Wateule wa Rais mbona hamumsaidii kujibu hoja za Mkataba wa Bandari!

Sultan MackJoe Khalifa

JF-Expert Member
Nov 24, 2022
5,508
11,264
Wateule wa Rais Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi, Makamu Mwenyekiti Taifa, Wenyeviti na Makatibu wa CCM Mikoa, UVCCM, UWT na Mawaziri, siwaoni wakimsaidia Mama Samia, Rais na Mwenyekiti wa Chama Taifa kujibu hoja za uwekezaji wa bandari!

Kwenye maamuzi ya Rais Samia siku za nyuma waliitisha press, makongamano na maandamano ya kumuunga mkono.

Mfano mmoja wapo ni suala la pesa za mikopo, Mama Samia alitetetewa na ngazi zote za chama na serikali ndani na nje ya Bunge, kwenye swala la mikataba ya bandari siwaoni, wamepatwa na nini?

Wajitokeze wawe wawazi wanapinga au wanaunga mkono uwekezaji wa bandari, sambamba na kujibu hoja zote za kupotosha na za kweli kuhusu mikataba ya bandari!

Pimbi wewe kuna swali au hoja gani haijajibiwa na kuwekwa sawa! Au ujitaka kujibeba ufala!
makasiriko ya nini sasa!
👇
 
Wateule wa Rais katibu mkuu,katibu mwenezi,makamo mwenyekiti taifa,wenyeviti na makatibu wa CCM mikoa,UVCCM,UWT na mawaziri,siwaoni wakimsaidia mama Samia Rais na mwenyekiti wa chama taifa kujibu hoja za uwekezaji wa bandari!

kwenye maamuzi ya Rais Samia siku za nyuma waliitisha press,makongamano na maandamano ya kumuunga mkono.

mfano mmoja wapo ni swala la pesa za mikopo mama Samia alitetetewa na ngazi zote za chama na serikali ndani na nje ya Bunge,kwenye swala la mikataba ya bandari siwaoni,wamepatwa na nini?

wajitokeze wawe wawazi wanapinga au wanaunga mkono uwekezaji wa bandari,sambamba na kujibu hoja zote za kupotosha
na za kweli kuhusu mikataba ya bandari!

Kwa nini uwe ni mkataba usio na ukomo?

Kwa nini Zanzibar hawapo?
 
Hii hii post ya kuuliz tu inakuaje mzee, atakuja sufian, sababu ashawah kuliwa KINYUME NA MAZINGIRA basi atasema kitu WANAUME WOTE HAWAJAWAH SEMA... ALOOO ACHA KABISAAAAA... WAPEMBA WAPO 2M, SISI TUPO 60M, TUNATAKIWA TUJITAFAKARI
 
Ribbon sijui Rabbon Huyo Silaaa hana lolote ni mchumia tumbo tuu ! Wala hakuna haja ya kumsikiliza wala kumjibu
Awamu ya nne KIKWETE alijitahidi angalau Kutolea ufafanuzi HOJA zilizoogelewa na watu Kwa wingi mf Richmond nk nk,

Kwann sa100 hatoki kueleza na kufafanua anachokijua kuhusu DP world?
 
Wateule wa Rais katibu mkuu,katibu mwenezi,makamo mwenyekiti taifa,wenyeviti na makatibu wa CCM mikoa,UVCCM,UWT na mawaziri,siwaoni wakimsaidia mama Samia Rais na mwenyekiti wa chama taifa kujibu hoja za uwekezaji wa bandari!

kwenye maamuzi ya Rais Samia siku za nyuma waliitisha press,makongamano na maandamano ya kumuunga mkono.

mfano mmoja wapo ni swala la pesa za mikopo mama Samia alitetetewa na ngazi zote za chama na serikali ndani na nje ya Bunge,kwenye swala la mikataba ya bandari siwaoni,wamepatwa na nini?

wajitokeze wawe wawazi wanapinga au wanaunga mkono uwekezaji wa bandari,sambamba na kujibu hoja zote za kupotosha
na za kweli kuhusu mikataba ya bandari!

Hoja ya nani waijibu? Sijaona hoja ambayo haijajibiwa na Mbarawa.
 
Tunataka aliyesafiri kwenda Dubei na kusaini mikataba 19 ndo atujibu, Mbarawa hatoshi.
Mbarawa amejibu kwa kina mkataba aliousaini yeye.

Huyo nwengine aliyesaini mikataba 19 mimi simfahamu wala hiyo mikataba mingine siifaham. Inahusu nini?

Unayo, uiweke hapa tuijadili?
 
Wateule wa Rais Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi, Makamu Mwenyekiti Taifa, Wenyeviti na Makatibu wa CCM Mikoa, UVCCM, UWT na Mawaziri, siwaoni wakimsaidia Mama Samia, Rais na Mwenyekiti wa Chama Taifa kujibu hoja za uwekezaji wa bandari!

Kwenye maamuzi ya Rais Samia siku za nyuma waliitisha press, makongamano na maandamano ya kumuunga mkono.

Mfano mmoja wapo ni suala la pesa za mikopo, Mama Samia alitetetewa na ngazi zote za chama na serikali ndani na nje ya Bunge, kwenye swala la mikataba ya bandari siwaoni, wamepatwa na nini?

Wajitokeze wawe wawazi wanapinga au wanaunga mkono uwekezaji wa bandari, sambamba na kujibu hoja zote za kupotosha na za kweli kuhusu mikataba ya bandari!

Wewe unaweza kukubali kumsaidia mtu gunia la mimavi alilobeba kichwani?
 
Mbaraws amejibu kwa kina mkataba aliousaini yeye.

Huyo nwengine aliyesqini mikataba 19 mimi simfahamu wala hiyo mikataba mingine siifaham. Inahusu nini?

Unayo, uiweke hapa tuijadili?
KIKWETE pamoja na udhaifu wa Sirikali yake alitoka kufafanua mambo yaliyoleta taharuki ktk JAMII,

Magufuli pia alijaribu Kutoa ufafanuzi,

Mkapa ndo usiseme, Kila mwisho wa Mwezi alihutubia Taifa,

Suala la Bandari pamoja na kelele na sintofahamu iliyopo, kwanini Sa100 amekaa kimya?

Atoke kufafanua, maana kwenye Mnara Ule Dubei tuliona picha yake alipokwenda huko.

Ni BUSARA kunyamaza, lakini katika Issue ya bandari, atoke aitishe PRESS ahojiwe tumsikie.
 
Hilo ni dili la Rais Samia na Mbarawa, ndiyo wamesaini makaratasi; wamelikoroga, walinywe.
Hao wengine mnataka kuwafanya wanyamwezi tu kwa kuwabebesha mizigo mizito isiyokuwa yao.
Lipi na makaratasi yepi waliyosaini? Yanhusiana na nini?
 
Back
Top Bottom