watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watoto na wajukuu wetu watahadithia kizazi kilichopitia COVID-19

    COVID-19 imetikisa dunia, vyombo vya usafiri wa abiria dunia nzima vilisimamisha shughuli. Kwakua dunia ni kijiji kidogo kila mtu ameguswa na madhara ya ugonjwa huu. Sehemu nyingi shughuli za kijamii zilisimama . Maduka ya chakula na ya dawa tu ndiyo yalifunguliwa kwa muda maalum huku...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri: Shule zikifunguliwa, Watoto wa kike wapimwe ujauzito

    Close to 4,000 school girls impregnated in Kenya during COVID-19 lockdown Karibia Wanafunzi wa Kike 4,000 wamepewa Ujauzito nchini Kenya baada ya Kujamiiana sana wakati wa Zuio la Kutokutoka la CORONA. Chanzo: Daily News Tanzania
  3. JamiiForums Tanzania Matukio ya ubakaji yanazidi kuongezeka sana siku hizi?

    Naomba wazazi na walezi kama mimi tukumbushane kuwaelimisha watoto wetu wa kiume na hasa wa kike kuhusu mazingira hatarishi ya kupelekea unyanyasaji wa kingono au ubakaji. Nimeona mada kule twitter mabinti wengi wakieleza namna walivyobakwa na kuwataja wabakaji wao na kutaka wachukuliwe hatua...
  4. JamiiForums Tanzania Watoto 232 mkoani Mwanza wafanyiwa ukatili wa kingono

    Akitoa taarifa hiyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella, Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Dk. Severine Lalika "Kwa mujibu wa taarifa kutoka Jeshi la Polisi mkoani Mwanza inasema kuwa kwa mwaka huu kuanzia Januari hadi Machi jumla ya matukio ni 234 yariripotiwa ambapo kati yao Wavulana...
  5. JamiiForums Tanzania Itel yawakumbuka watoto yatima

    Kampuni ya simu za mkononi ya Itel imetembelea kituo cha watoto yatima cha CHAKUWAMA kilichopo Sinza Mori jijini Dar es Salaam na kutoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo chalula na vifaa vya shule. Akizungumza mara baada ya kukabidhi msaada huo jana, Ofisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Fernando...
  6. JamiiForums Tanzania MARA: Baba ampa mimba mtoto wake, abaka wengine wawili

    Baba ampa mimba mtoto wake, abaka wengine wawili MTU mmoja, Meshack Michael mkazi wa eneo la Nyamakokoto mtaa wa Mbulumatare halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara anashikilia na Jeshi la Polisi mkoani Mara kwa tuhuma za kumpa ujauzito mtoto wake wa umri wa miaka 13. Pia Michael anatuhumiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Shule na Shughuli zote kufunguliwa tarehe 29 Juni, 2020

    Rais ametangaza kwamba tarehe 29/06/2020 shule zote zifunguliwe. Amesema hali ya Corona nchini inaendelea vizuri na imepungua sana. Amesema shughuli nyingine zote kama kufunga ndoa nazo ziendelee na maisha lazima yarudi kama ilivyokuwa awali. Ameyasema hayo akihutubia wananchi kupitia kikao...
  8. JamiiForums Tanzania Baba wa watoto wangu watatu (kila mmoja na babake) wote wanataka kufunga ndoa na mimi

    Mtoto wa kwanza nilimzaa na class mate wangu. Wakati huo wote tukiwa hatuna ajira. Wazazi wote walitusaidia. Ikifika wakati kaka yake alimuita Gabon akamsaidie biashara. Aliniacha na mtoto wa miaka miwili. Tulipoteza mawasiliano. Mtoto wa pili nilimzaa na aliyekuwa boss wangu. Alikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Malezi - TAFITI: Watoto wanaoangalia sana TV wanaweza 'Kuharibu Miundo ya Ubongo'

    Kuangalia sana Televisheni kunaweza kubadilisha muundo wa ubongo wa mtoto na hivyo kumletea madhara, kulingana na utafiti mpya uliofanywa na wataamu toka Chuo Kikuu cha Tohoku kilichopo katika jiji la Sendai nchini Japan. Watafiti hawa waligundua kuwa kadiri mtoto anavyotumia muda mwingi zaidi...
  10. JamiiForums Tanzania Lengo mojawapo la bajeti ya mwaka huu ni kusomesha kwa wingi Wataalamu Fani na Ujuzi Adimu/Maalum, wazazi shaurini watoto vizuri shahada za kusomea

    Watu hawaelewi siri ya bajeti wengine hawataki kusikiliza kabisa matokeo yake hukosea kwenye maisha baadaye kuilalamikia serikali. Bajeti hii moja ya malengo yake iliyoweka ni Kusomesha kwa wingi Wataalamu kwenye Fani na Ujuzi Adimu/Maalum Wahindi na wawekezaji wa ndani na nje na...
  11. JamiiForums Tanzania Nini kinafanya watoto kupenda kung'ata nyonyo ya Mama?

