Watoto wa mitaani hawatendewi haki

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,063
40,724
Watoto wa mitaani hawatendewi haki, walipaswa kuwa shule ila wanaachwa kuzagaa hovyo bila muelekeo. Watoto hawa wanapaswa kuwa chini ya uangalizi, RC yupo, ustawi wa jamii wapo, wanakula mishahara na kupishana chooni tu. Tunataka maelezo, mnakwama wapi?

Napaza sauti kwa niaba ya watoto hawa wasio na sauti.
 
Upo serious kabisa.....!! Unadhani hili ni tatizo la serikali pekee..! ? Hata serikali ikiwakusanya hao unaowaona wewe ikawaweka mashuleni, unadhani ndio watakuwa wamemaliza tatizo? Mzazi/wazazi wako wapi? Alieteleza mimba yu wapi?aliyetelekeza familia yu wapi? Mashekhe na wachungaji wako wapi? Kwanini jamii inashindwa kutoa familia zilizo imara ziweze kusupport watoto hao kama familia za zamani? Watoto nao ni wazazi yaani watoto wanazaa watoto...!! Issue hii ni pana sana hata vyama vya siasa vina nafasi ya ku address hili swala !! Sometime sio kila jambo tunakimbilia Kulaumu serikali yaani tunakuwa wazee wa 'LAWAMA'
 
Watoto wa mitaani hawatendewi haki, walipaswa kuwa shule ila wanaachwa kuzagaa hovyo bila muelekeo. Watoto hawa wanapaswa kuwa chini ya uangalizi, RC yupo, ustawi wa jamii wapo, wanakula mishahara na kupishana chooni tu. Tunataka maelezo, mnakwama wapi?

Napaza sauti kwa niaba ya watoto hawa wasio na sauti.
Kiufupi no one cares.

Hii serikali haipo kwa ajili ya wananchi wake.

KWanza waanapika data.Atcl gawio etc.

15% ya heslib.

Mishahara

Yani kuna mambo ukiyaangalia tu unaona kabisa the government is not after his citizens
 
Back
Top Bottom