Unyonge isiwe sababu ya kuwanyima watanzania haki zao! Unyonge wenyewe, umesababishwa na mafisadi wa CCM!

jmushi1

Platinum Member
Nov 2, 2007
24,990
22,522
Wanajamvi,

Ni kweli kabisa, uchumi wa kati matokeo yake yangeonekana kwa watu mtaani. Hata WB kauli yao ingekuwa ya ziada tuu...

Kama tungepewa mpango wa Taifa na ukawa unafuatwa, bila ya kujali ni chama gani kipo madarakani, basi wananchi tusingekuwa na shida. Lakini nadhani ccm wanaamini kuwa watanzania wengi hawana ufahamu wa kutosha, na hivyo hawahitaji kufahamu lolote kuhusu rasilimali zao. Na kwasababu hawajui, ni kama vipofu tu, ambao wadhalimu wa ccm wamefahamu namna ya kula nao bila ya kuwashika mikono!

Na Kwahiyo wanatumia lugha tamu kama vile “mtetezi wa wanyonge” ili kuweza kuwaghilibu wananchi ili waweza kuwachagua! Kutengeneza mafisadi na ufisadi, na kujidai kuupinga, ilhali wanauendeleza, na kuwafunga midomo wanyonge hao “vipofu”, na kuwataka washangilie “katonge” wanakotupia mdomoni!

Lakini je maisha ya huyo mnyonge kipofu yanabadilika? Nadhani kwasababu ccm wanafahamu shida ilikuwa ni ufisadi, basi hao ” wakiona tumbua tumbua na wengine wanaolalamika kama wao wanaongezeka, basi ndo wanaona ni maendeleo! Kwani siyo wao tu wanaopata shida, bali kuna wengine ambao ni “mafisadi”, na matajiri, na sasa ni wakati wao wa kuwa na shida wao!

Lakini cha msingi hapa, ni ulaghai wa ccm! Hiyo kauli waliyoitoa WB, siyo sawa na inavyotafsiriwa hapa nchini!

“The World Bank assigns the world’s economies to four income groups—low, lower-middle, upper-middle, and high-income countries”.

New World Bank country classifications by income level: 2020-2021

Kwahiyo sisi tuko kwenye uchumi wa chini kati! Lakini sisi tunatanguliza neno “kati”, kwa kusema, tunasema kwamba tuna “uchumi wa kati”, tena hata hatumalizii neno “chini”, yote ikiwa ni mbinu ya kuwalaghai wananchi! Lakini ukweli ni kwamba uchumi wetu ni wa “chini kati”, na siyo “kati”

Kwa wale wanao wanaofahamu, sababu kubwa ya kauli hiyo ya WB ni ili waweza kutukopesha zaidi! Mfumo wa “credit”. Kauli kwamba “pesa zimetumika kwenye ujenzi”, ni kauli nzuri tu sambamba na ongezeko la kufikia uchumi wa “chini kati”, kwasababu tulikuwa chini. Na hivyo tunaweza kuendelea kukopeshwa.

Suala la kukopa, ndilo ambalo linaongeza deni la Taifa. Tunaweza kusema ni “pesa zetu ndani”, lakini siyo zetu, kwasababu tunatakiwa kulipa! Ni zetu, lakini kwa mfumo wa deni. Yani kwa maana kwamba tukizipata hizo “pesa zetu”, inabidi tuwalipe zile “pesa zao” kwanza.

Lakini makubaliano hatuyajui! Wote tunafahamu mikataba yote haikujadiliwa bungeni! Na wanyonge wakaambiwa wachape kazi ambazo hawana! Mfano wanyonge wengi wamemaliza vyuo, lakini hawajapata ajira, wanaambiwa wachape kazi. Sasa bunge kwa kupitia Nape, likapigwa pini! Siasa zikazuiliwa na wengine hata kutekwa na kupigwa risasi! Yote ni kuwalinda wanyonge na rasilimali zao!

Rasilimali ambazo hawajui hata mikataba yake! Na hapa ndipo pa msingi kabisa! Kwasababu hata hayo madeni, ni wanyonge hao hao pamoja na vizazi vijavyo, wataendelea kukamuliwa tu ili kuweza kulipa! Lakini kama tungefahamu yaliyomo kwenye mikataba hiyo, basi tungeipinga kwa nguvu zote!

Unyonge wa mtanzania, utaisha pale atakapokuwa na uhuru wa kumchagua na kumkataa kiongozi kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi ulio huru na wa haki!

Kwamfano kama kiongozi anasema “serikali yangu itakuwa ya viwanda”, halafu anaingia madarakani ananunua ndege! Anajenga uwanja wa Ndege wa kimataifa kijijini kwao, basi tuweze kumpiga chini kwenye sanduku la kura! Ukifanya ulivyotuahidi, tunakuongezea muda. Tuwe na uhuru huo! Hiyo ndiyo demokrasia ya kweli itakayomkomboa mnyonge wa Tanzania!

