Watanzania wakamatwa na vilipuzi wakiviingiza Kenya kimagendo

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,440
Haijajulikana nia yao ilikua nini ila ndio hivyo majirani inatubidi tuwe makini sana dhidi yenu watu.

=======

The Anti-Terror Police Unit (ATPU) is holding three people among them Tanzania nationals who were nabbed with 1,000 pieces of explosive detonators in Taita Taveta.

The suspects were arrested in Mwakitau along the Taveta-Mombasa highway by Kenya Revenue Authority (KRA) officers from the Taveta-Holili one-stop border point (OSBP) on Friday.

“The KRA team, backed by Administration Police officers attached to the OSBP, while on routine patrols intercepted the devices while being transported together with tobacco by a truck no. T143ARG at around 5.30pm, one kilometre from Maktau roadblock, Taita Taveta County,” KRA Coast regional coordinator John Bisonga said in a statement.

The suspects are a driver of the truck and his turnboy, both identified as Tanzanian, and a person who presented himself at the station with a mining permit and claiming to be the owner of the detonators.

KRA said a multiagency team including police and officers from the Directorate of Criminal Investigations (DCI) confirmed the truckload contained of 1,000 pieces of detonators, which had been packed in 10 boxes containing 100 pieces each.

Mr Bisonga said the consignment had been declared at the border as raw tobacco from Moshi, northern Tanzania and was destined for Mombasa.

However, after inspection by customs officers who had stopped the truck, two packages of Supreme Plain detonators were found in the cabin. The vehicle was escorted back to the border crossing.

“Upon being interviewed, the driver claimed the detonators were handed over to him at Taveta town to be delivered to the owner at Mwatate,” KRA said in the statement.

The vehicle and the detonators were impounded in the Customs warehouse.

The suspects will be charged with contravening the Explosives Act after investigations by the detectives.

Source: The East African
 
Habari yako wewe mwenyewe hujaisoma umekuja na lawama.

Gari limetoka Tanzania na mzigo likiendeshwa na dereva akiwa na suka wake wote Watanzania. Wakafika Taveta (Kenya) wakapakia mzigo wa huyo Mkenya anayedai ana vibari vya uchimbaji.

Kwa hiyo vyombo vyenu vya habari vinaupa uzito uraia wa wasafirishaji badala ya uraia wa mmiliki.
 
Wakenya kwasasa ni wakupuuza tudili na Yetu. Hovyo sana hao
 
Nafikiri mngemkamata kwanza huyo mmiliki wa hiyo milipuko, then ndo ilete habari kamili.
 
MK254 kama ni hizi ordinary detonators zinazotumika kulipulia mawe, that is not a VERY big issue. The matter can be worse IF the culprits have been apprehended in possession of hand grenades/landmines. Hapo si support ugaidi.

Ndio maana kama ulisoma hadi mwisho taarifa zimehitimisha kwa kusema " The suspects will be charged with contravening the Explosives Act after investigations by the detectives."

Waliingiza vilipuzi huku wakisema ni tobacco, ingekua Mkenya ndiye kakamatwa Tanzania, mngepiga makelele sana ya hujuma mara ugaidi.
 
Ndio maana kama ulisoma hadi mwisho taarifa zimehitimisha kwa kusema " The suspects will be charged with contravening the Explosives Act after investigations by the detectives. "
Waliingiza vilipuzi huku wakisema ni tobacco, ingekua Mkenya ndiye kakamatwa Tanzania, mngepiga makelele sana ya hujuma mara ugaidi...

Hivyo vilipuzi walipakia taveta kenya baada ya kuvuka boda, ni hapo tamaa ya dereva na utingo wake walipakia mzigo bila kujua ndani kuna nini ili wapate hela ya kula tu njiani
 
Tayari wameanza kulialia kwamba dereva na taniboi wao wanahujumiwa. :D Hawa majirani tangu jadi wana utamaduni wa kuwa 'victims'. Hizi comments ukizisoma utadhani wameziandika huku wakitiririkwa na machozi. :D Siunajua tu mchawi huwa anaishi akijua kwamba majirani wake wote huwa wanajaribu kumroga?
 
Hivyo vilipuzi walipakia taveta kenya baada ya kuvuka boda, ni hapo tamaa ya dereva na utingo wake walipakia mzigo bila kujua ndani kuna nini ili wapate hela ya kula tu njiani

Ndio yalikua majibu ya dereva, sasa uchunguzi utafanywa kubaini zaidi, ilikuakuaje.
 
Ndio yalikua majibu ya dereva, sasa uchunguzi utafanywa kubaini zaidi, ilikuakuaje.

Ndio ungeleta habari iliyokamilika sasa, na pia huyo raia wa tatu aliekuwa kwenye hiyo gari hazungumziwi kabisa. Anazungumziwa dereva wa gari na utingo wake. Badala ya abiria waliekuwa nae ambae ndio mwenye mzigo.
 
Huyo wa tatu hakua abiria, jifunze kusoma taarifa na kuzielewa kabla haujaanza kutiririka.
 
Huyo wa tatu hakua abiria, jifunze kusoma taarifa na kuzielewa kabla haujaanza kutiririka.
Ndio yalikua majibu ya dereva, sasa uchunguzi utafanywa kubaini zaidi, ilikuakuaje.
Tafsiri kwa kiswahili inawahusu sana hawa wajuaji. Yaani mtu anatoka kapa kabisaaa, ila anang'ang'ania kutoa maoni yake akibahitisha bahitisha tu kulingana na alichokielewa kutoka kwenye kichwa cha mada. Ndio swag zao hizo.
 
Back
Top Bottom