watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania TOT ni mali ya CCM haipashwi kutumika kwenye hafla za kitaifa. Huku ni kutumia vibaya rasmali za Watanzania

    Nipo nyumbani kwenye luninga nafuatilia sherehe za kuzima mwenge huko Chato. Jambo la ajabu ni kuona bendi ya TOT ambayo ni mali ya CCM ikitumika ili hali ni sherehe ya kitaifa. Kutumia kodi zetu kuwalipa Tot ili hali ni mali ya CCM ni kukosa busara za kisiasa. Abadani haya mambo yanatakiwa...
  2. Ileje

    JamiiForums Tanzania Somo gani tunajifunza Watanzania kutokana na mgogoro wa mpaka wa baharini baina ya Kenya na Somalia

    Watanzania tuna jambo la kujifunza na kuchukua hatua sahihi hivi sasa kutokana na mgogoro wa mpaka wa baharini baina ya Kenya na Somalia. Tusijifanye vipofu hatuoni ukweli uliopo. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliopo hivi sasa ni wa muda tu kama katiba ya Serikali ya Muungano haitafanyiwa...
  3. SANCTUS ANACLETUS

    JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kulificha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Kiasili ya 'Kijamaa' tuliyonayo Watanzania tunapokuwa nje ya nchi ina faida kwetu au inatufunga kimaarifa na kimaendeleo?

    Nimetembea nchi kadhaa (hasa za Afrika) na nikiri tu kuwa huko sijui Majuu (Ulaya na Marekani) sijafika bado na kama ni kufika Kwangu basi ni ama tu kupitia ITV Daima au Facebook, Instagram na Twitter pekee. Kuna 'Katabia' nimekaona kwa Watanzania wengi wakiwa tu katika hizo Nchi na...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Captain Mbwana Samatta nakuomba tusamehe Watanzania, Taifa Stars ikifungwa mbaya Wewe ila ikishinda Sifa wanapewa Wengine

    Najua unavyoumia Mdogo wangu ila GENTAMYCINE nasema Watanzania tutakutusi, kukashifu na kukuona huna lolote ila hapo hapo ulipo tambua kuwa Wewe ndiyo Shujaa yetu namba Moja ndani ya Kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania ya Taifa Stars. Najua kuwa Taifa Stars ikifungwa basi Sisi Waswahili...
  6. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

    Akiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameiongeza kwa $1.5BL sasa imefikia $6.253BL toka $4.8b mwezi March 2021 | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu mfululizo yaani Wale walale tu au kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi 7, === Namba hazijawahi kudanganya na...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Ifike mahala Watanzania tuache kusomea ualimu, supply imekuwa kubwa mno kuliko demand

    Tukubaliane na hali halisi, walimu wanaosubiri ajira mtaani ni wengi mno, na ambao wako mbioni kuhitimu na ni wengi, maelfu kwa maelfu, ukijumlisha na walio mtaani wanaweza kufika makumi ya maelfu. Tusipochukua hatua hii, ipo siku idadi ya walimu itakuwa sawa na wanafunzi. Hivyo basi tujiulize...
  8. Upepo wa Pesa

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatujachelewa; tuwekeze kwenye Cryptocurrencies!

    Sitaki kuongelea bitcoin miaka 10 iliyo pita wala sitaki kuongelea the likes of etherium miaka kadhaa iliyo pita. Kuna coin ambazo zina huge potential na mpaka sasa zina bei nafuu kweli kweli! Mfano wa hizo coin (pamoja na bei tarehe ya leo 10/10/2021) ni kama ifwatavyo. 1. Matic Polygon (1.3...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Afya ya Akili, Je Watanzania tutumie chanjo ya Corona kama kipimo cha utimamu wetu?. Wapinga chanjo, sio wazima! Je ni vichaa?

