Kuna muda huwa siwaelewi na nabaki tu kuwashangaa Waswahili Watanzania

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,651
109,049
Yaani leo wengi wenu Shingo zimewashupaa Kumlaumu Rais wa Uganda Museveni kumteua Mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi ya Uganda.

Mbona hamshangai Watawala wenu ( Marais na Waliostaafu ) pamoja na Mawaziri wenu mbalimbali ambao nao wamehakikisha Watoto Wao wameshika Nyadhifa za maana Serikalini huku Wengine wakimiliki Mirija yote mikubwa ya Uchumi nchini Tanzania?

Kwahiyo Waswahili Watanzania labda mniambie GENTAMYCINE mlikuwa mnataka Rais Museveni amteue nani mnayemjua ndiyo awe CDF wake / wa Uganda?

Nyie ni nani wa Kumpangia Rais Museveni na Waganda mambo yao? Yenu ya Ujinga, Maradhi, Umasikini na Upumbavu yanayowakabili tokea Uhuru wenu mmeshamalizana nayo?

Tena nimekuwa Mtu wa Kwanza huko Twitani ( sasa X ) kutoka Tanzania kumpongeza Muhoozi Kainerugaba kwa UTEUZI huo na pia Kumpongeza Baba yake Rais Museveni kwa kuona Uwezo mkubwa wa Kijeshi wa Kitaaluma na Kiutendaji alionao Mwanae huyo.

Mnajifanya kutwa Kumtishia Rais wa Rwanda Kagame kuwa mtampiga sasa Nawaonya kwa Uganda tena ya Bingwa wa Vita vya aina zote, Jasusi Mkomavu na Mwerevu Rais Museveni ( na sasa Mwanae Fundi wa Vita vya Ardhini na Intelligence ( Muhoozi Kainerugaba kama CDF wake msije rogwa mkawachokozwa kwani huenda Chamwino, Magogoni na Kizimkazi vyote vikawa ni Mali rasmi ya Uganda ambayo GENTAMYCINE naiogopa mno Kimedani kwasababu zangu Binafsi ambazo kwa leo naomba Nizihifadhi
 
Kama ni msosi, Mpishi yuko vizuri, yajayo yanafurahisha
images.jpeg-55.jpg
 
Tusamehe Kaka,,""Tumekosa sisi,,Tumekosa sisi,,Tumekosa Sanaa"maana sio Kwa jigombezo Hilo inaelekea tumekughafilisha mnoo nafsini mwako narudia tena "Tusamehe".###KwaNiabaYaJfMembaziNaWatzKiujumla###
Nimeshawasamehe kwani Mlinikwaza.
 
Yaani leo wengi wenu Shingo zimewashupaa Kumlaumu Rais wa Uganda Museveni kumteua Mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi ya Uganda.

Mbona hamshangai Watawala wenu ( Marais na Waliostaafu ) pamoja na Mawaziri wenu mbalimbali ambao nao wamehakikisha Watoto Wao wameshika Nyadhifa za maana Serikalini huku Wengine wakimiliki Mirija yote mikubwa ya Uchumi nchini Tanzania?

Kwahiyo Waswahili Watanzania labda mniambie GENTAMYCINE mlikuwa mnataka Rais Museveni amteue nani mnayemjua ndiyo awe CDF wake / wa Uganda?

Nyie ni nani wa Kumpangia Rais Museveni na Waganda mambo yao? Yenu ya Ujinga, Maradhi, Umasikini na Upumbavu yanayowakabili tokea Uhuru wenu mmeshamalizana nayo?

Tena nimekuwa Mtu wa Kwanza huko Twitani ( sasa X ) kutoka Tanzania kumpongeza Muhoozi Kainerugaba kwa UTEUZI huo na pia Kumpongeza Baba yake Rais Museveni kwa kuona Uwezo mkubwa wa Kijeshi wa Kitaaluma na Kiutendaji alionao Mwanae huyo.

Mnajifanya kutwa Kumtishia Rais wa Rwanda Kagame kuwa mtampiga sasa Nawaonya kwa Uganda tena ya Bingwa wa Vita vya aina zote, Jasusi Mkomavu na Mwerevu Rais Museveni ( na sasa Mwanae Fundi wa Vita vya Ardhini na Intelligence ( Muhoozi Kainerugaba kama CDF wake msije rogwa mkawachokozwa kwani huenda Chamwino, Magogoni na Kizimkazi vyote vikawa ni Mali rasmi ya Uganda ambayo GENTAMYCINE naiogopa mno Kimedani kwasababu zangu Binafsi ambazo kwa leo naomba Nizihifadhi
Sio WaTanzania wote asee wenye shida ni hao wa msoga
 
Jichanganyeni mumpige Kagame muone Muhoozi atakavyowamaliza na hivi Kazaliwa Upanga Tanzania Jengo ililo mita chache tu na Ukuta wa Muhimbili Hospital na Dada yake Natasha mkione cha Moto. Kudadadeki....!!
Kwa hali ilivyo bora kuelekea upande huo tu kuliko kumsujudia mwarabu
 
Kwa pamoja rwanda na uganda hazitaweza kuipiga tanzania zikashinda. Tanzania ndio baba lao asijaribu muhuni yeyote kuichokoza atapigwa mpaka kwake
 
Yaani leo wengi wenu Shingo zimewashupaa Kumlaumu Rais wa Uganda Museveni kumteua Mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi ya Uganda.

Mbona hamshangai Watawala wenu ( Marais na Waliostaafu ) pamoja na Mawaziri wenu mbalimbali ambao nao wamehakikisha Watoto Wao wameshika Nyadhifa za maana Serikalini huku Wengine wakimiliki Mirija yote mikubwa ya Uchumi nchini Tanzania?

Kwahiyo Waswahili Watanzania labda mniambie GENTAMYCINE mlikuwa mnataka Rais Museveni amteue nani mnayemjua ndiyo awe CDF wake / wa Uganda?

Nyie ni nani wa Kumpangia Rais Museveni na Waganda mambo yao? Yenu ya Ujinga, Maradhi, Umasikini na Upumbavu yanayowakabili tokea Uhuru wenu mmeshamalizana nayo?

Tena nimekuwa Mtu wa Kwanza huko Twitani ( sasa X ) kutoka Tanzania kumpongeza Muhoozi Kainerugaba kwa UTEUZI huo na pia Kumpongeza Baba yake Rais Museveni kwa kuona Uwezo mkubwa wa Kijeshi wa Kitaaluma na Kiutendaji alionao Mwanae huyo.

Mnajifanya kutwa Kumtishia Rais wa Rwanda Kagame kuwa mtampiga sasa Nawaonya kwa Uganda tena ya Bingwa wa Vita vya aina zote, Jasusi Mkomavu na Mwerevu Rais Museveni ( na sasa Mwanae Fundi wa Vita vya Ardhini na Intelligence ( Muhoozi Kainerugaba kama CDF wake msije rogwa mkawachokozwa kwani huenda Chamwino, Magogoni na Kizimkazi vyote vikawa ni Mali rasmi ya Uganda ambayo GENTAMYCINE naiogopa mno Kimedani kwasababu zangu Binafsi ambazo kwa leo naomba Nizihifadhi
Hii bila shaka ni hang over ya futali, ngoja tuone ikiisha utaandika nini..
 
"
 
Back
Top Bottom