watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge aishauri Serikali jinsi ya kudhibiti Watoto wanaochezea Kondomu Mwanza

    Mbunge wa Ilemela (CCM), Dk Angelina Mabula ameitaka Serikali kujenga uzio katika Shule ya Msingi Kitangili iliyopo mkoani Mwanza ili kuokoa maisha ya watoto wanaochezea kondomu katika uwanja wa mpira. Akiuliza swali la nyongeza bungeni leo Jumanne Aprili 23, 2024, Dk Mabula amesema eneo hilo...
  2. JamiiForums Tanzania Watoto wa maskini waende wapi kuenjoy?

    Jana nilienda coco, parking fees imehamia hadi kwenye boda, Tena Kuna watu Kama wawili sijui ni maaskari wake, maana wako na redio calls kabisa,ni mi wakali balaa. Zamani kulikuwa na jamaa ukitaka Unaenda kupaki kwake na Kama hutaki utajua mwenyewe, kakae na pikipiki yako Kama ni takwa la...
  3. JamiiForums Tanzania Jaribio sahili unaloweza kulifanya na watoto kutengeneza upinde wa Mvua

    Habari wana JF, Leo ninawaleteeni sayansi ya upinde wa mvua. Hivi unafahamu ni kwa vipi upinde wa mvua hutokea? Na ni kwa nini watu wakiona upinde wa mvua husema bila wasiwasi kwamba "mvua haitanyesha, si unaona li upinde la mvua lilee" Naandika mada hii baada ya kusikia kisa cha bodaboda wa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa baba watoto Lakini siyo mume

    Mimi ni mwanachama mtiifu wa timu KATAA NDOA, lakini nataka niwe baba watoto. Kampeni nishaianza tayari. Juzi kuna mdada kajifungua mtoto wa kiume. Muda huu nimetuma nauli kwa mdada mwingine ambaye ana hamu ya kuwa na mtoto. Hivyo anakuja kukaa siku 3 kwenye geto langu kwa lengo moja...
  5. JamiiForums Tanzania Manispaa ya Ilemela mnataka maafa ya vifo vya Watoto kama Arusha barabara ya Pasiansi - Kiseke?

    Kuna hii barabara ambayo inatokea Pasiansi sokoni kupitia Taqwa Sekodari Lumala kwenda Kiseke yenye urefu usiozidi km 1.5 lakini muhimu sana kwa matumizi maana ni eneo lenye wakazi wengi. Barabara imeharibika sana na ina msongamano mkubwa wa magari hasa mabasi ya wanafunzi ambayo yanawahisha...
  6. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Chakula tunaomba ufafanuzi kuhusu cerelac za watoto

    Nimesoma kwenye taarifa za kimataifa nchi nyingi zikilalamikia kampuni ya nestle inayozalisha maziwa ya watoto Nido na cerelac kwamba celerac inayouzwa India na Afrika wameweka sukari nyingi Sana ambayo sio sawa kwa vichanga. Sijajua hizo products ndo zilizopo pia Tanzania au hizi zilizoingia...
  7. JamiiForums Tanzania Kiwewe kimezipata nchi za kiarabu. Huku Iran akiahidi kuanza na vituo vya nyulia vya Israel. Viongozi wao wapigiana simu kama watoto

    Wakati maelfu ya wapalestina wakiuliwa kama kuku,viongozi wa nchi za kiarabu walipiga kimya na kula biriani zao wakiona hayo hayawahusu. Hata diplomasia zao na kulaani kulikuwa kwa njia za kinafiki. Baada ya kumfanya Netanyahu ajiamini kupiga apendapo na kuamua kuipiga Iran na Iran nayo...
  8. JamiiForums Tanzania Israel yapanga kumalizia hasira zake kwa watoto, wakina mama na walemavu huko Rafah

    Niaje waungwana Baada ya kipigo cha makombora madogo tu yalioshindwa kuzuiwa na nchi zaidi ya 8 zinazojifanya super power duniani, Israel imeamua sasa kujibu kipigo hicho kwa kupanga mipango ya kwenda kuvamia mji wa watoto, wanawake na wazee wasiojiweza ili kuhadaa umma na kuitoa dunia katika...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Je, viongozi kama Mwigulu wanavyoanza kuwaandaa watoto wao kushika madaraka wanatamani uongozi wa kiimla?

    Dkt Mwigulu Nchemba hivi karibuni alifanya ziara yake Wilayani Iramba na karibia sehemu zaidi ya kumi mwanae Isaac Mwigulu Nchemba alipata nafasi ya kuhutubia. Sehemu zote hizo mwanae huyo alikuwa amevaa mavazi mazuri sana ya CCM yenye gharama kubwa. Hakuna sehemu aliyotembelea aliyoonekana...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Vifo vya watoto wa shule Arusha: Mabasi ya shule yapewe vipaumbele barabarani

    Kifo ni kifo lakini vifo vya wahanga wa ajali hii, looh! Mtu usemeje? Watu wazima waliokuwa kwenye gari lile waliotoka salama, wanacho nini cha kumwambia nani leo? "Kwa hakika mtu mzima aliyekufa na watoto wale akipambana kuwakoa alifanya yote yaliyokuwa sahihi." Hawa watu ilikuwa muhimu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Baba, tumia mapumziko Yako ya week-end kwa kukaa na wanao.

