Hii tabia ya Wanamichezo kumsifia Rais wa nchi kwenye kila jambo tuiitaje?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,573
108,929
Leo Mashabiki wa Vilabu vya Simba na Yanga wamehojiwa na Wanahabari (Media) na Kilichonishangaza hasa GENTAMYCINE ni kusikia Mashabiki hao wakitumia dakika Tano Kumsifia Rais Samia huku wakitumia Sekunde 30 tu Kuziongelea na Kuzisifia Simba na Yanga.

Hivi ni nani Aliyewaroga sasa baadhi ya Watanzania kiasi cha kuwa hivi?

Mnamsifia Rais Somia kwahiyo yeye ndiyo atawafunga Al Ahly na Mamelodi Sundowns FC Ijumaa na Jumamosi?

GENTAMYCINE naweza nikawa NAKEREKA na hili kumbe ikawa labda kuna aina mpya ya Ugonjwa umewaingia baadhi ya Watanzania hivyo nichukue nafasi hii Kuwaombeni Wadau mnitungie aina hii ya huu Ugonjwa ili nianze Kuutafutia Dawa / Tiba mbadala na Wapuuzi waponyeke.
 
Ameweka sera nzuri katika michezo

Ameweka hamasa ya goli la mama, team ikifinga inavuta pesa
Anajenga kiwanja B 200+
Anatoa support zote ikiwepo isafiri amekuwa akitoa ndege ya serikali kusafirisha vilabu na team ya taifa
Na mengine ambayo wewe popoma kajamba nani hupaawi kuyajua

Popoma unataka Rais avae pensi afunge goli

Popoma tumbafu kabisa
 
Laana hiyo
 
Sent using Jamii Forums mobile app
You're very STUPID.
 
Mungu yupo karibu kila kitu kumsifia Samia.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Yaani Rais Samia anasifiwa Kinafiki kwa dakika 5 hadi 7 husu Vilabu vya Simba na Yanga vikisifiwa nao kwa Sekunde 30 hadi 45 tu.

Ndiyo maana Watanzania tunadharaulika mno huko nje ( hasa nchi Jirani ) kutokana na Upuuzi / Upumbavu kama huu.

Yaani Mtu anamsifia Rais Samia tena hadi Kukufuru kabisa ila Wazazi wake Waliomzaa wala hathubutu Kuwapamba / Kuwasifu hivyo.

Nachukia mno Unafiki na Upumbavu.
 
Ameweka sera nzuri katika michezo

Ameweka hamasa ya goli la mama, team ikifinga inavuta pesa
Anajenga kiwanja B 200+
Anatoa support zote ikiwepo isafiri amekuwa akitoa ndege ya serikali kusafirisha vilabu na team ya taifa
Na mengine ambayo wewe popoma kajamba nani hupaawi kuyajua

Popoma unataka Rais avae pensi afunge goli

Popoma tumbafu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaahaaa
 
Back
Top Bottom