watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania lazima tuhoji kuhusu michango hii inayochangishwa na CHADEMA

    Wapendwa watanzania wenzangu, Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kikiomba michango kutoka kwa watanzania katika kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazokikabili chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Watanzania tuna utaratibu wa kuchangiana...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwalimu Mwakasege awataka Watanzania kuibariki siku ya uchaguzi ili pasiwepo hila na udanganyifu

    Mwalimu Mwakasege leo ameendesha maombi rasmi ya kuibariki siku ya uchaguzi ( 28/10/2020) na kuwataka watanzania wote waibariki siku hiyo ili pasiwepo hila na udanganyifu wowote. Mwakasege amesisitiza kuwa maombi hayo ya baraka yahusishe siku 15 za mchakato yaani siku 7 kabla ya uchaguzi, siku...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukata mifukoni mwa Watanzania na Bei ya Sukari, Cementi kupanda maradufu

    Wakati Magufuli anaingia madarakani sukari ilikuwa kati ya 800 na 1200 Kwa Kilo Moja. Mwaka 2016, Magufuli akaingilia Biashara ya sukari na sukari ikapanda hadi 2400. Mwaka 2016 Magufuli alisema Matajiri wataishi kama Mashetani...alidhamiria watanzania wakose pesa, na hakusema masikini wataishi...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Ndugai: Mimi ndio Spika wa Bunge, nawajua Wabunge wote. Hao wapinzani hawajawahi kuwatakia maendeleo watanzania maana wao kila kitu hupinga tu

    CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kondoa kimezindua rasmi kampeni zake za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kondoa Mji, Makoa Ally ambapo mgeni rasmi alikua Spika wa Bunge na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Job Ndugai. Akizungumza katika uzinduzi huo, Spika Ndugai amewaomba wananchi wa Kondoa wasifanye...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Bagonza aitaka NEC isitumike kudhulumu Watanzania

    *Lwakalinda Kalikawe Bagonza kaandika hivi:* NEC WAHURUMIENI WANANCHI NEC WAHURUMIENI VIONGOZI. Kuna jambo haliko sawa. Kama liko sawa, basi kuna jambo haliko sawa ndani yangu. 1. Ni mzigo na adhabu kubwa kwa Wananchi kuongozwa na kiongozi ambaye hawakumchagua. Ni kuwatesa wananchi, ni...
  6. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli: Huwezi kuwa na Uhuru kama wewe ni mtegemezi. Watanzania sasa tuko Huru zaidi kwani sasa tunajitegemea

    Katika kipindi hiki ambacho enzi za Anna Makinda, Tundu Lissu alikiita 'silly season' tutasikia uwongo na upotoshaji mwingi. Tunaambiwa eti Tanzania kwa sasa hakuna Uhuru. Yaani sasa hivi Watanzania hatuko huru. Ukweli ni kwamba mtu au nchi haiwezi kuwa huru kama mtu au nchi hiyo ni mtegemezi...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu: Watanzania sio kwamba hawana akili bali Lugha ya kufundishia ndio shida, Elimu yetu inabidi ifumuliwe na lugha ya kufundishiwa iwe moja

    Tundu Lissu amesema haya kuhusu lugha ya kufundishia: Ukiniuliza mimi, honest opinion Nchi yetu haiwezi kuzungumza Kiingereza, hivyo tunahitaji kuwa na mjadala juu ya sera ya lugha, tusipokuwa na mjadala huu, hatufiki popote kwani language of instruction is everything. Mimi ni Wakili, Majaji...
  8. JamiiForums Tanzania Kimbilio la Watanzania ni CCM pekee, wapinzani wanachanganya wananchi

    Wasalaamu! Nikiwa kama mzalendo wa kweli wa Kitanzania na tukiacha mbwembwe za kisiasa napenda kuja na waraka wa kipekee kwa maslahi ya umma. Utangulizi Tanzania ni nchi inayokuwa kimaendeleo kwa kutumia rasilimali zake na kwa vyovyote vile inahitaji uongozi imara katika hili. Uongozi huu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli akiwa Misungwi; Nimebaki mimi tu kwa sababu hamnipendi, hamjanipitisha bila kupingwa

    Dkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka Watanzania tupendane. Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu. Kadhalika Dkt. Magufuli amewataka...
  10. JamiiForums Tanzania Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

    Uwanja wa CCM Kirumba ambao unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) Enzi za chama kimoja, majengo na maeneo yote ya umma yalikuwa chini ya Serikali. Ujenzi na uendelezaji wa maeneo hayo ulifanya na Serikali kupitia kodi za wananchi, michango, fedha za wafadhili na wahisani mbalimbali. Kwa...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania wanashindwa kuwaamini wagombea wa CHADEMA kwa hofu ya kujitoa