  12. JamiiForums Tanzania Wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto, kuwa makini kama umezaa na mwanamke ambaye hauishinaye

    Kwa wewe ambaye umezaa na wanawake/ mwanamke ambaye hauishinaye inakupaswa ufahamu wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto kuliko wababa. Kama hauna maelewano mazuri na huyo mwanamke uliyezaanaye usitegemee watoto watakuja kukutambua. Nafahamu sio wababa wote ambao hawatoi huduma...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia alikuwa Arusha kuhudhuria miaka 40 ya Sokoine: Je, kwa nini kapotezea Msiba mkubwa watoto wa shule kuzama kwenye Maji?

    habari ya Msiba mkubwa ikapotezewa ikaingia habari ya Makonda tu mji mzima kuongea sjui mawaziri wanamtukana Rais! miw naona kuna kitu hakiko sawa hapa! je ni aina ya Uchawi au kupuuzia? hivi kweli haya kwenye TWITTER ya Rais hakuna hata kutoa pole? zaid ya kusema alihudhuria 40 ya Sokoine? Je...
  14. JamiiForums Tanzania Aprili 12 ni Siku ya Watoto Waishio Mitaani Duniani

    Salaam nyingi za za upendo kwenu wote. Aprili 12, kila mwaka ni Siku ya Mtoto wa Mtaani Duniani. Kaulimbiu Mwaka huu ni ‘TUWAJIBIKE’. Uwajibikaji uanze ngazi ya familia kwa wazazi/ walezi kutimiza jukumu la kulea. Sheria ya Mtoto Sura ya 13 kifungu cha 6 – 13, kila Mlezi/ Mzazi anawajibika...
  15. JamiiForums Tanzania Nitawahadithia watoto wangu na wajukuu kuwa Yanga ilifika hatua ya nusu fainali baada ya kuitoa Mamelod Sundowns lakini ikafanyiwa hila

    Hivi ndivyo ninavyojua na ndivyo itakavyobaki katika Halmashauri ya Kichwa changu. Kwamba Young Africans mwaka 2023-2024 walishiriki CAF CC na kufika hatua ya nusu fainali kwa kuifunga timu ya Mamelod Sundowns Goli 1 -0. Timu hiyo ilinyimwa ushindi huo kwa maksudi ya VAR officials kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kizazi cha watoto wa 2000s kinasikitisha sana katika kufuatilia mambo ya msingi

    Hiki kizazi cha watoto wa 2000s kama kinavyoitwa licha ya kwamba sio watoto ila imezoeleka kuitwa hivyo nami wacha nitumie hivyo ili kueleweka zaidi. Hiki kizazi kwa kweli kinasikitisha sana katika kujikita kufuatilia mambo ya msingi. Ni ngumu sana kutofautisha msomi wa chuo kikuu wa hiki...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume mlio oa na mlio na watoto wa kike wakubwa ( mabinti vigori/li) Hivi jina " Dullah" liliwakosea nini mbona mnali demonize hivyo?

    Kosa jamaa aambiwe " Kaka mkeo alikuwa anaongea na Dullah" yani jamaa hata kama hamfahamu huyo Dullah basi atawaza tu kwamba huyo Dullah anatembea na mkewe. Atagombana na mkewe na atakuwekea jealousy wewe Dullah. Unashangaa tu unakutana na mtu barabarani ana kuangalia kwa chuki unabaki...
  18. JamiiForums Tanzania Mkuu wa HAMAS apoteza watoto watatu na wajukuu watatu huku akiendelea kula maisha Qatar

    Poleni kwa msiba, familia imepigwa bomu wakafa ndugu, watoto wake na wajukuu, yote hii kisa aliamrisha HAMAS wavamie Israel na kuchinja watoto wa Wayahudi...... Jamaa anakula maisha tu, kayapatia... ====================== Three sons of Hamas leader leader Ismail Haniyeh were killed in an...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake wanapenda kuwaita watoto wao 'Prince and Princess', ila hawataki kuwapa baba zao hadhi ya King!

    Habari ndo hiyo! Hadhi ya Princess na Prince inatumika kirahisi sana kuita watoto wao, ila ile 'treatment' ya kifalme kwa baba wa watoto hao ni nadra au haipo. Je, wanawake hawajui maana ya hadhi hiyo au ni mwendelezo ule ule wa ubaguzi tu?
  20. JamiiForums Tanzania MOI yaandaa kambi ya upasuaji kwa Watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi itakayofanyika Aprili 20, 2024

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Taasisi ya MO Dewji Foundation imeandaa kambi ya upasuaji kwa Watoto 50 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi itakayofanyika 20/04/2024 katika Taasisi ya MOI. Akizungumza na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…