watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Watanzania mniombee ili nimalize vizuri kipindi changu cha uongozi kama ilivyo kwenye katiba baada ya hapo niwaachie wengine

    Hizi ni kama salamu kwa Ndugai na wale wengine wenye nia ya kubadilisha Katiba ili kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani. Leo jijini Dodoma katika sherehe za uzinduzi wa wa barabara katika mji wa kiserikali yenye urefu wa kilomita 51.2, pamoja na uzinduzi wa Jengo la ofisi za TARURA mji wa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania fuatilieni mazishi ya George Floyd kuna ujumbe muhimu unatolewa kwa wanasiasa duniani kote!

    Tukio la mazishi liko live Al Jazeera, BBC na Sky news. Lugha ni English na lugha ya alama. Kama una nafasi jaribu kufuatilia ni tukio la kusisimua kwa wale wenye kuthamini utu wa binadamu. Up dates;
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Clouds 360, leo imemtendea haki Tunda Lissu, imeitendea haki Chadema, imewatendea haki Watanzania, hongera sana, mbarikiwe sana!

    Wanabodi, Mtu, Taasisi au Chombo chochote kikifanya jambo jema, jambo zuri la kustahili pongezi, mimi huwa napongeza, hivyo hili ni bandiko la pongezi kwa Clouds Media kupitia kipindi chake cha Clouds 360, leo kimemtendea haki Tunda Lissu, na pia kimeitendea haki Chadema, na katika kuzitenda...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi: Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya Kugombea Urais - Juni 8, 2020

    Amani iwe nanyi Wadau. kama wote mnavyojua leo ndo siku ile ambayo watanzania kwa pamoja wameweza kushuhudia hotuba ya kwanza kutoka kwa gwiji la upinzani, ndugu Tundu Antipas Lissu. Hotuba iliyokuwa imejaa utulivu, akili, busara na hekima iliyotukuka. Kama kawaida CCM walipanga yao, kwanza...
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Bunge kupitisha azimio la kumpongeza Spika Ndugai na Serikali kutobadili Makao Makuu ya shughuli zake

    Bunge la Tanzania leo linaendelea na shughuli zake katika Mkutano wa 19, Kikao cha 40 ambapo baadhi ya shughuli ni kupitisha maazimio mawili Azimio la kwanza ni Kuitaka Serikali kutobadili Uamuzi wa Jiji la Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi na Shughuli za Serikali Azimio la pili ni Kumpongeza...
  6. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Alipotutoa Rais John Pombe MagufulI na anapotupeleka,kwa hakika sasa watanzania tunajua tunapoelekea

    ALIPOTUTOA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI NA ANAPOTUPELEKA,KWA HAKIKA SASA WATANZANIA TUNAJUA TUNAPOELEKEA. Leo 13:30pm 06/06/2020 Rais John Pombe Magufuli ametutoa kwenye giza totoro lililoleta kashfa kubwa ya Ufisadi wa Richmond na Escrow na kutupeleka kwenye nuru na mwanga kwa kutujengea Bwawa...
  7. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa wito kwa Watanzania kuendelea kuwa makini dhidi ya mbinu zozote zinazoweza kufanywa kuwaambukiza corona

    Rais Magufuli ametoa wito kwa Watanzania wote kuendelea kuwa makini dhidi ya mbinu zozote zinazoweza kufanywa kuwaambukiza corona ama magonjwa mengine, huku wakimshukuru na kumtumaini Mwenyezi Mungu aliyemuweza wa yote Jikinge Wakinge Wengine Tokomeza Corona
  8. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya Naibu Waziri wa Zimbabwe kumdhihaki Rais Magufuli, ZANU PF ya Zimbabwe yaiomba radhi CCM na Watanzania

    Chama tawala Zimbabwe cha ZANU PF kimeiomba radhi CCM kutokana na matamshi ya kashfa ya aliekua naibu waziri wa habari wa nchi hiyo aliyoyaandika kwenye mtandao wa twitter mwezi uliopita. Naibu waziri huyo Bwana Mutodi aliandika kwenye mtandao wake wa twitter kua Magufuri kwa maombi bila zuio...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shukrani sana wataalam na wakuu wa Kenya kwa kuendelea kuwapima Watanzania hata wakija na makaratasi eti vyeti

    Hawa majirani tunaowajua sio wa kuchekwa nao, lazima uwe makini, vyeti watafoji kariokoo na kuja navyo eti wamepimwa, au hata wapewe tu na mamlaka zao huko bila kupimwa, kwa sasa wameshajidanganya hawana corona, hivyo utakuta hata vipimo vyenyewe hawavifanyi ili wasimuaibishe rais kwa kauli zake...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Visa vya COVID-19 vyafikia 457, Watanzania 11 ni miongoni mwa madereva wa malori waliokutwa na maambukizi

