watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

    Mnajua Mfike Mahali Mumuogope Mungu, hii ni Roho ya mtu asokuwa na hatia, ilopotewa, Kwa Kuchinjwa , Tena Kuchinjwa na kutenganishwa Kichwa na Kiwiliwili. Maumivu aloyapata marehem, wakati Chombo chenye ncha Kali kikipita Shingoni mwake , pengine akirusha miguu na mikono, Chombo che ncha kali...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Nyerere alifanya Watanzania tudharauliwe sana na nchi za nje hasa Zimbabwe na Kenya

    Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje ambayo hivi leo hayana msaada kwetu. Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni. Tulionekana hatujui kiingereza, nchi inabarabara mbovu, shule mbovu huku watoto wakikaa nchini na kuvaa masempele mashuleni. Wazimbabwe na...
  3. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Mzee wetu Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi anaendeleaje? Watanzania tunamuombea

    Mzee wetu na Baba/ Babu wa Watanzania wengi Dr. Ali Hassan Mwinyi tulitangaziwa ya kwamba yu mgonjwa, na akakimbizwa hospitali kwa matibabu ya kifua. Tangu tumetangaziwa hivyo hatujapata mrejesho wa afya ya Mzee wetu. Woto wangu kwenu ndugu zanguni Watanzania wenzangu, tuendelee kusugua goti...
  4. Accumen Mo

    JamiiForums Tanzania Je, sheria zikisimamiwa ipasavyo Watanzania wengi watapona haswa kwenye unyanyasi wa kingono?

    Habari wanajf Kama kichwa cha habari hapo kinavyosema, je ni kweli kibongo bongo wengi watapona? Tukichukulia mfano kilichomkuta huyo jamaa hapo chini ,sina hakika kama ni kweli hizo shutuma ila walianza kumuandama siku nyingi sana tangu akiwa Barcelona,natumai washapata ushahidi wa kutosha...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania LHRC: Hakuna anayewajibishwa licha ya Mgawo wa Umeme kuathiri Watanzania wengi

    Tamko la LHRC kuhusu hali ya Mgomo wa Umeme nchini la February 19, 2024 limeainisha hoja zifuatazo Hoja 5 za LHRC kuhusu Mgawo wa Umeme Nchini 1. Serikali imekuwa inatoa ahadi hewa kuwa tatizo la Umeme litaisha toka kipindi cha Mradi wa gesi 2012 hadi leo 2024 2. Kukatika kwa Umeme...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Nataka niwahakikishie tutawapa umeme Watanzania

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaagiza wataalam kufanya ukarabati wa miundombinu ya umeme kwa wakati ili kuwawezesha wananchi kupata huduma ya umeme ya uhakika. Dkt. Biteko amesema tabia ya kutobadilisha au kukarabati miundombinu kwa wakati pale inapoharibika...
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ramadhani Brothers waibuka washindi shindano la America's Got Talent Fantasy League, wanyakua Tsh milioni 637

    Ramadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000. Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza kutoka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo. ==========For English Audience...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Gerald Hando: Watanzania wanataka sukari, usituambie tusitumie. Asema majibu ya Janabi na Chalamila ni dharau kwa watanzania

    Mwandishi wa EFM, Gerald Hando ameshangazwa na majibu ya sukari yaliyotolewa na Prof. Janabi yaliyoungwa mkono na mkuu wa mkoa wa Dar. Hando amesema ni mtazamo finyu kuwaza sukari ni chai pekee ilhali sukari inayotumika kwenye chai ni vijiko viwili. Hando amesema sehemu kubwa ya vitafunwa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa: Kuna haja ya kuongeza magati bandari. Watanzania kwenda Misri kujifunza jinsi ya uendeshaji wa Treni ya SGR

    Tanzania imepata ugeni kutoka Misri ukiongozwa na Waziri wa Uchukuzi wa Misri, Luteni Jenerali Kamel Alwazeer kwa lengo la kujifunza fursa za uwekezaji zilizopo Nchini Akizungumza wakati wa kuwakaribisha wageni hao, Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema “Sekta ya Uchukuzi, Serikali...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Watanzania Huyu ni Nani?