    Wanabodi, Leo October, 10 kila mwaka ni siku ya Afya ya Akili, kuna ule utafiti, ulioonyesha kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ana tatizo la Afya ya akili. Matokeo ya utafiti huo, umerudiwa leo asubuhi kwenye TBC na daktari mmoja Mtaalamu wa Afya ya akili kwenye mahojiano ya kipindi cha...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Siku ya Afya ya Akili Duniani: Serikali yasema Watanzania Milioni 7 wana matatizo yanayohusiana na Afya ya Akili

    Wakati Dunia ikiadhimisha Siku ya Afya ya Akili kesho Jumapili Oktoba 10,2021, imeelezwa kuwa Tanzania inakadiriwa kuwa na watu milioni saba wenye matatizo yanayohusiana na afya ya akili. Hata hivyo, sababu mbalimbali zimetajwa kusababisha matatizo ya afya ya akili huku Jiji la Dar es Salaam...
  11. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Nimezidiwa na maisha, niokoeni Watanzania wenzangu

    Tafadhali husika na mada tajwa. Mimi siyo mgeni Humu Ila nimejisajili rasmi Leo. Hali yangu ni mbaya mno, Kwa sasa Sina mengi ya kusema Ila naomba nisaidie kazi yeyote Ili niweze kupata Milo na malazi WASIFU WANGU: 1. Nina miaka 25 2. Nina elimu ngazi ya higher diploma in project planning and...
  12. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Sisi Watanzania tunashangaza; humsifia kila Rais, akiondoka tunaanza kulalamikia aliyotenda.

    Sisi Watanzania tunayo sifa moja tofauti na wenzetu. Humsifia kila Rais anayekuwepo madarakani na kumpa majukumu ya kufikiria kila jambo kwa niaba yetu! Akiondoka madarakani tunaanza kulalama tena kichinichini kwa woga . Kuwa hili na lile hakutenda sawa. Dr. Magufuli alinunua midege, tukamsifia...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Watanzania watege sikio tarehe 09 Oktoba Dodoma, Rais ana jambo la kuwaambia watanzania

    SHAKA: TUTEGE MASIKIO TAREHE 09 RAIS ANA JAMBO KWA WATANZANIA. Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka amesema mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25 itakua imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 100 kwa namna Mwenyekiti wetu na Rais wa Tanzania Ndg...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Malaria yapata Chanjo na WHO imeithibisha, utafiti ulianza mwaka 1980

    Uingereza imefanikiwa kutengeneza chanjo ya Malaria ugonjwa unaosumbua sana Afrika. Majaribio ya Chanjo hii yalifanyika katika nchi tatu za Ghana, Kenya na Malawi ambapo watoto zaidi ya 800,000 wamechanjwa. Chanjo hii imelengwa maalumu kwa ajili ya Afrika hivyo nchi zote barani humo zitapatiwa...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

    MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam...
  16. Latebloomer

    JamiiForums Tanzania Sijui tunakwama wapi Watanzania!

    Nimekua nikisikiliza media mbalimbali kubwa duniani kama vile BBC, VIOA, DW, Aljazeera n.k ambazo zina endeshwa kwa kiingereza. Kwa muda wote huu, media hizi zimekua zikifanya coverage kubwa katika nchi nyingi barani Africa tofauti na nchi yetu, Tanzania. Nimekua nikijiuliza sana mbona kuna...
  17. M

    JamiiForums Tanzania BBC: Watanzania waliopata chanjo ya COVID-19 ni asilimia 0.6 tu!

    Kwa mujibu wa habari hii iliyo katika tovuti ya BBC, Watanzania waliochanjwa ni asilimia 0.6 tu ya watu wote. Kujua asilimia za waliochanjwa katika nchi mbalimbali, bonyeza nchi husika kwenye ramani iliyo kwenye taarifa hii na utapata matokeo. https://www.bbc.com/news/world-56237778
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Uchanjaji sio lazima lakini ni muhimu

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema licha ya kwamba dalili za mlipuko zinaonekana kuwa nzuri, bado tatizo lipo hivyo Watanzania wanapaswa kuendelea kujikinga. Ameeleza, "Tuendelee kuwasikiliza Wataalamu wetu wa Afya, na yale masharti yote tunayotakiwa kufuata ni muhimu kufanya...
  19. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Hivi huku ni kukosa Elimu kwa baadhi ya Watanzania au ni nini? Nimeshangaa sana!

    Thread was deleted
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kikubwa, nitasema kuwa Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania

    Habari! Kwakuwa jf ni huru sidhani kama uzi huu uliojaa mawazo huru usio na kejeli wala matusi sitarajii kwamba utafutwa. Nikiulizwa Magufuli ameacha nini kwa Watanzania, pasi kupapasa nitajibu kuwa "Magufuli ameacha hofu kwa Watanzania, itachukua miaka mingi sana kuipndoa". Watanzania katika...
Back
Top Bottom