Wananchi na haswa vijana, watambuwe kabisa kwamba, hata huo unyonge walio nao, umeletwa na ccm. Hata issue ya ufisadi, ndiyo imetusababishia hasara kubwa na unyonge uliopo! Unyonge unaotokana na umasikini uliosababishwa na chama cha mapinduzi. Sasa kama hata kama wananchi ni wanyonge, je ndiyo iwe sababu ya kuwanyima haki zao za kimsingi? Pia haki ya kikatiba? Pia kufahamu kuhusu mikataba inayohusu rasilimali za Taifa letu?

Kama rasilimali hizo ndizo mojawapo ya nguzo za kumuokoa mnyonge, basi ni muhimu kumpatia haki zote za kikatiba ili aweze kuhoji vyema kuhusu mali zake!
 
wi a in ze rait traki, tupige kazi.

Nimenukuu kauli ya jambazikuu lililoibba trilion 1.5 kwenye bank of tripoli
 
kwa niaba ya CCM ni kwamba hata tufanye vibaya bado serikali itabaki kuwa chini yetu kwa sababu kura zenu siyo muhimu sana bali NEC ndiyo ya msingi sana kuliko kura zenu. Ahsanteni sana.
 
Hapa umepatia kabisa!

Mnyonge ananyogwa zaidi!🤦🏾‍♂️
 
Unyonge wa mtanzania, utaisha pale atakapokuwa na uhuru wa kumchagua na kumkataa kiongozi kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi ulio huru na wa haki!
Unyonge wa mtanganyika na "Ukondoo wa Nyerere". Bila kuwatoa watanganyika kwenye hili la "Ukondoo wa Nyerere" sioni mabadiliko yatatokea wapi. CCM wanatumia hali hii kutugeuza wanavyopenda bila kujali utawala wa sheria bora.
 
Wanajamvi,

Ni kweli kabisa, uchumi wa kati matokeo yake yangeonekana kwa watu mtaani. Hata WB kauli yao ingekuwa ya ziada tuu...

Kama tungepewa mpango wa Taifa na ukawa unafuatwa, wananchi tusingekuwa na shida. Lakini nadhani ccm wanaamini kuwa watanzania wengi hawana ufahamu wa kutosha.

Na Kwahiyo wanatumia lugha tamu kama vile “mtetezi wa wanyonge” ili kuweza kuwaghilibu wananchi ili waweza kuwachagua!

Lakini je maisha ya huyo mnyonge yanabadilika? Nadhani kwasababu ccm wanafahamu shida ilikuwa ni ufisadi, basi hao “wanyonge” wakiona tumbua tumbua na wengine wanaolalamika kama wao wanaongezeka, basi ndo wanaona ni maendeleo! Kwani siyo wao tu wanaopata shida, bali kuna wengine “mafisadi”.

Lakini cha msingi hapa, ni ulaghai wa ccm! Hiyo kauli waliyoitoa WB, siyo sawa na inavyotafsiriwa hapa nchini!

“The World Bank assigns the world’s economies to four income groups—low, lower-middle, upper-middle, and high-income countries”.

New World Bank country classifications by income level: 2020-2021

Kwahiyo sisi tuko kwenye uchumi wa chini kati! Lakini sisi tunatanguliza neno “kati”, kwa kusema tunasema tuna “uchumi wa kati”, tena hata hatumalizii neno “chini”, yote ikiwa ni mbinu ya kuwalaghai wananchi!

Kwa wale wanao wanaofahamu, sababu kubwa ya kauli hiyo ya WB ni ili waweza kutukopesha zaidi! Mfumo wa “credit”. Kauli kwamba “pesa zimetumika kwenye ujenzi”, ni kauli nzuri tu sambamba na ongezeko la kufikia uchumi wa “chini kati”, kwasababu tulikuwa chini. Na hivyo tunaweza kuendelea kukopeshwa.

Suala la kukopa, ndilo ambalo linaongeza deni la Taifa. Tunaweza kusema ni “pesa zetu ndani”, lakini siyo zetu, kwasababu tunatakiwa kulipa! Ni zetu, lakini kwa mfumo wa deni. Yani kwa maana kwamba tukizipata hizo “pesa zetu”, inabidi tuwalipe zile “pesa zao” kwanza.

Lakini makubaliano hatuyajui! Wote tunafahamu mikataba yote haikujadiliwa bungeni! Na wanyonge wakaambiwa wachape kazi ambazo hawana! Mfano wanyonge wengi wamemaliza vyuo, lakini hawajapata ajira, wanaambiwa wachape kazi. Sasa bunge kwa kupitia Nape, likapigwa pini! Siasa zikazuiliwa na wengine hata kutekwa na kupigwa risasi! Yote ni kuwalinda wanyonge na rasilimali zao!

