Video: Mzungu akamatwa kwa kugawa vitabu vya ushoga kwa watoto

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Hii ni video inayosambaa mitandaoni inayoonyesha Mwanamke mmoja wa kizungu akiwa amekamatwa na Wananchi kwa shutuma za kusambaza vitabu vyenye kueneza tabia ya Ushoga kwa watoto.

ANGALIA VIDEO HAPA


Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
 
Sijui nisemeje ila me binafsi sijaona content ya ushoga Kivile labda tu bukta ya kikatuni PURIDE ila hata title ya kitabu sio ya ushoga kwamba the grandfather that never got old
Nime-screenshot picha kwenye hiyo video.

Screenshot_20240131-171126.jpg
 
Back
Top Bottom