watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

    Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli? Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania sio wajinga, hawatachagua chama ambacho wafuasi, viongozi na wanachama wake sio wazalendo

    Uzalendo ni itikadi ya kuweka maslahi ya taifa lako mbele ili liweze kufanikiwa kwa kila namna. Lakini inatia aibu sana CHADEMA na wanachama wake pamoja na wafuasi wake hawana uzalendo kabisa na hawalitakii mema taifa letu. Kwa mwananchi mzalendo ambae unalitakia mema taifa lako huwezi kubeza...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Watanzania wengi hawana furaha, sisi CUF tunakuja na ajenda yetu, furaha kwa watanzania wote inawezekana

    Amesema chama chao katika uchaguzi wa 2020 kinakuja na agenda ya “Furaha kwa Watanzania inawezekana” Pia Professa Lipumba amewaomba CCM kuwa na siasa za ustaarabu kitapoanza kipindi cha kampeni akisisitiza kupambana kwa hoja Ameyasema hayo Leo Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba. #2020CUFMwakaWetu.
  4. JamiiForums Tanzania World Bank: Mwaka 2012 kulikuwa na Watanzania masikini milioni 12; hadi kufikia mwaka 2018 waliongezeka masikini milioni 2!

    Huu si uzushi wa Mwalimu M-Mbabe, la hasha. Ni taarifa rasmi kutoka World Bank. Awamu ya 4 ilipunguza idadi ya masikini kutoka milioni 13 mwaka 2007 na kufikia milioni 12 mwaka 2012. Chini ya awamu ya 5, idadi ya masikini ili shoot kwa milioni 2 ndani ya miaka 3 tu ya uongozi wake. Tafsiri ni...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania tuwe makini: Viongozi wengi hupenda kugawa "vitu" badala ya "akili" ya kuvipata vitu hivyo

    Ni aibu karne ya leo kupokea baiskeli, chumvi, T-shirt kama kichocheo cha kutoa kura yako. Tumesikia Wabunge kadhaa tena wa Chama chetu Tawala wakishikiliwa na Takukuru kisa ni kutoa rushwa. Ni aibu vilevile Kiongozi kujinadi kuwa amejenga barabara za vijijini hivyo tumpe Kura. Je, niwaulize...
  6. JamiiForums Tanzania Tujadiliane hapa videos ambazo hazipo Youtube ila Watanzania wanapenda ziwepo wadau tupige views na pesa

    Nadhani kila moja jukwaa hili anajua youtube wanalipa pesa kwa videos zako unazokubali kuwawekea matangazo yao. Hakuna kipimo kimoja ama kilichokuwa fixed kujua malipo ni kiasi gani kwa views kadhaa ila ukweli ni kwamba pesa ipo. Sasa naombeni wadau tupeane idea za niche gani ambayo wabongo...
  7. JamiiForums Tanzania Unyonge isiwe sababu ya kuwanyima watanzania haki zao! Unyonge wenyewe, umesababishwa na mafisadi wa CCM!

    Wanajamvi, Ni kweli kabisa, uchumi wa kati matokeo yake yangeonekana kwa watu mtaani. Hata WB kauli yao ingekuwa ya ziada tuu... Kama tungepewa mpango wa Taifa na ukawa unafuatwa, bila ya kujali ni chama gani kipo madarakani, basi wananchi tusingekuwa na shida. Lakini nadhani ccm wanaamini...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Good News For Tanzanian Woman With Strange Growth as Governor Ngilu Intervenes

    Charity Ngilu kipitia Twitter Today, while moving through Nairobi, I met Ms. Pendo Masonga, a 20 year old Tanzanian National who has what appears to be a malignant a growth on her mouth. /1 On interacting with her further I learnt that she has been living with this condition for a long...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania: Tusiogope mabadiliko, yanakuja

    Watanzania tusiogope mabadiliko. Tumekuwa katika mfumo wa CCM kwa zaidi ya miaka 60 sasa (1954-2020) actually kwa miaka 66 sasa mfumo CCM unatawala akili za watanzania. Mnataka CCM itawale kwa miaka mingapi? 100? Nchi zinazotuzunguka zote walishabadilisha vyama vikongwe vyote, ni sisi tu...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania hutembea miendo mirefu kwenda kazini kwa miguu Marekani mtu katembeaa kilomita chache tu kwenda kazini kapewa gari na kuitwa mfano wa kuiga

    Watanzania hutembea miendo mirefu kwenda kazini kwa miguu Marekani mtu katembeaa kilomita chache tu kwenda kazini kapewa gari na kuitwa mfano wa kuigwa na Kila mmarekani!! Toa maoni
  11. JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli ni jibu la sala na maombi ya watanzania?