Rasilimali ambazo hawajui hata mikataba yake! Na hapa ndipo pa msingi kabisa! Kwasababu hata hayo madeni, ni wanyonge hao hao pamoja na vizazi vijavyo, wataendelea kukamuliwa tu ili kuweza kulipa! Lakini kama tungefahamu yaliyomo kwenye mikataba hiyo, basi tungeipinga kwa nguvu zote!

Unyonge wa mtanzania, utaisha pale atakapokuwa na uhuru wa kumchagua na kumkataa kiongozi kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi ulio huru na wa haki!

Kwamfano kama kiongozi anasema “serikali yangu itakuwa ya viwanda”, halafu anaingia madarakani ananunua ndege! Anajenga uwanja wa Ndege wa kimataifa kijijini kwao, basi tuweze kumpiga chini kwenye sanduku la kura! Ukifanya ulivyotuahidi, tunakuongezea muda. Tuwe na uhuru huo! Hiyo ndiyo demokrasia ya kweli itakayomkomboa mnyonge wa Tanzania!

Wananchi na haswa vijana, watambuwe kabisa kwamba, hata huo unyonge walio nao, umeletwa na ccm. Hata issue ya ufisadi, ndiyo imetusababishia hasara kubwa na unyonge uliopo! Unyonge unaotokana na umasikini uliosababishwa na chama cha mapinduzi. Sasa kama hata kama wananchi ni wanyonge, je ndiyo iwe sababu ya kuwanyima haki zao za kimsingi? Pia haki ya kikatiba? Pia kufahamu kuhusu mikataba inayohusu rasilimali za Taifa letu?

Kama rasilimali hizo ndizo mojawapo ya nguzo za kumuokoa mnyonge, basi ni muhimu kumpatia haki zote za kikatiba ili aweze kuhoji vyema kuhusu mali zake!
Kweli watu wamekuwa wanyonge sana lakini cha kushangaza wanashabikika ccm!
 
Ukondoo utaishaje bila ya kuiweka ccm bench?
 
Kweli watu wamekuwa wanyonge sana lakini cha kushangaza wanashabikika ccm!
Tatizo siyo wao, tatizo ni ccm na serikali zao. Ebu niambie, bunge hawaoni mubashara, na siyo wafuatiliaji tene! Serikali haitaki kuwahusisha! Kwahiyo wanabakia kwenye mambo ya kuna Chebe na Shilole! Kazi wanazoambiwa wafanye, haziko!

Badala ya kuwekeza vijijini huko kwenye malaki ya heka zenye ardhi nzuri yenye rutuba, ndiyo kwanza wanajenga Dar vijana wakashangae kutoka vijijini! Unakuta wengi ni kuanzia wapiga debe, wamachinga, wauza mahindi, karanga nk.

Sasa hao wakipewa propaganda, wali, kofia na T-shirt wako poa. Lakini siyo kwenye mazingira huru. Ndo maana wanazuia siasa.
 
Wanajamvi,

Ni kweli kabisa, uchumi wa kati matokeo yake yangeonekana kwa watu mtaani. Hata WB kauli yao ingekuwa ya ziada tuu...

Kama tungepewa mpango wa Taifa na ukawa unafuatwa, wananchi tusingekuwa na shida. Lakini nadhani ccm wanaamini kuwa watanzania wengi hawana ufahamu wa kutosha.

Na Kwahiyo wanatumia lugha tamu kama vile “mtetezi wa wanyonge” ili kuweza kuwaghilibu wananchi ili waweza kuwachagua!

Lakini je maisha ya huyo mnyonge yanabadilika? Nadhani kwasababu ccm wanafahamu shida ilikuwa ni ufisadi, basi hao “wanyonge” wakiona tumbua tumbua na wengine wanaolalamika kama wao wanaongezeka, basi ndo wanaona ni maendeleo! Kwani siyo wao tu wanaopata shida, bali kuna wengine “mafisadi”.

Lakini cha msingi hapa, ni ulaghai wa ccm! Hiyo kauli waliyoitoa WB, siyo sawa na inavyotafsiriwa hapa nchini!

“The World Bank assigns the world’s economies to four income groups—low, lower-middle, upper-middle, and high-income countries”.

New World Bank country classifications by income level: 2020-2021

Kwahiyo sisi tuko kwenye uchumi wa chini kati! Lakini sisi tunatanguliza neno “kati”, kwa kusema tunasema tuna “uchumi wa kati”, tena hata hatumalizii neno “chini”, yote ikiwa ni mbinu ya kuwalaghai wananchi!

