Je, ni kweli ukioa mwanamke Mtutsi lazima apandikize mtoto wao kwenye watoto wako?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,586
15,369
Hii story niliisikia kitambo ikaniogopesha kuoa Hawa watu wazuri wa uso kutoka Rwanda.

Kwamba ukioa Mtutsi, eti ukizaa watoto watano ujue mmoja au wawili sio wako.

bidada huyo atafanya juu chini agegedwe na ndugu Yake au mtutsi mwenzake aliyekaribu nae ili ampe mimba.

Huyo mtoto anahesabiwa ni wao hata akizeeka na wanajuana kwenye system yao. Wewe baba hasa mwenye uwezo au mwanasiasa mkubwa anatumika tu kama mbeleko ya kunawirishia kabila hili lenye warembo wa kuvutia.

Wakuu Kuna ukweli wowote au story tu za wazee wetu Kwenye ghahawa
 
Nonsense hiyo imaniya koibaguzi tu. Kama una wasiwasi na Mtoto unayemdhamia sio wako basis kapime DNA ya mtoto. Hivi kukosa uaminifu kwenyendoa mbona ni issueya makanila yote Tz . akutukanaye hakuchagulii , mnawaonea hilo kabila. Kwanza wale akishaolewa kutoka nje ya ndoa sijaona. Nimeishi nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante.
 
Umeongea kitoto sana mkuu, huenda umeoa mtutsi (said umeishi nao) hivyo unajifariji.... sina utetezi thabiti wa hoja mezani ila sio kwa picha uliyowachorea hapo.

Jesus saves, I spend.
 
Hicho kikabila mbona mnakipa promo sana, hao watu ni vilaza tu hawana hiyo akili. Ukiwa boya unaweza ukachapishiwa watoto ata na mwanamke wa kimatumbi. Jipange my son.
Wana akili Sana, ndio maana hata sisi awamu hii ndio role model wetu mkuu.

Tusiwaonee husuda
 
Kwa hiyo unashauri tuoe tu hata kama tunajua watoto watakuwa sio wetu na tukishaoa tukazaa ndo tukapime DNA, na tukikuta watoto sio wetu tuvunje ndoa?? Kama kuna uwezo wa kujua mapema culture yao na kuacha kuwaoa huoni kama ni jambo jema zaidi??

Sijaelewa kama umeelewa mada inataka nini
Nonsense hiyo imaniya koibaguzi tu. Kama una wasiwasi na Mtoto unayemdhamia sio wako basis kapime DNA ya mtoto. Hivi kukosa uaminifu kwenyendoa mbona ni issueya makanila yote Tz . akutukanaye hakuchagulii , mnawaonea hilo kabila. Kwanza wale akishaolewa kutoka nje ya ndoa sijaona. Nimeishi nao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachopenda waTz wana waoverate sana Wanyarwanda na ni kama wanaweweseka sana wakidhan Rwandese ni watu toka sayari ingine humu thread za kuwa overate rwandese ni nyingi sana sijui kwanini na hekaya nyingi sana kuhusu watu hao sijui kwanini,Mtu kubambimbikiwa mtoto ni kawaida hapa duniani uwe kabila sijui lipi au lipi ikitokea imetokea

Blackberry
 
Back
Top Bottom