    Mwenye kumfaham siyo kwa kumfananisha!.
  11. Beberu

    JamiiForums Tanzania Uaminifu mdogo chanzo cha maisha magumu na umaskini kwa watanzania

    Salamu bongo ? Pita hivi rafiki wew 😂 Karibuni tena kwenye ulimwengu wa kibepari, ulimwengu wa BEBERU, Ipo hivi ndugu zangu, katika nchi yetu ya Tz, ukiacha sababu zilizo nje ya uwezo wetu kama siasa, na vitu ka hivyo ila sababu kuu ya kwanini waTz wengi hatuendelei ni kukosekana kwa UAMINIFU...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania TRIBUTE: Pumzika Lowassa. Kazi umekamilisha, umeacha alama, mwendo umeumaliza. Watanzania wazalendo tutakukumbuka daima-1

    Pumzika Lowassa Pumzika, Kazi Umekamilisha, Mwendo Umeumaliza, Pumzika!. Toka kumetokea msiba wa Edward Lowassa hapa Jamiiforums tukimuita kwa jina maarufu la Mwamba wa Kaskazini, ile Jumamosi iliyopita, mpaka leo, akisubiri kupumzishwa kwenye makao yake ya milele, hapo kesho Jumamosi, mimi...
  13. Swahili_Patriot

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya %80 ya watanzania hawajafika chuo kikuu?

    Tukitumia evidence ya maoni ya WATANZANIA kwenye threads za Jamii forums na social platforms nyingine kama Facebook, IG nk, ni dhahiri kuwa Tanzania kama taifa, inabidi tubadilishiwe mfumo wetu wa elimu na tununue nguvu kazi kutoka nchi zilizopiga hatua kielimu waje kufundisha kwenye shule zetu...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Lembeli: Watanzania waache tabia ya kumsifia mtu akishafariki dunia

    Mbunge wa zamani wa Kahama, James Lembeli amewaasa Watanzania kuacha tabia ya kumsifia mtu baada ya kufariki dunia wakati akiwa hai husemwa kwa ubaya. Lembeli amesema tabia hiyo inazidi kuchonganisha Taifa. Akimzungumzia Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema kuna kipindi watu...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Lowassa ni Waziri Mkuu Mstaafu au ni Waziri Mkuu aliyejiuzulu?

    Yaani mtu kajiuzuru mwenyewe kutokana na Ufisadi wake ambao Umeigharimu nchi pakubwa (hasa kwa kuitia hasara) halafu leo kafariki tunasema/tunamuita ni Waziri Mkuu Mstaafu! Lowassa alistaafu Uwaziri Mkuu wake kama wengine au alijiuzuru kutokana na Kashfa zake za Ufisadi alizojaribu kuzizima kwa...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Misafara ya Makonda ya gharama kubwa wakati Watanzania maisha magumu ni unyama kwa maskini. Isitishwe!

    Uzembe mkubwa na kutowajibika kwa wananchi ndio chama cha mapinduzi CCM. Tumeona magari ya kifahari angalau 13 yakiteketea siku moja tu ya jana. Haya magari ya serikali yanatumika kwenye msafara wa CCM, nani kuruhusu hilo? Billioni zaidi ya 3 zilizoteketea katika ajali ya kizembe ya Makonda na...
  17. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Buriani Edward Lowassa, Rais wa mioyo ya Watanzania

    Sitasahau Mei 2015 uwanja mzima wa Sheikh Amri Abeid, Arusha ukiimba "Lowassa Lowassa, Lowassa Lowassa, sitasahau ile picha Dr. Emmanuel Nchimbi na wengi wa wanachama wa CCM wakiimba "Tuna imani na Lowassa" kwenye mkutano wa NEC 2015. Kipindi cha mchujo hakijanitoka akilini, Edward Lowassa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wamejaa matatizo, hivyo yoyote wa kuwapa matumaini, watamfuata kama watu walivyomfuata Yesu, Babu wa Loliondo. Sasa Mwamposa na Makonda

    Ukiacha matatizo ya kiafya(magonjwa, n.k), watanzania wana matatizo mengi huku wakiwa wamepoteza matumaini ya matatizo yao kutatuliwa na mfumo huu mbovu wa kiutawala tulionao. hivyo, yoyote wa kuwapa matumaini, watamfuata mradi tu awe na mamlaka na zaidi awe na kipaji cha kuigiza mbele ya...
  19. Kipondo Cha ugoko

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumekosa mtetezi kwenye suala la umeme, sasa tunaangamia

    Ndicho nachoweza kusema, machozi ya Watanzania kuhusu kero mbalimbali kwa sasa hayana mtu wa kuyafuta. Sio watawala, sio wapinzani, sio taasisi za kidini Wala yeyote yule. Watanzania tunapigwa bakora za ukosefu wa maji ya uhakika,kupanda kwa gharama za maisha(sukari) kupanda kwa bei za vifurushi...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Naamini Watanzania walioitazama filamu ya Royal Tour hawafiki elfu 10

    Niko Dar es salaam hapa tangu Royal Tour itoke. Sijawahi kusikia mtu yeyote au kikundi cha watu mtaani wakihadithia filamu ya Royal Tour. Mimi mwenyewe sijawahi kuiona, only kwenye vi clip vya sekunde 30 ndani ya safari channel ndo naviona. Nilijaribu kuwauliza vijana wenzangu kazini kama...
Back
Top Bottom