Kwa wale wanao wanaofahamu, sababu kubwa ya kauli hiyo ya WB ni ili waweza kutukopesha zaidi! Mfumo wa “credit”. Kauli kwamba “pesa zimetumika kwenye ujenzi”, ni kauli nzuri tu sambamba na ongezeko la kufikia uchumi wa “chini kati”, kwasababu tulikuwa chini. Na hivyo tunaweza kuendelea kukopeshwa.

Suala la kukopa, ndilo ambalo linaongeza deni la Taifa. Tunaweza kusema ni “pesa zetu ndani”, lakini siyo zetu, kwasababu tunatakiwa kulipa! Ni zetu, lakini kwa mfumo wa deni. Yani kwa maana kwamba tukizipata hizo “pesa zetu”, inabidi tuwalipe zile “pesa zao” kwanza.

Lakini makubaliano hatuyajui! Wote tunafahamu mikataba yote haikujadiliwa bungeni! Na wanyonge wakaambiwa wachape kazi ambazo hawana! Mfano wanyonge wengi wamemaliza vyuo, lakini hawajapata ajira, wanaambiwa wachape kazi. Sasa bunge kwa kupitia Nape, likapigwa pini! Siasa zikazuiliwa na wengine hata kutekwa na kupigwa risasi! Yote ni kuwalinda wanyonge na rasilimali zao!

Rasilimali ambazo hawajui hata mikataba yake! Na hapa ndipo pa msingi kabisa! Kwasababu hata hayo madeni, ni wanyonge hao hao pamoja na vizazi vijavyo, wataendelea kukamuliwa tu ili kuweza kulipa! Lakini kama tungefahamu yaliyomo kwenye mikataba hiyo, basi tungeipinga kwa nguvu zote!

Unyonge wa mtanzania, utaisha pale atakapokuwa na uhuru wa kumchagua na kumkataa kiongozi kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi ulio huru na wa haki!

Kwamfano kama kiongozi anasema “serikali yangu itakuwa ya viwanda”, halafu anaingia madarakani ananunua ndege! Anajenga uwanja wa Ndege wa kimataifa kijijini kwao, basi tuweze kumpiga chini kwenye sanduku la kura! Ukifanya ulivyotuahidi, tunakuongezea muda. Tuwe na uhuru huo! Hiyo ndiyo demokrasia ya kweli itakayomkomboa mnyonge wa Tanzania!

Wananchi na haswa vijana, watambuwe kabisa kwamba, hata huo unyonge walio nao, umeletwa na ccm. Hata issue ya ufisadi, ndiyo imetusababishia hasara kubwa na unyonge uliopo! Unyonge unaotokana na umasikini uliosababishwa na chama cha mapinduzi. Sasa kama hata kama wananchi ni wanyonge, je ndiyo iwe sababu ya kuwanyima haki zao za kimsingi? Pia haki ya kikatiba? Pia kufahamu kuhusu mikataba inayohusu rasilimali za Taifa letu?

Kama rasilimali hizo ndizo mojawapo ya nguzo za kumuokoa mnyonge, basi ni muhimu kumpatia haki zote za kikatiba ili aweze kuhoji vyema kuhusu mali zake!
Mkuu wasichoelewa mataga deni la taifa ni inclusive kwenye kigezo Cha GNI.

Ilipoingia corona walishupaa wakadai hatuwezi kuwekwa total lock down kwa kigezo kuwa kipato Cha watanganyika wanyonge 90% ni hand to mouth,

Naona ghafla tune imebadilika Sasa tupo uchumi wa kati
Wanaimba na kusujudu
 
Mkuu wasichoelewa mataga deni la taifa ni inclusive kwenye kigezo Cha GNI.

Ilipoingia corona walishupaa wakadai hatuwezi kuwekwa total lock down kwa kigezo kuwa kipato Cha watanganyika wanyonge 90% ni hand to mouth,

Naona ghafula tune imebadilika Sasa tupo uchumi wa kati
Wanaimba na kusujudu
Hilo la kusema tumeingia kwenye “uchumi wa kati”, ni uongo mkubwa wa mchana kweupe!

Tupo kwenye “uchumi wa chini kati”, kutokea kwenye uchumi wa “chini chini”, ama tu chini😀

Cha msingi hapa, kwasababu pesa ni zetu, kwa maana kwamba ni deni ambalo tutatumia pesa zetu kulilipa, ni wajibu wa serikali kuhakikisha wananchi wanapata taarifa kuhusiana na mikataba ya rasilimali zao ambazo ndizo zitakazotuondoa kwenye unyonge na umasikini. Sasa ukiwaachia deni wakaja kuwa watumwa kwenye nchi yao?
 
Back
Top Bottom