Kiingereza kimetuaibisha tena, Mzungu kugawa vitabu kwa watoto na kuzushiwa vitabu havifai bila kuelewa kilichoandikwa ni fedheha na aibu kwa taifa

Alitaka aone reaction ili apate the way forward, hivi vitabu kwa nini asivigawe ulaya na marekani? Yeye ananufaika vipi kuvigawa bure kibiashara??
Tuache visingizio kukwepa fedheha,

Naomba turudi pale pale kwenye mhadala mkuu kwamba kwanini watu wamezusha kitabu kinahusu ushoga bila kuelewa kilichoanfikwa ?
 
Sie wengine hatujaenda shule ni darasa la nne flat, kwenye ule uzi wadau wamedadavua baadhi ya sentensi tata zilizoandikwa mle kuna mambo kama malkia, kujipodoa mdomo ambayo ni mambo ya kike kwa mwanaume kulinganishwa nayo ndio wakajawa na wasiwasi kuwa kuna ushoga mle unazungumziwa. Kama vipi leteni kitabu kizima tukichambue hata kama hatujui kiingereza. Kama tuliweza kukichambua kitabu cha animal farm chenye kiingereza kigumu hicho kitatushinda nini? Iwe british english au american english ongeza na irish english kitachambuliwa tu tujue maudhui yake
 
Sie wengine hatujaenda shule ni darasa la nne flat, kwenye ule uzi wadau wamedadavua baadhi ya sentensi tata zilizoandikwa mle kuna mambo kama malkia, kujipodoa mdomo ambayo ni mambo ya kike kwa mwanaume kulinganishwa nayo ndio wakajawa na wasiwasi kuwa kuna ushoga mle unazungumziwa. Kama vipi leteni kitabu kizima tukichambue hata kama hatujui kiingereza. Kama tuliweza kukichambua kitabu cha animal farm chenye kiingereza kigumu hicho kitatushinda nini? Iwe british english au america english ongeza na irish english kitachambuliwa tu tujue maudhui yake
swala la majaji kuvaa ma wigi maana historia za wenzetu na vitabu tunavikurupukia
 
Back
Top Bottom