Hivi ni kwa nini karibia kila intelligent and high IQ black man hapa Tanzania watasema siyo Mtanzania? Je, sifa ya utanzagiza ni low IQ , underachieving, low self esteem and backwardness?
Kila black man anayefanya vizuri watamzushia Mkenya, utasikia mrwanda mara hata kongo, kwa nini ? kwa ninj...