    Nauliza kutokana na experience niliyiipata kwa mtoto wangu. Mwanzoni alipokuwa mdogo (Chini ya 2yrs) alikua Hana hiyo Tabia..but alipofika 2yr ndo akaanzisha hiyo Tabia. Ilifikia wakati Hadi anagombana na mama yake na kuamua kuachackumnyonyesha. Nini chanzo Cha hii kitu wadau.
  12. JamiiForums Tanzania Wazazi tunafeli sana kulea watoto

    Habari wakuu, Bila kupoteza mda hebu nijikite kwenye mada Jamii yetu imezungukwa na utamaduni tofauti katika kukuza na kulea watoto, wapo wanaoamini kuwa hatupaswi kuiga tamaduni za kimagharibi za kuwapa uhuru watoto badala yake wanawafunza watoto katika kufanya kazi za nguvu na kuwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Hizi ndoa hizi! Money Penny washauri vijana wasikimbilie kabisa...

    Bado naendelea kurekodi VIPINDI vyangu vya YouTube, ndio maana skuhizi siandiki Uzi Sana huku hata HADITHI kwenye website nimesimama Kwanza, YouTube unachukua muda wangu mwiingi nikitoka hapo chokest ! naenda ku-du na mume alafu kushakucha narudi studio tena. Anyway wiki hii nilikuwa na wageni...
  14. JamiiForums Tanzania Madagascar: Waziri wa Elimu atimuliwa baada ya kununua pipi za Tsh. Trilioni zaidi 4 ili kuwasaidia watoto kunywa mitishamba ya #Corona

    Waziri wa elimu nchini Madagascar amefukuzwa kazi kwa sababu ya mipango yake ya kuagiza peremende au pipi zenye thamani ya zaidi ya dola milioni 2 sawa na (£1.6m) kwa watoto wa shule. Rijasoa Andriamanana amesema wanafunzi watapewa pipi tatu kila mmoja watakazokula baada ya kunywa dawa ya...
  15. JamiiForums Tanzania Changamoto za watoto wa nje ya ndoa

    Wanajukwaa wasalaam, mkitaka kujua khali yangu Mimi ni bukheri wa afya, namshukuru Mola wetu kutuzidishia urijali kwa ustawi wa familia zetu Leo napenda niulize hasa kwa wanaume wenzangu wenye watoto nje ya ndoa, ni Changamoto gani mnazopotia, na mnazitatua vipi, na je watoto hao wana namna ya...
  16. JamiiForums Tanzania FAMM (AMTL) Co. walivyopeleka msaada wa kujikinga na Corona kwa Watoto wa Huruma

    Habari za mida huu, mapambano ha Corona yanaendeleaje huko? Narudi kwenye point ya msingi hapa, nimekuja kugundua kuwa watu wengi wenye uwezo kidogo wa kujipatia mahitaji ya kila siku basi kwa namna moja au nyingine ni rahisi sana kusahau kwamba kuna watu wenye uhitaji wapo sehemu hivyo huwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Malezi - Sheria ya Mtoto inasemaje kuhusu picha za watoto mitandaoni?

    Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 inatamka wazi kwamba 'Mtu hatachapisha, kutengeneza, kuonyesha au kuagiza kuchapishwa, kuendeshwa au kuonyeshwa picha au taswira ya mtoto au mtoto aliyefariki, inayoonyesha ukatili au katika pozi za ngono.' Ama kwa kujua au bila kujua, jamii hukiuka sheria hii...
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni Uzazi wa Mpango halafu kuweni Wastaarabu

    Wakuu hata salamu sitaki maana nina moto mbayaa. Leo nilikua na kidate na manzi mmoja mtoto wa mashavuni nimemind flag long time kinyama ila ndio akawa anambwelesha kidizaini sema chalii ya bakta nikakaza niaje basi juzi kati tukapanga kuwa leo ndio tutakutana fasi za niaje tuendelee kuyajenga...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KDF wamuua gaidi wa al-Shabab na wanawe wawili

    Katika Hali isiyokuwa ya kawaida wanajeshi wa Kenya KDF wamewaua watoto wawili wanaokuwa wanaishi na baba yao ambaye anashukiwa kuwa Ni gaidi wa ALSHABAB. Hali hiyo ilitokea wakati polisi walipofika katika makazi ya gaidi Huyo ambaye aliwatumia watoto hao kuwaokoa watoto hao Kama ngao ya kuzuia...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Al-Shabaab suspect who used his 2 children as human shield killed in dawn attack

    Katika Hali isiyokuwa ya kawaida wanajeshi wa Kenya KDF wamewaua watoto wawili wanaokuwa WAMESHIKILIWA Kama hostages na ALSHABAB. Hali hiyo ilitokea walipokuwa wanafanya jitohada za kuwaokoa watoto hao. Wanamgambo wawili pia waliuawa. ----- Police officers killed a suspected al-Shabaab...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…