake pale UD au kokote kule, Vijana wana confidence acha kabisa na hii inachagizwa pia na aina ya ufundishaji na pia zile Exposure na kadhalika.
Hivyo vitu vitatu ndio sana vinatafutwa kwenye hizo shule na wala sio ajira ingawa pia wapo wanao ajiriwa.
Ukiona mtoto kasoma hizo shule na kashindwa maisha basi ana matatizo mengine, lakini kwa walio serious kutoka huwa ni rahisi sana.
Wewe unasoma na Mtoto wa Leopard Tours, au mtoto wa MO au Mtoto Marehemu Mengi, au una soma na Mtoto wa Waziri fulani au Mtoto wa Mfanya biashara mkubwa kule Kenya au Uganda au Rwanda, unaweza vipi kushindwa maisha?