wateule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J_Okay

    Rais Samia anasifiwa sana, hawaju wateule wake kama Jeneali Ulimwengu anavyodai?

    Mimi ni mpenzi wa harakati za Jenerali Ulimwengu katika utetezi wake wa demokrasia, utawala bora na haki za binadamu. Ninachofurahia kuhusu yeye ni kuwa katika kipindi ambacho wengi walinywea na kurekebisha maoni yao yaendane na mazingira ya utawala uliokuwepo katika awamu ya tano, yeye...
  2. Nyaka-One

    Hivi ni kweli wateule wa Kristo watakaa mbinguni na kujifunza hukumu ya wenye dhambi kwa miaka elfu moja (1,000) pekee yake?

    Leo nimekaa na kujiuliza. Kwa wakristo tunaambiwa baada ya Yesu kurudi na kuwachukua wateule wake hao wateule watakaa mbinguni kwa miaka 1,000 wakijifunza hukumu ya wenye dhambi. Hiyo miaka 1,000 ni sawa na masaa 8,760,000. Na katika kujifunza hiyo hukumu hao wateule watakuwa wanaangalia "video"...
  3. M

    Juzi Mama akiapisha wateule umeme haukukatwa, leo Maulidi umekatwa

    Ninafikiri lengo lilikuwa kuhakikisha hotuba ya Rais inasikilizwa na kuwafikia wananchi wengi. Mtazamo wangu ninaona hata kwa siku ya leo hawa watawala + tanesco wangefanya uungwani kuwaachia umeme wananchia hasa masikini wasiokuwa na uwezo wa kununua solar na generator. Na kwa kufanya hivyo...
  4. Roving Journalist

    Rais Samia: Maharage ana biashara ndani ya TTCL ndio maana nimemtoa

    https://www.youtube.com/watch?v=JHMCidEdAKY === Rais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo. "Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae...
  5. R

    Tatizo na wateule, washauri au wateuaji?

    Tatizo la kubadilishwa vituo na kurejeshwa kwenye madaraka kwa wateuliwa ni kukosekana na kwa makatibu wakuu aina ya akina Segue, Opio na Luanjo au nimteuaji kukosa muda wakukaa na katibu mkuu kiongozi kupanga safu? Au wanaoteuliwa wanatumia nguvu za giza kuwachanganya wateuaji? Kwanini...
  6. Mfikirishi

    Wateule wanatuona Kama Manyani

    Huu mtindo wa wateule kuja hadharani na kujisifia kwa teuzi wanazopata unazidi kushika kasi. Wao wanajisifia kulamba teuzi huku sisi wakiendelea kutuhimiza kujiajiri! Wengine hadi (rejea Naibu Waziri wa Afya Mollel, Nape et al.) wanakosa amani kabisa na kupata viriba tumbo kwa kufuatilia mikeka...
  7. Roving Journalist

    Ikulu-Dar es Salaam: Rais Samia awaapisha Majaji. Asema suala la kutoa haki ni la Mungu peke yake

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Septemba, 2023 https://www.youtube.com/live/UkbF5Mxsv7s?si=-fZrc0yrA0ppwyvs === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi...
  8. The Burning Spear

    Tatizo la serikali hii ya Awamu ya Sita si wateule bali ni Mteuzi na Mwapishaji

    Ifike mahali sasa tuache kuzunguka mbuyu samia kwa sasa anatakiwa awajibike kwa kila ovu au zuri linaloikumba nchi yetu. Kwa sasa tunasema she is responsible for everything tuache kusingizia mawaziri anaowateua. Kama ni kuunda serikali mda umepita ana zaidi ya miaka miwili sasa. Kama. Ingekuwa...
  9. Roving Journalist

    Rais Samia aapisha Viongozi wateule Ikulu Ndogo, Tunguu, Zanzibar, leo Septemba 1, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu dogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=H04h3n8tXyA === Rais Samia amewakumbusha viongozi walioapa kuishi kiapo chao pia. Kwa wateule wapya, amewataka...
  10. Roving Journalist

    Rais Samia: Sisi tunalumbana kuhusu Bandari, wenzetu wanatumia fursa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule Ikulu jijini Dar es Es Salaam leo tarehe 14 Julai, 2023 RAIS SAMIA: SISI TUNALUMBANA KUHUSU BANDARI, WENZETU WANATUMIA FURSA Rais wa Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati wa kuwaapisha viongozi...
  11. Sultan MackJoe Khalifa

    Wateule wa Rais mbona hamumsaidii kujibu hoja za Mkataba wa Bandari!

