Hawa ni baadhi ya marubani watanzania

Riskytaker

Member
Mar 14, 2024
90
453
Herman mushi na neema swai Hawa ni baadhi ya marubani wazawa kabsa wanairusha ndege za air Tanzania the wings of Kilimanjaro

Hawa wangetakiwa wawe na page social media ku inspire vijana na watoto katika mambo ya urubani.

Mfano Ukingia katika tiktok version ya china na Tanzania utugundua wachina wanatoa vipaumbele kwenye mambo yenye tija Mfano science, innovation, sports and game n.k

Ki ukweli Tanzania tuna hasara kubwa sana ya vijana bongo za vijana wengi ni Mpira na mapenzi .

Reflection yake ni kwamba tunakosa watu smart kichwani kwenye kila carrier.

Automatically rundo la watu wanaingia kwenye cycle ya umasikini wa kipato na mawazo

Nchi kama china Japan na south Korea zimeshape vijana kwenye mambo ya maana kwa Sheria Kali za matumizi ya social media.

China hakuna uhuru wa kuongea au kufanya mambo kama ya ukwungi, twerking n.k
 
Attachments

  • FB_IMG_1711543348342.jpg
    FB_IMG_1711543348342.jpg
    67.1 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1711543337561.jpg
    FB_IMG_1711543337561.jpg
    75.2 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1711542980363.jpg
    FB_IMG_1711542980363.jpg
    41.5 KB · Views: 2
Herman mushi na neema swai Hawa ni baadhi ya marubani wazawa kabsa wanairusha ndege za air Tanzania the wings of Kilimanjaro

Hawa wangetakiwa wawe na page social media ku inspire vijana na watoto katika mambo ya urubani.

Mfano Ukingia katika tiktok version ya china na Tanzania utugundua wachina wanatoa vipaumbele kwenye mambo yenye tija Mfano science, innovation, sports and game n.k

Ki ukweli Tanzania tuna hasara kubwa sana ya vijana bongo za vijana wengi ni Mpira na mapenzi .

Reflection yake ni kwamba tunakosa watu smart kichwani kwenye kila carrier.

Automatically rundo la watu wanaingia kwenye cycle ya umasikini wa kipato na mawazo

Nchi kama china Japan na south Korea zimeshape vijana kwenye mambo ya maana kwa Sheria Kali za matumizi ya social media.

China hakuna uhuru wa kuongea au kufanya mambo kama ya ukwungi, twerking n.k
Kila mtu ni anapambana na hali yake, bongo bahati mbaya
 
Kuna brian wamala .Mwanangu sana umemsahau. Ana chaneli yake pale mjini youtb inaitwa adventure with brian .AWB. Fanya kuisubscribe utaenjow .
 
Herman mushi na neema swai Hawa ni baadhi ya marubani wazawa kabsa wanairusha ndege za air Tanzania the wings of Kilimanjaro

Hawa wangetakiwa wawe na page social media ku inspire vijana na watoto katika mambo ya urubani.

Mfano Ukingia katika tiktok version ya china na Tanzania utugundua wachina wanatoa vipaumbele kwenye mambo yenye tija Mfano science, innovation, sports and game n.k

Ki ukweli Tanzania tuna hasara kubwa sana ya vijana bongo za vijana wengi ni Mpira na mapenzi .

Reflection yake ni kwamba tunakosa watu smart kichwani kwenye kila carrier.

Automatically rundo la watu wanaingia kwenye cycle ya umasikini wa kipato na mawazo

Nchi kama china Japan na south Korea zimeshape vijana kwenye mambo ya maana kwa Sheria Kali za matumizi ya social media.

China hakuna uhuru wa kuongea au kufanya mambo kama ya ukwungi, twerking n.k
Unafahamu Ada ya kozi ya upilot?
 
MUSHI na SWAI! Mkabila sana wewe jamaa.
 
Hawa kwa lugha nyepesi ni "madereva waliochangamka"....
Labda kidogo Aircraft Engineer ...
Upo wrong sana . Tena sana. Hivi unajua msoto wa kupata leseni inayoitwa ATPL ambayo inampa ithibati kurusha ndege kimataifa? Je unaujua msoto wa marubani wanaopitia wakifanya kitu kinaitwa instrument rating? Fanya kutafuta huko ytb upate abcd za hiyo taaluma,
 
Herman mushi na neema swai Hawa ni baadhi ya marubani wazawa kabsa wanairusha ndege za air Tanzania the wings of Kilimanjaro

Hawa wangetakiwa wawe na page social media ku inspire vijana na watoto katika mambo ya urubani.

Mfano Ukingia katika tiktok version ya china na Tanzania utugundua wachina wanatoa vipaumbele kwenye mambo yenye tija Mfano science, innovation, sports and game n.k

Ki ukweli Tanzania tuna hasara kubwa sana ya vijana bongo za vijana wengi ni Mpira na mapenzi .

Reflection yake ni kwamba tunakosa watu smart kichwani kwenye kila carrier.

Automatically rundo la watu wanaingia kwenye cycle ya umasikini wa kipato na mawazo

Nchi kama china Japan na south Korea zimeshape vijana kwenye mambo ya maana kwa Sheria Kali za matumizi ya social media.

China hakuna uhuru wa kuongea au kufanya mambo kama ya ukwungi, twerking n.k
Hawa si marubani wa kwanza Tanzania, wapo walioanza na EAA na ATC baadae, ila hawa wamefunzwa na mama, tumpe pongezi.
 
Yuko pia jamaa yangu mmoja ni MZALENDO sana yaani kupitiliza kasota sana mpaka kuwa Rubani .

Daah jamaa yangu huyu kwenye KIPIMO cha uzalendo ni zile enzi za Mwl maana ni mtoto wa wazazi wa kawaida lkn HAKUPENDA kabisa maisha ya ULAYA mpaka kesho familia yake iko kule lkn yeye ni BONGO .
 
Upo wrong sana . Tena sana. Hivi unajua msoto wa kupata leseni inayoitwa ATPL ambayo inampa ithibati kurusha ndege kimataifa? Je unaujua msoto wa marubani wanaopitia wakifanya kitu kinaitwa instrument rating? Fanya kutafuta huko ytb upate abcd za hiyo taaluma,
Hakuna msoto wowote ....labda kama akili yako haijatimia..
Kama mtu aliepata division 4 anaweza kuwa Pilot unasemaje ni kitu kigumu?
 
Back
Top Bottom