Kama wewe ni baba au mama acha kuwanunulia watoto hii midoli ya aina hii hata walie vipi

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,208
1,755
Mara nyingi wazazi huchangia kuharibu watoto wao wenyewe, kupitia midoli hii nakuhakikishia kwamba, mwanao si salama.

Inachochea tamaa ya ngono hata kwa wakubwa maybe hujawahi kuishika japokuwa unaweza kuta haina maumbile maalumu ya uzazi kuna hamasa unapata.

Kifupi haifai kwa watoto na usije shangaa, hawa watoto wanafanyaga comparson kati yao na midoli hiyo

Tujaribu kuwanunulia midoli tofauti na hizi mfano midoli kama ya dubu, sungura ile ya pamba ila sio hizi 3d cartoon zimezidi kiwango.

FB_IMG_1600753770116.jpg
 
Hakuna mantiki kwenye upande uliouzungumzia nikazani utaandika kwenye masuala ya Ushirikina.
 
Kuna muvi niliiangalia kuhusu hii midoli inausishwa sana na uchawi ni kweli wakuu au ni mambo ya maigizo tu wataalamu wa mambo tupeni ufafanuzi tafadhali

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hii midoli ni ya kawaida tu na haina tatizo lolote. Mbona wazungu mitoto yao inachezea na bado ina akili kushinda mitoto ya afrika?
 
Kadoli ka kike lakini kana machine ya kiume mammee zao wasije fanya watoto wapende mambo ya kike kike
 
Ni maisha tu yamebadilika, sisi tumecheza sana na midoli hiyo na kulikuwa hakuna tatizo. UTANDAWAZI ndio umeleta kila kitu, sio tatizo la mdoli!
ila haikua na hiko kimkia hapo mbele na tulijua mipaka,watoto w kike na midoli yao na kiume ilikua ni vigali vikibeba mchanga n.k
 
Ni maisha tu yamebadilika, sisi tumecheza sana na midoli hiyo na kulikuwa hakuna tatizo. UTANDAWAZI ndio umeleta kila kitu, sio tatizo la mdoli!
Mkuu we niwajuzii....sikipindi tunakua haikuepo hiyo midoli,nakumbukaa dada zangu walikuwa wanasonewa midoli ya matambaraa na sisi wa kiume tulikua tunatengeneza magari ya bati au bosi matairi Ni ndalaa
 
Ndugu mshana ebu tupe ufafanuz wako hii midol nimewah ona kwenye movie inatumiwa sn na wachaw na majin huwa wanakaa ndan ya midoli usiku mkilala wanaamka na kukinukisha je haya mambo yapo au ni movie tu
Soma hiyo mada yangu ni kama nimeshakuona upo
 
Back
Top Bottom