Watanzania hatujachelewa; tuwekeze kwenye Cryptocurrencies!

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,246
34,196
Sitaki kuongelea bitcoin miaka 10 iliyo pita wala sitaki kuongelea the likes of etherium miaka kadhaa iliyo pita.

Kuna coin ambazo zina huge potential na mpaka sasa zina bei nafuu kweli kweli!

Mfano wa hizo coin (pamoja na bei tarehe ya leo 10/10/2021) ni kama ifwatavyo.

1. Matic Polygon (1.3 usd per coin)

2. Enjin (1.7 usd per coin)

3. Cardano (2.22usd per coin)

4. Fantom (2.22usd per coin)

5. Zilliqa (0.1 usd per coin)

Ziko nyingine nyingi lakini hizi ndio naona kidogo zina future nzuri.

Pamoja na kuwekeza kwenye fixed account au ununue hisa ni bora ukafikiria kuwekeza kwenye cryptocurrencies! Miaka mitano mpaka kumi from now unaweza jikuta uko sehemu ingine kabisa!

=========

NB1: Kuwekeza kwenye cryptocurrencies ni kama uwekezaji mwingine, kuna faida na hasara hivyo HAKIKISHA UNAFANYA TAFITI KUJIRISHA KABLA HUJAWEKEZA PESA YAKO.

NB2: Sitoi mafunzo wala huduma za cryptocurrencies na ndio maana nimesisita ufanye tafiti yako mwenyewe ili ujirishe.

Kila la heri Mtanzania mwenzangu!
 
Dogecoin to the moon, the higher the risk the higher the reward

images - 2021-10-10T173023.194.jpeg
 
Nashukuru sana mkuu wa muda wako, kuna jamaa alikuja kunielezea nijiunge na block chain, ila sasa akanistua kidogo alivosema natakiwa nitoe laki 1 lakini pia nitafute na watu wengine wa kujiunga ili nipate faida.

Hapo ndiyo nikakwama, nikajua ni yale yale ya Qnet

Labda alikua anaongelea shughuli ingine ila sio blockchain/cryptocurrency nnayo ijua! Kwa kifupi usijiloge ukaingia kwenye mitego "ya kujiunga ili upate faida"!

Naamini the best way kununua coin au kuwekeza kwenye cryptocurrencies ni kujifunza (good news elimu iko on your finger tips), uwe na uwezo wa kufanya tafiti mwenyewe na kununua mwenyewe bila kununua au kuwekeza kupitia mtu fulani!

Ukiweza hivyo inakua vyema maana wewe kama wewe unakua responsible for your decisions! Ukipata faida unajipongeza ukipata loss una "learn" na ku move on to the next coin/project!

Goodluck mkuu!
 
Wachambuz weng walikatisha tamaa juu ya shiba ooh ni memes/shit ila c hyo inasonga songa. Yan mm nataman ifike thamani km ya doge tuu aseee nile maisha.
Na mimi nilinunua aisee! Teh teh! Sema kama sio maneno ya watu ningenunua nyingi zaidi ila sio mbaya!

Nadhani itaweza consolidate kiasi flan ndani ya miezi michache kabla ya kuendelea juu!

HODL
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom