The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 3,445
- 8,299
Ifike mahali sasa tuache kuzunguka mbuyu samia kwa sasa anatakiwa awajibike kwa kila ovu au zuri linaloikumba nchi yetu.
Kwa sasa tunasema she is responsible for everything tuache kusingizia mawaziri anaowateua.
Kama ni kuunda serikali mda umepita ana zaidi ya miaka miwili sasa. Kama. Ingekuwa ni kazini tungesema probation period imeshapita ni muda wa kudeliver sasa.
Ni ukweli usiopingika wateule walio wemgi hawana shida yoyote kubwa maana wengine walikuwepo hata awamu ya tano ila performance yao ya sasa ni bovu sana. Raisi ndo mzembe wa mambo anachilia mipango inaende hovyohovyo hasa kwa kukosa maamuzi sahihi lwa wakati sahihi.
.
Hata kama atabadilisha baraza la mawaziri kila siku. Kama yeye hatabadilika hatutaweza kuona Tofauti yoyote. Inshort anayemkwamisha samia na watanzania kwa sasa ni Samia mwenyewe yeye ndo wa kubadilishwa tuache kupaka rangi upepo.