Rais Samia niazimishie 'Recorder' ya TISS ili nikurekodie Wateule wako ambao Kutwa wanakusema vibaya sana Vijiweni

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,848
109,556
Halafu wakiwa nawe katika Hafla zako wanajifanya Kukupenda na Kukusifu.

Na ni hawa hawa wakipelekewa tu Mic na Waandishi wa Habari wanajitutumua Kukupongeza huku wakisema kuwa Unaupifa mwingi.

Tena kuna hawa Saba (7) kila nikibahatika Kuwasikia wakiwa Vijiweni Kwao (Mwao) pale Bahari Beach, Mbezi kwa Zena, Mbweni, Msasani, Makumbusho, Oysterbay na Mikocheni wanakusema vibaya kuliko Wewe unavyowapenda na Kuwaamini tena kuwa Wawili hadi Mipango yako ya 2025 na Kuila vyema Keki ya Tanzania huwa unawashirikisha.

Kuwa makini mno na hawa.....

1. Mr. Naipenda Tanzania yangu
2. Mr. Mtaalam wa Kuiba Kura
3. Mr. Nisamehe Baba Nimekosa
4. Mr. Matege ya Mpira
5. Mr. Sitaki Mvi Super Black Daima
6. Mr. Kama Baba kama Mwana
7. Mr. Suti hazinipendezi kamwe

Kuwa nao makini sana hawa sawa?
 
Dah we jamaa unajifanyaga much know ila huna akili hata moja mada zako zote karaha tupu..wajanja tumechoka kushikwa masikio na genta
 
Nilikuwa najua Baba Levo na Mwijaku ndio machawa yaliyokubuhu. Aibu naona mimi.
 
Back
Top Bottom