Sijui tunakwama wapi Watanzania!

Latebloomer

New Member
Oct 6, 2021
4
6
Nimekua nikisikiliza media mbalimbali kubwa duniani kama vile BBC, VIOA, DW, Aljazeera n.k ambazo zina endeshwa kwa kiingereza.

Kwa muda wote huu, media hizi zimekua zikifanya coverage kubwa katika nchi nyingi barani Africa tofauti na nchi yetu, Tanzania. Nimekua nikijiuliza sana mbona kuna matukio mengi sana ambayo yanapaswa kupewa attention kimataifa hayapewi uzito kama nchi zingine mfano majirani zetu (Kenya na Uganda) ambao kila siku zimekua zikitangazwa?

Kwani tumekwama wapi? Au ndo kusema ufanyaji kazi wa media hizi nchini umekua si rahisi kulinganisha na mataifa mengine?

Kama ni lugha (kiingereza) hii sio tatizo sababu hata nchi zisizo zungumza kiingereza mfano Congo DRC, walau coverage ni kubwa ukilinganisha na Tanzania. Sijui tunakwama wapi.
 
bad news ndio news yenyewe.
good news hazivutii.

huko kenya,congo,iraq,mali chunguza wanaripoti nini na nini,utagundua vyimbo vya habari vina kazi kubwa nje ya kuhabarisha tu.

yakitokea machafuko kenya na kwingineko,utawaona live.
 
Wanapanga wanachotaka usikie na sio unachotakiwa kusikia
 
Back
Top Bottom