    Wizara ya Afya yarekodi visa vipya 40 vya COVID19 nchini humo na idadi ya maambukizi hadi sasa ni 457, Wagonjwa wapya wote ni raia wa Uganda. 23 kati yao ni madereva wa malori waliotokea Sudan Kusini (20), Tanzania (2), na mmoja aliyeingia nchini humo kupitia mpaka wa Padea. Aidha, 17...
  11. Maleven

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Adui wa watanzania sio umasikini, ujinga na maradhi bali ni kuridhika haraka

    Miaka nenda rudi tumeimbishwa na wanasiasa kuwa adui mkubwa wa watanzania wengi ni umasikini, ujinga na maradhi Mimi nilichogundua sio kweli tatizo kubwa ni kuridhika haraka. Mfano tumeridhika na dawa za wazungu ndio maana hatugundui zetu, tumeridhika na elimu ya wazungu ndio maana hatuna yetu...
  13. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa ambayo inatia kinyaa kwa Watanzania

    Hapo awali CHADEMA kilionekana Chama ambacho sasa kimekuja kuwakwamua Watanzania toka katika tatizo kubwa lilikuwa linaiharibu nchi ya Tanzania. Maana kilikuwa ndio mwiba kwa serikali ya CCM ambayo ilikuwa imechafuka na kuruhusu mianya ya ufisadi katika kila sekta. Palipotokea ufisadi wowote...
  14. msovero

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa toka hadharani uwaombe radhi watanzania

    Kwako Waziri Mkuu (PM), Majaliwa Kassim Majaliwa Mwaka jana ukiwa bungeni ulitoa ahadi ya kuajiri walimu 16,000 mwaka wa fedha 2019/2020. Mpaka sasa hakuna kilichofanyika na bunge karibuni linavunjwa mnarudi majimboni kujipanga na Uchaguzi Mkuu. Mh. Kassim kama unavyojua UCHAGUZI ni mchezo wa...
  15. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Tukio limetokea Marekani, wanaoumia na kuteseka ni watanzania

    Tukio limetokea Marekani, wanaoumia na kuteseka ni wabongo kisa mtu mweusi kuuawa. Hao wanaoandamana na kuvunja maduka na kuiba bidhaa zilizomo walikuwa wapi hawakuandamana kipindi Marekani amevamia na kuuwa "innocent people" bila kujali wazee, watoto na wajane, bila huruma yoyote! Nchi za...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachina wacharanga Watanzania mapanga ndani ya Tanzania

    Halafu mbaya zaidi, walisaidiana na Watanzania wengine kukatakata wenzao kwa mapanga, ama kwa kweli Watanzania mumekua aibu ya Afrika. ====== POLISI mkoani Mbeya inawashikilia watu nane, wakiwemo raia watano wa China, kwa tuhuma za kujeruhi Watanzania wawili kwa kuwacharanga na sime, baada ya...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wachina watano mbaroni kwa kujeruhi Watanzania kwa sime

    POLISI mkoani Mbeya inawashikilia watu nane, wakiwemo raia watano wa China, kwa tuhuma za kujeruhi Watanzania wawili kwa kuwacharanga na sime, baada ya kutokea ugomvi kati ya Wachina wanaomiliki kampuni ya michezo ya kubahatisha, maarufu kama Bonanza na watu waliokuwa wanacheza mchezo huo. Kwa...
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wagonjwa 28 wa COVID-19 waongezeka Uganda. Watanzania wengine wanne wakutwa na maambukizi

    Wizara ya Afya nchini humo imetangaza ongezeko la Wagonjwa wengine 28 na kufanya jumla ya visa vya #CoronaVirus Nchini humo kufikia 281 Wagonjwa 21 ni madereva wa malori walioingia Uganda kupitia mpaka wa Elegu wakitokea Sudan Kusini huku 7 ni waliokuwa Karantini baada ya kukutana na madereva...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kenya: Watanzania watatu wakamatwa na kuwekwa Karantini, mmoja akimbia. Wadaiwa kuingia nchini humo kinyemela

    Mtanzania mmoja amekimbia na wenzake watatu wamekamatwa na kuwekwa Karantini baada ya kuingia katika Kaunti ya Homa Bay kinyemela siku ya Jumatatu. Aliyekimbia alijifanya anaongea na simu wakati wakihojiwa na Mkuu wa eneo la Kagan Kusini, Sospeter Oyugi katika Kituo cha biashara huko Rangwe...
  20. technically

    JamiiForums Tanzania Kama utawala huu utarudi madarakani 2020-2025 basi watanzania tujiandae kisaikolojia

    Poleni sana Watanzania wote napenda kutoa angalizo kuwa hali itakuwa tofauti sana endapo utawala huu utarejea madarakani. Kama ambavyo Marekani alishaonya kuhusu tume huru ya uchaguzi. 1: Huenda tukawekewa vikwazo vya kiuchumi hasa na taifa la Marekani. 2: Huenda wanasiasa watakaopigwa...
Back
Top Bottom