watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Sam Sasali na mwenzake watutake radhi Watanzania na matabibu

    Sum Msasali na mwenzake leo wameniacha hoi wakati wanajadili sakata la uhaba wa damu salama nchini, hivyo wakatoa wazo kuwa wataalam waanze kutumia damu za wanyama kuwaongezea binadamu, jamani hii imakaaje? Mfano ukiwekewa damu ya mbwa au mbuzi inakuwaje. Dah!
  2. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kama Katiba Mpya ni kikwazo, iliyopo ifanyiwe marekebisho ili kukidhi mahitaji ya sasa

    Katiba ndio chombo pekee ambacho kinawapa wananchi mamlaka ya kujitawala. Katiba ni mali ya wananchi na sio mali ya watawala wanaowekwa na wanachi kwa njia ya kura. Hakuna kificho kuwa tangu mwaka 1977 ilipotungwa katiba ya JMT taifa letu limepata mabadilijo makubwa. Na kadiri mabadadiliko...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Watanzania international Exposure ni Changamoto

    Wengi tumejikita na uswahili wetu. Hatujichanganyi dunian kujua Kuna nn? Eti Uchumi wa buluu! Majanga haya. Dunia ni yetu sote tutoke tukutane na wenzetu tujenge networks na strategic partnership. **Diaspora yetu japo ndogo lakin Kama sisi tu. Full kusifia ili wapate vyeo
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Watanzania msisahau kuna watu walitaka kuleta kampuni ya kuzalisha mvua kwa kupiga mabomu angani, tuwe macho

    Kila linapotokea suala la upungufu wa mvua basi kwa wanaCCM ambao sio waaminifu basi wao huwa ni fursa ya kuwaibia na kulipora taifa la Tanzania. Huko nyuma sababu ya kujinufaisha wao na matumbo yao, kuna wanaCCM walisema wataleta kampuni ili lizalishe mvua kwa kutengeneza mawingu yanayotokana...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani tusaidieni Watanzania kujibu maswali haya tafadhali

    Kwa heshima na taadhima mimi binafsi naheshimu mawazo mbadala ya kuliendea jambo kulitatua ili kuliondosha, kuliboresha au kupata ahueni. Tangu wimbi la demokrasia ya vyama vingi litue Afrika ikiwemo Tanzania tumeshuhudia uanzishwaji wa vyama vingi ambavyo vinasema kuwa kuna njia rahisi sana ya...
  6. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Siku zinavyozidi kwenda ndivyo Watanzania wanavyozidi kupoteza ari ya mapambano

    Nini kimetokea? Ni mfumo wa elimu au vyakula? Kwenye shule za sekondari watoto wamekuwa kama vikundi vya walokole, hakuna migomo, hakuna vurugu, wanasukumwa kama kundi la kondoo! UDSM hakuna tena 'kunji', sijui hata kama 'revo square' bado ipo. Vijana wanakwenda tu kama kondoo. Wamachinga...
  7. JF Member

    JamiiForums Tanzania Rais anadanganywa na Watanzania tunadanganywa

    Kwanza Mama Shikamoo na Pole na Uchovu. Kwa vile wewe najua unatupenda na una nia ya dhati ya kutuletea maendeleo ngoja nikupe kitu kidogo hapa. Watanzania wote tulio umri kati ya miaka 20 hadi 100 tulikumbwa na UDUMAVU huko nyuma, usituone tunavaa na kupendeza ukazani sote tulikuwa hivyo huko...
  8. Ndenji five

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hasa Watanzania tupo vizuri kwenye kukosoa na kulaumu kuliko kutoa njia za utatuzi

    Hii hupelekea hata viongozi wao washindwe kujua nini wawafanyie hawa binadamu hasa wa Kitanzania kuwaridhisha matokeo yake kila mmoja hufanya anachojua Tokea kuzaliwa kwangu mpaka kufa kwangu sijawahi kuona Rais au mtu yoyote akisifiwa akiwa ndani ya muhula wake zaidi ni vilevile "bora...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza vyanzo vikuu vyote vya maji kuwekewa ulinzi. Asema, "Hatuwezi kuweka rehani maisha ya Watanzania"

    Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Wakuu wa Mikoa yote pamoja na Kamati za Ulinzi za Mikoa na Wilaya kuhakikisha Ulinzi unawekwa kwenye Vyanzo vyote vikuu vya Maji, na kutosita kuchukua hatua za Kisheria Amesema, "Utekelezaji wa Agizo hilo unaanza mara moja, hatuwezi kuweka rehani maisha ya...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania wangechambua siasa na uchumi kama wanavyochambua mpira tungefika mbali

    Habari zenu wakuu, Bila kupoteza mda niende kwenye hoja yangu, miaka ya hivi karibuni kumekua na utitiri wa radio nyingi za masafa ya FM, kama tunavyojua dhima kubwa ya vyombo vya habari ni kuelimisha, kuhabarisha na kuburudisha jamii. Kwa upande wa Redio zetu za Tanzania vipindi vya michezo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ewe Mwenyezi Mungu nakuomba usipokee Maombi ya Watanzania ulete Mvua, bali acha Kwanza tufe ili Akili zitukae sawa na tuache kuwa Mazuzu

    Yaani tunaharibu wenyewe Mazingira kwa Uzuzu wetu huku wengine tukikataa Kupanda Miti mingi au hata Kuitunza tu ili ije itusaidie kwa Kivuli, Upepo na hata Mvua leo tunataka Kumhangaisha Mwenyezi Mungu mwenye Majukumu Mamilioni kidogo dhidi ya Watu na Mataifa mbalimbali atusamehe na atushushie...
  12. Lole Gwakisa

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kufurika Chato na Geita, huku kwingine sisi si waTanzania?

    Siyo vibaya kwa viongozi kutembelea wananchi mikoa yote na kujua matatizo yao pale walipo. Lakini sasa imetokea tabia kwa viongozi wengi wa Kitaifa kuendelea kufurika Chato na Geita, ati kusimamia ahadi za chama na Ilani. Sasa sisi wananchi wa mikoa mingine , hasa kwa mfano mikoa ya kwetu huku...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hatupendi maendeleo?

    Kila mtu ni sehemu muhimu ya maisha yake katika nchi huru kama Tanzania. Kupiga hatua katika maisha ni kiu ya kila mmoja mwenye afya njema na akili timamu hivyo sio Jambo baya kwa mtu kuwa mfano mzuri wa kufanikiwa kupitia kipaji chake alichojaliwa na mwenyezi Mungu. Tanzania ni nchi iliyojaliwa...
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Miezi 8 bila Hayati Magufuli; Alikuwa alama, utambulisho, kielelezo na mwakilishi wa Watanzania

    MIEZI NANE BILA JPM;RAIS MAGUFULI, ALAMA,UTAMBULISHO,KIELELEZO NA MWAKILISHI WA WATANZANIA. Leo 10:35hrs 17/11/2021 Nianze kwa Ushauri,na huu ndio ushauri wangu;Pamoja na Uzalendo uliopitiliza aliokuwa nao Rais Magufuli,pamoja na roho ngumu aliyokuwa nayo kuisimamia Tanzania irudi kwenye...
  15. S

    JamiiForums Tanzania WaTanzania wanahitaji Mageuzi Makubwa sana - Ni lazima CCM iondoke madarakani

    Watanzania tunahitaji mageuzi makubwa sana ili tuondoke hapa tulipokwamishwa,karibia mifumo yote ya uendeshaji nchi imevurugwa na imevurugika na haiwezi kutengemaa ndani ya utawala wa kifalme wa CCM,ni lazima utawala huu uangushwe na kuwekwa kando, Angalia Bunge, angalia mahakama angangalia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi Privaldinho wa Clouds FM tafadhali acha Kutuzidishia Machungu na Kutupandisha Hasira Watanzania wapenda Soka

    'Sasa ni Saa 12 na tupo hapa Uwanja wa Ndege JNIA tukijiandaa Kuruka kwenda nchini Madagascar. Tunawaombeni Watanzania wote mtuombee tufike Salama, tucheze na tushinde Mechi na twende QATAR Mwakani,' Privaldinho Chanzo: Clouds FM Sports Extra leo. Kwahiyo tuwaombee muende mkafungwe tena au...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Wadada watanzania wanaodanga Ughaibuni Jiheshimuni pia waonee huruma Kaka zenu wanaowasaidia

    Mwezi wa Kwanza Mwaka huu nilikutana na mdada maeneo wanapojiuza Waafrika Mara nyingi uwa najitambulisha Kama mkenya Kwa sababu wakenya wanajulikana zaidi hata ukisikika unabonga Kiswahili wanajua from Kenya! Nikawa napita eneo fulani nikakutana Na mdada Sintha si jina lake halisi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania bhana yaani kwa Benchi hili la Ufundi lenye Watu 'dhaifu' kama Shedrack Nsajigwa, Ivo Mapunda na Nadir Haroub mliamini Kombe la Dunia mpo?

    Watajwa wote hapa juu hawana Mafanikio ya Kujivunia na Wachezaji kuifunza kutoka Kwao cha Kushangaza eti na Wao ni sehemu ya Benchi la Ufundi la Taifa Stars kwanini Congo DR wasiupige mwingi na Kutufunga Goli Tatu nzuri.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania wapenda Michezo hasa Soka na Timu yao ya Taifa ya Taifa Stars

    Hivi kama tu Wachezaji wa Kikongo ambao Kutwa tunawaimba, tunawasifu na Kuwakuza mno akina Yanick Bangala, Fiston Mayele, Ducapel Moloko, Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko, Herritier Makambo na Shaaban Djuma hawapati namba, hawaitwi, hawajulikani na hata wakiitwa wanachoma tu Mahindi Benchini...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaolia na tozo ni malimbukeni

    Watanzania wengi hawaelewi tozo ni kitu gani na wanaona ni jambo lipo hapa Tanzania tu huko duniani halipo, na wanahisi wameonewa, hawastahili wao kutoa tozo, wanaona mambo mengine hayatakiwi kulipiwa tozo, wandugu huko majuu hata zile mataka unatupa unayalipia, choo unaenda haja kubwa na ndogo...
Back
Top Bottom