    Tumeshuhudia kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita wabunge na madiwani wengi kutoka chadema wakijivua ubunge au udiwani. CHADEMA haijawahi kuwaambia wananchi sababu ya msingi iliyopelekea hayo. Hii imeondoa imani ya wapiga kura kwao hasa hasa baada ya mchakato wa kuwapata wagombea wa CHADEMA...
  12. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jinsi CCM ilivyo wafukarisha Watanzania kwa miaka 60

    Kwa kingereza ungeweza kusema how CCM underdeveloped Tanzanians for 60 years. Kwa miaka 60 chini ya CCM bado huduma za afya sio za uhakika Tanzania. Wamama wajawazito wanafariki kila siku kwa kujifungua, watoto wachanga wanakufa kwa kukosa huduma. Vituo vya afya havina madawa wala vifaa tiba...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania Tuchangamkie Fursa za Total. Kujenga Vituo 100 vya Mafuta vya Total Vitakavyomilikiwa na Watanzania kwa Mfumo wa DODO

    Wanabodi, Baadhi ya Watanzania wenzetu ni masikini kwa kukosa tuu uthubutu wa kuchangamkia fursa za kibishara zinazojitokeza. Watanzania akiona mtu anafanya biashara fulani, na anapata, na yeye ndio anaiga. Hakuna biashara inayolipa vizuri kama biashara ya kununua hisa, stock markets, lakini...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Kumbe sera ya Bima ya afya kwa watanzania wote Tundu Lissu ka copy kutoka Ilani ya CCM!

    Rais Magufuli leo akiwa mkoani Mara amezungumzia kuhusu sera ya kutoa Bima ya afya kwa watanzania wote. Ahadi hiyo ameitoa leo kwenye kampeni zake huko musoma mjini. Kuthibitisha kuwa sera hiyo ni yake amesoma Ilani ya ccm ya uchaguzi 2020 katika ukurasa wa 139 kipengele "e". Amesema ahadi hii...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi aihakikishia Uingereza na jumuiya ya kimataifa uchaguzi huru, haki

    4 September 2020 Video source : millard ayo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeihakikishia Uingereza pamoja na Jumuiya ya Kimataifa kuwa uchaguzi mkuu unaotegemewa kufanyika mwezi Oktoba mwaka 2020 utafanyika kwa...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Sera ipi inatekelezeka kati ya Wali kuku kwa watanzania (Hashimu Rungwe) VS Tanzania kuwa kama Ulaya (Magufuli)

    Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha CHAUMA, Hashimu Rungwe amejikita katika ahadi ya kuhakikisha watanzania wanapata lishe bora kwanza, wali-kuku imekuwa ndio kibwagizo chake, na amekuwa akijitahidi kulitekeleza hilo kwa vitendo kwenye kampeni zake kwa kuleta kweli wali na kuku, na wananchi...
  17. JamiiForums Tanzania NHIF yaja na makali zaidi kwa Watanzania, yaondoa dawa lukuki kwenye orodha ya dawa zinazonufaika na malipo ya bima

    NHIF imekanusha taarifa hizi: NHIF yakanusha kuondoa dawa 138 kwenye Orodha ya Dawa wanazolipia wateja wake Makali zaidi, kasi zaidi. Sasa makato yetu yana faida gani? Huu ni unyonyaji wa aina yake.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya ujinga, maradhi, umasikini na ufukara wa Watanzania chini ya CCM

    Hii inaitwa 60 years of incompetence, inefficiency and failure of CCM. Leo hii miaka 60 bado chama cha mapinduzi kinategemea wanyonge, watu masikini na wasiojielewa, wajinga. Miaka 60 chama kinajinasibu kua ni chama cha wanyonge, kinatetea wanyonge unajiuliza hao wanyonge walitengenezwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Kijana wa mjini anayewatongoza watanzania ni "joni"

    Huyu ndiye kijana ambaye wakati alipokuwa hahitaji mke alimvunja mguu kaka wa dada. Sasa anamhitaji dada ameamua kujipendekeza kwa kaka eti nipe mke ninakupenda nitakuajiri kwenye kampuni zangu. Huyu ndiye kijana ambaye alipokuwa hana haja ya kuoa aliibeza familia ya dada, akawachenjia mama...
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Shiriki katika historia hii itakayoandikwa siku ya upigaji kura

    Si wananchi, si Polisi, si Wanajeshi si Vyombo vya Usalama si wafanyakazi serikalini,wote wameshaichoka CCM kwa jinsi inavyowahangaisha, njooni huku twendeni kule watu hawana raha na maisha wapo mbioni tu wakitakiwa kuilinda CCM, ambayo bila ya kuwatisha watu kwa barua za kuhudhuria mikutano na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…