Tumjuze Rais Samia njia wanazotumia wateule kuiba hela za Umma

ChawaWaMama

JF-Expert Member
Jan 16, 2023
1,716
3,177
Great thinkers,

Tumsaidie Rais Dkt Samia kufahamu mbinu mbali mbali wanazotumia wateule wake kuiba hela za umma na kumhujumu. Mi nitatoa moja ya mbinu hizo kwenye serikali.

Mteule anapopata uteuzi kwenye nafasi hasa zile za vitengo fulani vinavyohusiana na mapato au miradi, cha kwanza akikabidhiwa anavuruga mfumo wote huku akiulaumu watangulizi wake. Mfano unakuta District Treasury au Municipal Treasury anahakikisha control namba hazitoki etc, kinachofuata hapo ni kupokea hela kwa njia mbadala na kuiibia serikali etc.

Hebu share ujanja wanaotia wahujumu uchumi
 
Huoni kwamba utakuwa unawafundisha na wengine watuibie wakijua hizo mbinu za kuiba? Yaani unataka watu wafundishwe elimu ya wizi? Shuleni na vyuoni kuwe na somo la wizi?

Hili hapana. Mods msiruhusu, italeta majanga zaidi.
 
Kama rais hajui mbinu wanazotumia wasaidizi wake kuiba basi ajiuzulu.Maana kazi itakuwa imemshinda.
 
Great thinkers,

Tumsaidie Rais Dkt Samia kufahamu mbinu mbali mbali wanazotumia wateule wake kuiba hela za umma na kumhujumu. Mi nitatoa moja ya mbinu hizo kwenye serikali.

Mteule anapopata uteuzi kwenye nafasi hasa zile za vitengo fulani vinavyohusiana na mapato au miradi, cha kwanza akikabidhiwa anavuruga mfumo wote huku akiulaumu watangulizi wake. Mfano unakuta District Treasury au Municipal Treasury anahakikisha control namba hazitoki etc, kinachofuata hapo ni kupokea hela kwa njia mbadala na kuiibia serikali etc.

Hebu share ujanja wanaotia wahujumu uchumi
Ni kuongeza variation kwenye mradi mfano daraja la wami kuna zaidi ya 18b zililpwa zaidi
 
Back
Top Bottom