    Wateule wa Rais Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi, Makamu Mwenyekiti Taifa, Wenyeviti na Makatibu wa CCM Mikoa, UVCCM, UWT na Mawaziri, siwaoni wakimsaidia Mama Samia, Rais na Mwenyekiti wa Chama Taifa kujibu hoja za uwekezaji wa bandari! Kwenye maamuzi ya Rais Samia siku za nyuma waliitisha press...
  12. Huihui2

    Agenda ya Ushoga: Katika Wateule wa Joe Biden 1,500 kuna mashoga 210 sawa na 14%

    Tusishangae kwa nini hoja ya ushoga au upinde 🌈 imepamba moto duniani kwa miaka hii miwili toka Joe Biden achuguliwe kuwa Rais wa USA. Kwa makusudi mazima alichagua mashoga maarufu kushika nafasi nyeti 210 kati ya 1,500 anazoruhusiwa kuteua anayemtaka.
  13. ChawaWaMama

    Tumjuze Rais Samia njia wanazotumia wateule kuiba hela za Umma

    Great thinkers, Tumsaidie Rais Dkt Samia kufahamu mbinu mbali mbali wanazotumia wateule wake kuiba hela za umma na kumhujumu. Mi nitatoa moja ya mbinu hizo kwenye serikali. Mteule anapopata uteuzi kwenye nafasi hasa zile za vitengo fulani vinavyohusiana na mapato au miradi, cha kwanza...
  14. Crocodiletooth

    Kinachomuangusha Rais wetu ni wateule wake!

    Mteule ni nani? Mteule ni mtu fulani aliyeaminiwa na mteua au kiongozi wa mamlaka fulani ili amsaidie kwa uaminifu katika shughuli za uangalizi, utendaji kuwa mkweli kwa mteua, kumshauri kwa kile kilicho chema bila kumwingiza mteua katika aina yoyote ya uwongo ulaghai wizi na maovu yoyote yale...
  15. BARD AI

    Maagizo 8 ya Rais Samia kwa Wateule wake

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wateule wake kuzingatia maeneo manane ya msingi, ikiwamo kujiamini katika utekelezaji wa majukumu yao. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Machi 4, 2023 katika mkutano wa faragha kwa mawaziri, manaibu waziri, makatibu wakuu, naibu makatibu wakuu...
  16. Roving Journalist

    Rais Samia awaapisha Viongozi wateule leo Februari 15, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule leo tarehe 15 Februari, 2023 Ikulu jijini Dares Salaam. Viongozi walioapishwa ni pamoja na: - Mohamed Omary Mchengerwa aliyekuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo aliyehamishiwa Wizara ya Maliasili na...
  17. JanguKamaJangu

    Wananchi 13,000 Bunda wawalalamikia wateule wa Rais Samia

    Wananchi zaidi ya 13,000 wa vijiji vinne vya Kata ya Nyatwali Wilaya ya Bunda mkoani Mara wameulalamikia uongozi wa wilaya hiyo kwa kile wanachodai kutumia jina la Rais Samia Suluhu Hassan kutaka kuwapora maeneo yao. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Wakizungumza na MwanaHalisi Online baada...
  18. GENTAMYCINE

    Rais Samia niazimishie 'Recorder' ya TISS ili nikurekodie Wateule wako ambao Kutwa wanakusema vibaya sana Vijiweni

    Halafu wakiwa nawe katika Hafla zako wanajifanya Kukupenda na Kukusifu. Na ni hawa hawa wakipelekewa tu Mic na Waandishi wa Habari wanajitutumua Kukupongeza huku wakisema kuwa Unaupifa mwingi. Tena kuna hawa Saba (7) kila nikibahatika Kuwasikia wakiwa Vijiweni Kwao (Mwao) pale Bahari Beach...
  19. Mwanamaji

    Kwenye kauli hizi chache za Rais akiwaapisha Mawaziri watatu wateule, kosa la Balozi Mulamula ni insubordination?

    Mara baada ya mawaziri watatu (Bashungwa, Tax na Kairuki) kula kiapo ikulu jijini Dar es Salaam, Mh Rais amezungumza maneno machache sana. Amewaasa mawaziri wake wapya mambo yafuatayo: 1. Wazingatie kiapo chao cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  20. Roving Journalist

    Rais Samia akiwaapisha Mawaziri wateule Ikulu, Dar es salam leo Oktoba 3, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri wateule Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 03 Oktoba, 2022 Nawapongeza kwa walio hapa. Mhe. Angela siyo mgeni kwenye kazi hii, umejifunza mengi ukiwa nje. Nimeona uje unisaidie. TAMISEMI ni ileile uliyoiacha...
Back
Top Bottom