    Ikiwa unamwamini MUNGU utapaswa pia umwamini katika maombi unayoyafanya, Ninakumbuka kwamba kipindi kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 watanzania tulimwomba MUNGU sana kwa habari ya uchaguzi wa rais na kwamba tulikuwa tukimwomba MUNGU atupe rais ambaye atatufaa watanzania na ambaye angetuvusha na...
  12. JamiiForums Tanzania Nani alikudanganya kuwa CCM na Polisi Tanzania hawana Vinasaba vya Undugu, Mshikamano na Ushirikiano?

    ULINZI WAIMARISHWA DODOMA: Dodoma: 07 Julai, 2020 Wakati vikao vya uamuzi vya Chama Cha Mapinduzi vikitarajiwa kufanyika Jijini Dodoma, ukiwemo Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama hicho, Jeshi la Polisi limesema limeimarisha zaidi hali ya ulinzi na usalama. Mkutano mkuu utafanyika Jumamosi na...
  13. JamiiForums Tanzania VIDEO: Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema atema cheche dhidi ya CCM na serikali yake

    Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema, Hemed Ally, ametema zake cheche hizo mbele ya wananchi huko Bagamoyo. Msikilize....
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Mzee Shomari: Oktoba mwaka huu watanzania wanatoa zawadi za shukurani kwa Dkt. Magufuli

    Ukweli ndio huu anasisitiza huyu mzee. Anasema kura inazoenda kupata Ccm zaidi ya 95% ni zawadi kwa JPM na chama cha mapinduzi. Mfano tu kodi ilikuwa inakusanywa kwa wastani wa bil 800 lakini kwa muda wa miaka minne imefikia wastani wa tril 1.6. Hapo kwa nini wakulima na wafanyakazi wasimshukuru...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Lissu na Membe wana ushawishi kuliko watanzania wengine wanaotaka Kugombea lakin ...

    Ukweli CCM ilijijengea Heshima zamani, Ila kwa sasa mambo yanaenda ndivyo sivyo, Kwasasa Ndani ya CCM kuna mvurugano mkubwa wa hali ya Juu, Pamoja na Kugawanyika vipande ndani ya Chama kuna viongozi wakuu wa zamani wamekuwa kimya bila kutaja pande zao, Leo hii CCM imegawanyika pande 3 1.Wale...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati?

    Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati? Tangu jana nimeona shamrashamra kubwa kuhusu kinachoitwa mafanikio ya Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa Kati. Kuingia Uchumi wa Kati ni hatua nzuri lakini inayohitaji ufafanuzi wa kiuongozi. Hatua hii ikifanyiwa propaganda itaonekana kuwa Serikali ya...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania kuingia Uchumi wa Kati maana yake nini?

    Jumatano tarehe 1 Julai, 2020 Benki ya Dunia iliitangaza rasmi nchi ya Tanzania kuingia katika uchumi wa kati ikiwa ni miaka mitano kabla ya muda ambao Tanzania ilijipangia katika Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 Hakika hii ni jambo la kufurahiwa na kila mtanzania kama alivyosema Rais wa Jamhuri...
  18. JamiiForums Tanzania Raia wa nchi 11 kutoka Afrika mbioni kuruhusiwa kuingia nchi wanachama wa EU kuanzia Julai baada ya nchi hizo kufungua mipaka

    Kwa mujibu wa Euronews orodha ya awali inaonesha raia wa nchi za Mozambique, Angola, Namibia, Ethiopia, Zambia, Rwanda, Uganda, Misri, Tunisia, Algeria na Morocco wataruhusiwa kuingia nchi za Umoja wa Ulaya (EU) Inaelezwa huku Ulaya ikiwa inajiandaa kufungua mipaka, Maafisa wa nchi hizo...
  19. JamiiForums Tanzania CCM na Watanzania Kuweni Macho; Jamaa Anajiandaa Kuwatoka

    Huu ni uchambuzi mdogo. Msingi wa uchambuzi huu ni matukio yenye shaka katika utawala na siasa za Tanzania kuanzia 2016. Kuna muda, ndani ya kipindi hicho, wakongwe ndani ya CCM, wakiwemo Pius Msekwa na Benjamin William Mkapa, wamewahi kuonya. Kwamba haifai kwa mtu mmoja ndani ya CCM...
  20. JamiiForums Tanzania Value Retention ya bodi ya mikopo ni msiba kwa watoto wa watanzania maskini

    wadau kwa masikitiko makubwa nasema value retension ya 6% ya kila salio baada ya makato ni shida kubwa sana kwanza wanufaika walilazimishwa kulipa asilimia kumi na tano wakakubali bado haitoshi wamewekewa 6% kila baada ya mwaka wa fedha kweli haki iko wapi. watu wa sheria wanajua makubaliano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…