Magaidi waendelea kuteka Msumbiji, hivi Watanzania "mlioikomboa" Afrika mbona mnashindwa kuwasaidia "ndugu" zenu hao?

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,650
48,415
Visiwa kadhaa vya Msumbiji vimetekwa na kundi la magaidi wa kiislamu, wanaua bila kujali nini wala nini, pia mkoa wa Kaskazini uliopakana na Tanzania hakukaliki, hali imekua tete, watu wanatoroka vijiji vyao, serikali ya Msumbiji ni kama imeanza kukata tamaa.

Nashangaa SADC imelala chali kwa hili, hawasemi kitu, huku Watanzania ambao hujinadi kuwa "ndugu" wao wa damu wamepiga kimya, sielewi kwanini hawaendi kuwakomboa kama namna huwa wanatambia kwamba "waliikomboa" Afrika na kufukuza mkoloni.

Fanyeni hima mhusike huko mapema ikiwa bado ufa ukutani kabla hamjalazimika kutengeneza ukuta wote. Sisi huku tulifumbia macho ugomvi wa Wasomali hatimaye ikaja kuwa zimwi la Mashababi bin shetwan, japo tumewachakaza lakini masalia yao huwa hatari kuyasaka.

=========

Jihadists in northern Mozambique occupied two small islands in the Indian Ocean threatening maritime traffic in the region where a multi-billion-dollar offshore gas exploration project is being developed, locals said Friday.

The move is the latest in the Cabo Delgado province in the past three years.

It came a month after the Islamic State-linked insurgents occupied a strategic port town of Mocimboa da Praia, which was used for cargo deliveries for the development of the gas project.

Witnesses told AFP that the militants seized control of the islands of Mecungo and Vamisse on Wednesday night.

"They arrived at night in small fishing boats. They removed people from the houses and then torched them," said one man who had fled to Mecungo island from Mocimboa da Praia.

"They didn't hurt anyone, they just gave orders to leave the islands," he said by phone, adding that he had moved further inland to the ruby mining town of Montepuez after sailing to the mainland and then taking a bus ride to Montepuez.

The islands were mostly inhabited by internally displaced people who fled their villages on the mainland where attacks have escalated.
Another witness said that before the houses were burned down, the insurgents held meetings with people and instructed everyone to leave the island.

"They got us together and told us to run away if we want to live. I think everyone left the island," one said asking to not be identified.
The jihadists have staged attacks since 2017, displacing more than 250,000 people and killing at least 1,500.

Government forces are still battling to retake the Mocimboa da Praia port since it was occupied on August 12.

The militants' attacks in the Cabo Delgado have rendered the road network between the provincial capital Pemba and the gas region in Palma, impassable.

Maritime transport had been the alternative for goods and people.

But French oil giant Total, which is investing $23 billion in the gas exploration project, said it no longer relies on the occupied Mocimboa da Praia port.

"Mozambique LNG is not using Mocimboa da Praia as a logistical hub and has indeed built its own marine facilities," Total said in an emailed response to questions.

Provincial police declined to comment on the islands' occupation.

Source: The Citizen
 
Tanzania tunatumia akili sana hatukurupuki hata siku moja, na hata hili tutashinda Kama tulivyoshinda Vita vya ukombozi, M23, Idd Amin na tulivyoishangaza dunia tulivyoishinda Corona.

1) Msumbiji ni nchi huru hatupaswi kuingilia mambo yao hadi watakapotuomba kuwasaidia.

2) Hata wakituomba tuwasaidie lazima tupime maji kabla ya kupeleka majeshi kichwa kichwa kama KDF ilivyojipeleka Somalia, tukiona tunaweza kushinda hiyo vita peke yetu bila madhara makubwa, tutakwenda, vinginevyo tutawasiliana ili twende kama SADC.

3) Sasa hivi tumeweka majeshi yetu kule mpakani, Hakuna hata Sungura anaweza kuingia kutokea Msumbiji.

Jambo moja ninakuhakikishia kwamba iwe itakavyokua, wale magaidi watafutwa kama tulivyowafuta Kibiti wakakimbilia Masumbiji. Hivi tunavyofanya ndio Kenya ilipaswa kufanya, sio kukimbilia kuingia Somalia wakati mpaka wa Kenya na Somalia upo wazi Alshabab wanaingia Kenya kwa urahisi.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Museveni's visit to Chato





MY TAKE
2 days after signing a Host Agreement, Museveni is paying JPM a visit in Chato

Waiting to see if Uhuru will invite himself this time to Chato and offer a word of an apology to JPM as far as Kenya's COVID19 harsh treatment towards Tanzanians is concerned!
Uhuru Kuja Tanzania ni vigumu sana safari hii, kwasababu inabidi atafute "balance" ya alichowaambia wananchi wake kuhusu Tanzania inaficha taarifa za Corona na kwamba haina uhuru wa habari, na atakachomuambia Magufuli.

They say "a person is a master of his/her own words before, but as soon as he/she has spoken, then he/she turns to be a slave of his/ her own wards, can't control them. Uhuru Kenyatta is a slave of his own stupid utterance.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Uhuru Kuja Tanzania ni vigumu sana safari hii, kwasababu inabidi atafute "balance" ya alichowaambia wananchi wake kuhusu Tanzania inaficha taarifa za Corona na kwamba haina uhuru wa habari, na atakachomuambia Magufuli.

They say "a person is a master of his/her own words before, but as soon as he/she has spoken, then he/she turns to be a slave of his/ her own wards, can't control them. Uhuru Kenyatta is a slave of his own stupid utterance.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
kwahiyo yupo tayari kuizika KQ live! sitashangaa kama Kagame hatakuja after Museveni!
 
Kwasasa tuna Mambo yetu
Tulifanya hivyo kuwapa uhuru
Suala lakujilinda nijukumu lao
Tulichelewa mno
Kwasasa tuna linda uchumi wetu na mipaka yetu
Wakijaribu kuvuka tu wanalo
Tuna mambo yetu wakati magaidi wanapanda kuja Tanzania?!Kwa nini mtu akivaa hilo shati la kijani akili huwa zinahama?
 
Tuna mambo yetu wakati magaidi wanapanda kuja Tanzania?!Kwa nini mtu akivaa hilo shati la kijani akili huwa zinahama?
Sasa ulitaka tujipeleke ndani ya Msumbiji kupigana badala ya kulinda mipaka yetu ili kuhakikisha nchi yetu inabaki salaam?, sisi sio Kenya kukimbilia kuingia Somalia lakini wakasahau kulinda mpaka wao.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
kwahiyo yupo tayari kuizika KQ live! sitashangaa kama Kagame hatakuja after Museveni!
Uhuru Kenyatta yupo katika wakati mgumu sana kipindi hiki, siasa za ndani ya Kenya zinakaribia kumshinda, sasa hivi Kenya ni fujo tupu. Hii Corona nayo imeonyesha jinsi alivyo kiongozi dhahifu, yale maneno hakupanga kuyasema, lakini yalimtoka baada ya kuona wakenya wengi wanakubaliana na njia aliyotumia Magufuli na kuanza kumtaka kuiga Tanzania, katika jitihada za kutaka kuwatuliza wakenya, akajikuta anaingia katika 18 za Magufuli, hakuna jinsi refa kampa Magufuli penalty katika dakika ya 90 ya mchezo, uamuzi upo kwa Magufuli, Uhuru Kenyatta hana la kufanya.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom