watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za Afya nchini tulindeni Watanzania

    Afya ndio msingi wa maisha yetu. Bila kuwa na afya hakuna Jambo linaweza kuwa sawa kwa mtu binafsi, familia na hata Taifa. Kwa hali inayoendelea sasa nchini ya watu kupatwa na mafua na homa kali, nasukumwa kuziomba Mamlaka zetu kuwa Malini na kila kinachoingia nchini hususani vifaa tiba...
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe anatafuta umaarufu kupitia jina la hayati Magufuli. Watanzania walishampuuza kwa sababu hana msimamo

    Anajua akimchafua Magufuli labda atapata kiki maana sasa wapinzani na wanaCcm kwa ujumla walishamchukia na kumuona ni tapeli la kisiasa lenye kujali matumbo yake. Amejaribu kuonyesha na kuchambua juu ya namna Kabanga nikel ilivyouzea kwa hasara lakini amepuuzwa na wananchi. Zile zama zake za...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Zitto adai alichosema Askofu Mwingira kiliwakumba Watanzania wengi wakati wa utawala wa Hayati Dkt. Magufuli

  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2021 umefika ukingoni, mbaya zaidi ni watanzania wenye uchungu na taifa lao,ambao wanapinga ubadhilifu walibatizwa jina la Sukuma gang.

    Huu mwaka haukuwa mzuri sana kwa taifa letu maana tumepoteza ndugu na viongozi wetu. Wengine baada ya kuondoka na kuaga dunia yameibuka mambo mengi. Sasa kila mtanzania anayepinga ufisadi na kuenzi mazuri yaliokuwa yanafanywa na hayati JPM lazima atapachikwa jina la Sukuma gang. Kila mtanzania...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nawatakia Heri ya Christmas na Mwaka Mpya Watanzania wote, nawaomba 2022 tuzidi kuwa Wamoja

    Nawatakia Watanzania wote Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya. Tusherehekee kwa furaha, amani, utulivu na kiasi. Tuendelee kuwa wamoja katika mwaka 2022, tukifanya kazi kwa weledi wa hali ya juu, kwa uzalendo na kwa nidhamu, ili tuendelee kupiga hatua mbele zaidi kimaendeleo.
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Heri ya Krismasi watanzania wote

  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwafumbua macho Watanzania juu ya ufisadi na wizi mali ya umma, sasa Watanzania wapo macho kodo

    Hata kama kuna ufisadi unataka au unaweza kufanyika watanzania sasa wapo macho na wanaweza kushutuka. Maana kabla ya hayati JPM kuchukua kijiti cha kuliongoza taifa la Tanzania huko nyuma watu walikuwa wanajikwapulia pesa za umma kama wanatafuta Big G. Kila mtanzania amepata jibu kuwa pesa...
  8. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumeamua kuuana wenyewe.

    Hivi mtu anatengeneza pombe kali kama hii yenye alcohol 37.5% Halafu anauza shilingi elfu 2 tu lengo ni kuwaua Watanzania wanyonge au lengo ni nin?na serikali ipo tu inafurahia kukusanya kodi.
  9. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Kwanini vifo vya Mkapa na Magufuli vilifuatana?

    Kifo humpasa mwanadamu kumfika hilo halina ubishi. Lakini kwa nini kifo cha Mkapa na Magufuli vilifuatana?!
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maisha halisi ya takriban 70%; bado tunapigana na ujinga, maradhi na umasikini

    Haya ndiyo maisha ya takriban 70% ya Watanzania. Bado tunapigana na maadaui tuliowarithi kwa Wakoloni miaka 60 imiyopita Ujinga, maradhi na umasikini. Mtoto anaezaliwa katika nyumba hii anategemewa akue salama, fikiria changamoto za kudhibiti mbu katika nyumba hii na uepukane na malaria...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arumeru, Dr. Pallangyo umetukosea sana Watanzania. Endelea Kuringa yana mwisho

    “Ukishakuwa mpinzani ile keki ya Taifa huioni sawa sawa, naringa kama ni Mbunge wa Chama Tawala na pia naringa kama ni Mbunge wa Serikali iliyopo madarakani" - John Palangyo, Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki #LiveOnClouds360 https://t.co/XHlBZOzVNd
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Wiki hii ya Christmas. Kunapotokea kosa lolote, mkosaji ana wajibu wa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria, hivyo kinachoendelea sasa ni kwa sheria kuachwa kufuata mkondo wake, ila sasa kuna kelele nyingi, hivyo hili ni bandiko la swali. "Watanzania tumshukuru...
  13. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Watanzania msidanganyike na Ulaghai wa PFIZER & MODERNA dhidi ya JANSSEN (J&J)

    Chanzo ya Pfizer-BionTech na ile ya Moderna zimetuia teknolojia ya mRNA (kutumia RNA ya kirusi cha corona kutengeneza chanjo) Chanjo ya Janssen (J&J) imetumia teknolojia ya kupandikiza RNA ya corona kwenye kirusi cha Adenovirus na kutengeneza chanjo. Chanjo za Moderna na Pfizer majaribio yao...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hongera TCRA kusisitiza Professionalism kwenye habari! Acheni double standards, acheni uonevu. Tendeni haki kwa Watanzania!

    Wanabodi, Naomba kuanza uzi huu kwa declaration of interest. Mimi ni mdau mkubwa sana wa TCRA, nawakubali sana, na hadi vipindi vyao nafanya Ila TCRA ilichomfanyia Humphrey Polepole na shule yake ya uongozi sio sawa, sio haki, ni kumuonea na TCRA kufanya maamuzi kwa double standards...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia 98 ya watanzania wanaojua Kingereza wanaongea Broken!! Tumerogwa au

    Kuna shida Gani, Sasa hivi suala la kuongea Kingereza limezidi kuwa kubwa kadiri siku zinavyozidi kusogea, Sasa hivi yani watanzania wengi Wana elimu ya form four au six , Ila wengi hawajui Kingereza, na hao wachache wanaojitahidi au tumasema wanakijua asilimia kubwa zaidi ya 98 ukiwasikiliza...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kushangaza kuhusu watanzania

    Kuna mambo katika jamii yetu ya kitanzania huwa yananishangaza sana, baadhi ya mambo hayo ni haya: 1.Mtu anakwambia hafuatilii siasa, ila ukifika wakati wa uchaguzi, anaenda kupiga kura! 2.Miaka 60 ya uhuru bado tunakimbiza mwenge! 3.Mtu(mimi mwenyewe nikiwemo), ana bachelor, masters, PhD au...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwa bahati mbaya hatujawahi kupata Mzanzibar aliyepigiwa kura kuwa Rais wa Tanzania Bara, hatutegemei hili litokee tena

    Kipindi anaingia Mwinyi sikuwa bado nimezaliwa ila niliskia kwamba aliingizwa kwa kiasi kikubwa na Nyerere aje kutawala huku. Rais Mheshimiwa wa sasa pia anafanya kazi yake vizuri lakini nae kaingia madarakani baada ya Magufuli kufariki ikabidi arithishwe urais kwa mujibu wa katiba. Ingefaa...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Polepole usikate tamaa kutetea rasilimali za taifa lako, watanzania wapo pamoja na wewe. Sauti ya umma ni sauti ya Mungu.

    Hakuna mtanzania anayefurahi kuona kuna mgao wa umeme, kuona mradi muhimu kama JNHP unachelewa kwa mizengwe, na kuona mradi kama bandari ya Bagamoyo unapigiwa debe huku kuna bandari ya Tanga na Dsm. Watanzania wenye nia njema na taifa lao wapo na wewe. Pambana na usikate tamaa mpaka mwisho...
  19. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Watanzania wamezoea unafiki na siasa za ki malaya malaya, sio ajabu wanawashangaa CHADEMA

    Watu wengi, wakiwamo wanasiasa na wasomi, wamewajia juu CDM baada ya chama hicho kumshukia kama mwewe Zitto Kabwe baada ya yeye kumwombea msamaha Mwenyekiti wao kwa rais kwamba afutiwe kesi. Hili kinadhihirisha kiwango cha juu cha unafiki na umalaya malaya wa kisiasa wa watanzania, wengi...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Waliomfanyia hujuma Polepole wamedharaulika na kupuuzwa na watanzania. Polepole sasa ni shujaa mzalendo anayetetea maslahi ya Tanzania.

    Kila kona Tanzania watu wamewadharau na kuwaona ni wapuuzi na washamba kabisa. Kuvamia na kuvurumua gheto la mzalendo mtetezi wa taifa lenu? Mmeshinda kutwa nzima mitandaoni wanasiasa wa upinzani na wahuni wa Ccm waliozoea kupiga madili. Mkipotosha juu ya Ky Jelly. Upuuzi mkubwa. Leo hii kila...
Back
Top Bottom