Ni kwanini Paka wengi wa Uswahilini hulia kama Watoto Wachanga (Wadogo) tena kwa Nyakati za Usiku tu pekee huku Wakiwa Madirishani kwa Watu?

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,412
2,000
Kuna mahala fulani nilihamia Uswahilini na Siku moja nikasikia Kilio kama cha Mtoto Mdogo anamlilia Mama yake na nilipotoka zangu tu nje kwa nia njema ya kwenda Kumuangalia huyo Mtoto nikihisi ametelekezwa na Mama yake nikaishia kukutana na Paka Wawili wakilia hivyo tena kwa Sauti ya pamoja na nikadhani watanikimbia badala yake wakaanza hapo hapo Kutiana mbele yangu.

Nashauri Siku zingine kukifanyika Sensa ya Watu Mkoani Dar es Salaam ijumuishe na hawa Paka kwani huenda ni Binadamu Waandamizi Wenzetu.
 

mbongopopo

JF-Expert Member
Jan 24, 2008
1,586
2,000
Maongezi yao kumbe yapo hivyo ya ku do,
Yeah wanatoa sauti hiyo wakati mwingine nilishawasikia kwa mbaliiii

Au labda ilikuwa watu mume na mke wakaamua ku do ufikiri sio wachawi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom