Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu Watanzania eti;
Kwanini baadhi ya watanzania wana tabia ya kupenda kuwafafanua binadamu wenzao kwa kutumia ulemavu/udhaifu wa maumbile walio nayo?
Yaaani unakutana na mtu anaanza kukuelezea kuhusiana na rafiki yenu mliesoma naye zamani shule ya sekondari ila kwa kuwa humfahamu vizuri na anataka kukufanya umkumbuke kwa kuanza ktaja ulemavu aliokuwa nao jamaa.
Kwa mfano: Just imagine umeenda kariakoo unakutana na rafiki yako Edgar mliesoma naye kisha anaanza kukupa "breaking news" kuhusiana na mtu mmoja mmliyekuwa mnasoma naye shule moja ila kwa sasa ana mafanikio makubwa na anaitwa Alfred. unaweza kumsikia jamaa anasema hivi baada ya kusalimiana na kupiga stories kadhaa;
Edgar: "mzee baba ulisikia kwenye taarifa ya habari jule jamaa tuliyekuwa naye darasani alipewa shavu na CCM sasa hivi ni DAS wilaya moja hivi huko Mwanza"
Wewe: Jamaa gani huyo mkuu, mbona mimi kama simkumbuki.
Edgar: Humkumbuki wapi wewe, acha hizo. Yani wewe humjui yule Alfred tulikuwa tunasoma naye HGL, jamaa mmoja ana bichwa kubwaaaaa na masikio marefu alafu macho yake kama ana makengeza hivi akitembea mbele utafikiri anarudi nyuma.......
Come on guys. Acheni hizo bhana kwa maana Mungu hapendi. Ina maana hakuna namna bora ya kumtolea mtu ufafanuzi mpaka uanze kuelezea udhaifu/ulemavu wake?
Kwanini yeye aliomba kwa Mungu awe na maumbile yenye ulemavu wa namna hiyo ya bichwa kubwa au makengeza?
Some people really need to change seriously.
==========
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

==========Kum address mtu kwa muonekano si vyema kabisa. Me naona waweza kumrefer mtu kwa vitu positive alivyofanya huko nyuma kwani itapelekea hata huyo unayemuambia ajenge picha nzuri kwa huyo unayemsemea.
Mfano; Unamkumbuka Peter tuliyesoma nae ambaye siku ile tuna ubao akatununulia maandaza mawili mawili pale canteen??