Tatizo na wateule, washauri au wateuaji?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Tatizo la kubadilishwa vituo na kurejeshwa kwenye madaraka kwa wateuliwa ni kukosekana na kwa makatibu wakuu aina ya akina Segue, Opio na Luanjo au nimteuaji kukosa muda wakukaa na katibu mkuu kiongozi kupanga safu?

Au wanaoteuliwa wanatumia nguvu za giza kuwachanganya wateuaji?

Kwanini kuanzia sasa uteuzi usiambatane na taarifa iliyopelekea kupendekezwa kwa muhusika? Au labda tuendelee kusikiliza sababu za tenguz wakati wa kuapisha? Zina ukweli?
 
20230615_200055.jpg
 
Mteuaji amepewa mamlaka yote na Katiba; halazimiki kufuata ushauri wowote; ana kinga ya maisha ya kutoshtakiwa hata akiitusi instrument iliyompa mamlaka bado inamlinda!
 
Washauri wa mama sijui wanakwama wapi
 
Attachments

  • 1695664110982.jpg
    1695664110982.jpg
    43.5 KB · Views: 1
Huyo Huwa anatumbua Ma DED Kwa Jina la ABC.

wahuni wanamletea mtu huyohuyo alotumbuliwa ila anakuja Kwa Jina la CBA

Rais kwakua hajishughulishi, anamteua Tena 😄.

JPM umletee Faili kweli hujajipanga??.
 
Tatizo la kubadilishwa vituo na kurejeshwa kwenye madaraka kwa wateuliwa ni kukosekana na kwa makatibu wakuu aina ya akina Segue, Opio na Luanjo au nimteuaji kukosa muda wakukaa na katibu mkuu kiongozi kupanga safu?

Au wanaoteuliwa wanatumia nguvu za giza kuwachanganya wateuaji?

Kwanini kuanzia sasa uteuzi usiambatane na taarifa iliyopelekea kupendekezwa kwa muhusika? Au labda tuendelee kusikiliza sababu za tenguz wakati wa kuapisha? Zina ukweli?
Bata ukimchunguza sana hutakula kamwe nyama yake. Hii inatokana na kuchamba kwingi kwa serikali. Tumuachie Balozi Siwa na vijana wake kwanza waongee ili tuupime ujio na utendaji wa wateule wapya.
 
Lkn ukweli ni kwamba, NCHI HII, naona Watu wengi hasa Wana CCM, ni wanaujinga mwingi yaan upeo wao nidogo kichwan,

MwanaCCM hata awe ni msomi, huwez Kuta kile alichokisomea ana Uwezo wa kujielezea mbele za watu na kikaeleweka, na hata kukufanyia kazi.

Ndio maana utasikia "Uzoefu utaukuta kazini hukohuko"
 
Au wanaoteuliwa wanatumia nguvu za giza kuwachanganya wateuaji?

Mkuu inawezekana kabisa🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom