There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Wafanyabiashara katika mpaka wa Holili uliopo Wilaya ya Rombo wamelalamikia kitendo cha wao kunyimwa kuingia nchini Kenya kufanya baishara na kutakiwa kuagiza mizigo kwa njia ya simu huku wao wakiingia nchini na kufanyabiashara bila kubughudhiwa.
=======
nomasana, sam999, NairobiWalker...
Uganda imetangaza Wagonjwa 31 wapya wa #COVID19 waliopatikana baada ya sampuli 1,116 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 253
Wagonjwa 23 ni kutoka mipakani ambapo sampuli 896 zilichukuliwa na 8 ni waliopimwa wakiwa Karantini baada ya kukutana na madereva...
Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Meja Jenerali (Mst) Gaudence Milanzi Jumatatu Mei 25, 2020 amesimamia zoezi la repatriation (usafirishaji) wa dharura) ya Watanzania pamoja na raia kadhaa wa nchi hiyo waliokwama kutokana na Lockdown na kusitishwa safari za ndege inayoendelea huko, kutoka...
Wanabodi,
Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho...
Korona itathibitisha upumbavu wetu, kuna wajinga wanaofikiri hatuna korona imeisha.
Mwanasiasa atabiri Watanzania Mil. 1 watakufa kwa Corona / Apewa jibu hili
=====
Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Siriel Mchembe, amewataka viongozi wa dini wilayani Gairo kuiombea Wilaya hiyo na Taifa, dhidi ya...
Huu ni Mwaka wa Tano sasa sikaribishwi katika Sikukuu hizi Kubwa Kubwa kama ilivyokuwa zamani.
Hadi nimejiuliza kwani Watanzania wa kuanzia mwaka 2015 hadi leo hii wana nini na mbona hawafanani kwa Roho nzuri na Ukarimu hadi wa Kugawiana Pesa na Zawadi kama wale wa mwaka 2005 hadi 2015?
Sherehe za kuiaga corona nchini Tanzania zinafanyika kesho jumapili
Nashauri vyombo vya dola viiagize Bakwata pia itangaze kesho Eid El Fitr ili wananchi wakiwa wanasherehekea Eid, pia wanapiga pilau la kuiaga corona
Pia hii itafanya masheikh misikitini kupiga dua za kumshukuru Mungu, na...
Unapopingana na JPM jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania
UMEME: Ukipingana na JPM watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji kwamba Tanzania tuna umeme wa...
Takribani watanzania 119 waliokuwa wamekwama katika nchi za Falme za Kiarabu baada ya mlipuko wa Corona wamesili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere majira ya saa nane mchana kwa ndege ya shirika la ndege la FLY Dubai.
FLY Dubai imewarejesha watanzania hao waliokuwa wamekwama...
Corona ilipoingia duniani iliwaambia watu wafanye uchaguzi wako tayari kufa kwa corona au njaa? Waliochangua njaa wakaji-lockdown ili wasife kwa corona, wafe njaa.
Watanzania tukasema No; kufa njaa ni kujitakia. Tukifa njaa hata Mungu atatuona wajinga ndio maana hatuku-lockdown watu wala...
KORONA: HATUA ZA SERIKALI NA UMUHIMU WA KUJILINDA WENYEWE
UTANGULIZI
Ndugu wananchi wenzangu,
Kama mnavyofahamu, sisi ACT Wazalendo tumekuwa tukiuchukulia kwa uzito wa juu kabisa ugonjwa wa Virusi vya Korona (Covid 19). Sio tu kwa sababu tunaamini kwamba ugonjwa huu kama janga la dunia...
Karibu
Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi.
Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake.
=====
Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
Viongozi wa CCM wanashangaza, wanatuhimiza kunawa mikono, kuvaa barakoa, kuepuka mikusanyiko na kukaa Nyumbani Kama hauna sababu ya kutoka, lakini wakati huo huo wanatuambia kuwa Tanzania Hakuna korona.
Cha kushangaza idadi ya Madereva wanaopimwa na kukutwa na virus vya korona kwenye mipaka ya...
Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Kazungu amezungumza na vyombo vya habari ili kuweka mambo sawa. Balozi kazungu amesema...
Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza...
Na Thadei Ole Mushi.
Leo Nchi yetu imefunga mipaka yake na Kenya kwa baadhi ya Mikoa. Habari kubwa Kenya Ni hatua hiyo ya Tanzania... Yaani huko Kenya wamechachawa haswa.
Ipo hivi Kenya walikuwa Wana deal na Corona kwa mission kubwa mbili. Moja kuua kabisa Utalii wa Tanzania kwa kusema kuwa...
Wakulima wa nchi hii wanauza Mahindi, Mchele, Karanga, Machungwa kwa wingi katika miji ya Mombasa na Nairobi yaani wanategemea soko kwa 60%.
Wafanyabiashara wa ng'ombe wa Tanzania ndi wanalisha nairobi na kenya nyama na wanategemea kipato kutoka Kenya.
Tunauza mbao kwa wingi nchini Kenya...
Hizi nchi kwa huu utawala hazitakuwa na mwisho mzuri. Ukiona hadi Raila analalamika basi shida ni lazima ipo kwa Rais wetu. Tumwambie ukweli.
Kwa takwimu hizi za madereva 51 kati 53 waliokutwa na Corona kwenye mpaka kati ya Kenya na Tanzania kuwa watanzania basi ni lazima jambo lifanyike. Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.