Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Watanzania wengi hawana furaha, sisi CUF tunakuja na ajenda yetu, furaha kwa watanzania wote inawezekana

CUF Habari

Verified Member
Dec 12, 2019
113
250
Lipumba.jpg

Amesema chama chao katika uchaguzi wa 2020 kinakuja na agenda ya “Furaha kwa Watanzania inawezekana”

Pia Professa Lipumba amewaomba CCM kuwa na siasa za ustaarabu kitapoanza kipindi cha kampeni akisisitiza kupambana kwa hoja

Ameyasema hayo Leo Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba.

#2020CUFMwakaWetu.
 
Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
11,319
2,000
Waambieni Twaweza wawafanyie research mje na data watanzania wangapi hawana furaha, and identify why...then hapo ndio mtakua na stratergies za jinsi ya kurejesha furaha ndani yao..
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
22,702
2,000
Ka Degree kako ka masimango ya Loan Board kutoka Ruaha University kaliko na escort ya pre certificate, cer tificate, diploma one, diploma two eti una hoji Akili ya Prof alieweka record ya GPA Udsm ambayo haitokuja kuvunjwa hadi siku ya mwisho. ( GPA 5.0)

Ukiambiwa Papers za Lipumba zipo kwny shelf za Library za Harvard na Massachusetts unaelewa maana yake?Mjinga huyu,, hivi alipataje uprofeza huyu
 
mr.London

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
2,782
2,000
Mpaka leo hajampata mtu wa kugombea urais maeneo yote mawili Zanzibar na Tanganyika amepewa zile herufi 3 za neno CUF lakini ndani hakuna kitu ni machakacha matupu ata waliokuwa wakimuunga mkono kina Mbunge wa Ziwani Chake chake Ahmed Juma Ngwali, Hamad Juma Hamad na wengine kina Rukia na wenzake wengi wametimkia CCM ambako nako waliwin kupata hela tu si ubunge tena labda ACT wasusie uchaguzi, amebakiwa na hizi meza tupu pamoja na viti vichache ambavyo mara kwa mara huita waandishi wa habari kuongea ata asichokijua.

Zanzibar ACT imeamsha hisia za wazanzibari kuliko ilivyokuwa hiyo CUF miaka ile. Lazima dunia na mamluki wamfahamu Maalim Seif ni nani katika siasa za Zanzibar ifikapo hapo October. Watanganyika wanamchukia sana lakini wazanzibari wenyewe wanamuona kama lulu na wanamuona ndio baba wa Taifa la Wazanzibari
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
32,145
2,000
Mmeshatumika na kupoteza mvuto ndio mnatarajia muongee msikilizwe? Ccm toka lini wakafanya siasa za kistaarabu? Kama kuna chama kinajuwa uchafu wa ccm basi ni CUF, cha ajabu mmegeuka kuwa michepuko ya ccm!
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
32,145
2,000
Ka Degree kako ka masimango ya Loan Board kutoka Ruaha University kaliko na escort ya pre certificate, cer tificate, diploma one, diploma two eti una hoji Akili ya Prof alieweka record ya GPA Udsm ambayo haitokuja kuvunjwa hadi siku ya mwisho. ( GPA 5.0)

Ukiambiwa Papers za Lipumba zipo kwny shelf za Library za Harvard na Massachusetts unaelewa maana yake?
Hizi ni kama sifa za marehemu.
 
ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
8,869
2,000
Ka Degree kako ka masimango ya Loan Board kutoka Ruaha University kaliko na escort ya pre certificate, cer tificate, diploma one, diploma two eti una hoji Akili ya Prof alieweka record ya GPA Udsm ambayo haitokuja kuvunjwa hadi siku ya mwisho. ( GPA 5.0)

Ukiambiwa Papers za Lipumba zipo kwny shelf za Library za Harvard na Massachusetts unaelewa maana yake?
Vimebaki vyeti vilivyobandikwa ukutani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom