wataalamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Trainee

    JamiiForums Tanzania Barabara za TASAF ni kuwatesa wananchi halafu mbona hazina usimamizi mzuri kutoka kwa wataalamu wa barabara?

    Habari... Kuna ule utaratibu wa serikali kutoa fedha kwa kaya zisizojiweza maarufu kama fedha za TASAF. Sasa pesa hizo kuanzia mwaka jana nimeona serikali imekuja na utaratibu mzuri ila usimamizi wake utaratibu huu si mzuri kabisa Nimeona vijijini wananchi kuanzia mwaka jana waliambiwa wachimbe...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Mitambo Yote na Wataalamu Wawe Site Ndani ya Mwezi Mmoja - Mlimba

    BASHUNGWA: MITAMBO YOTE NA WATAALAM WAWE ‘SITE’ NDANI YA MWEZI MMOJA - MLIMBA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Henan Highway Engineering Group Co. Ltd, inayojenga barabara ya Ifakara-Kihansi (km 124) Sehemu ya kwanza Ifakara-Mbingu (km...
  3. Mdeke_Pileme

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Maabara watoa dukuduku lao, kuhusu sakata la utoaji majibu yasiyo sahihi katika Vituo vya Afya

    Baada ya jukwa la JamiiForums kuchapisha nakala kwenye mitandao ya kijamii inayosema :- Bodi ya Maabara Binafsi za Afya ambayo ipo chini ya Wizara ya Afya imesema inayafanyia kazi madai kuwa baadhi ya Maabara zinatoa majibu ya uongo ili Zahanati ziuze Dawa, ikiwa ni ufafanuzi uliotolewa baada...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo?

    Swali kwa wataalamu: Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo? Nauliza kwasababu wagojwa wa figo wameongezeka sana Tanzania
  5. P

    JamiiForums Tanzania Wataalamu tatizo la kutopata mkojo na choo husababishwa na nini?

    Kaka yangu jirani amepoteza Maisha Leo kwasababu ya tatizo hili Alifunga kupata mkojo Alifunga kupata choo kubwa Tatizo hili husababishwa na Nini ?? Tumepoteza kijana mdogo Sana
  6. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mambo ya madini

    wakuu habari za uzima? Tukiwa tunaendelea kusheherekea siku ya mama yetu mpendwa mheshimiwa samia suluhu Hassan na bata la mama. Nimeona leo nije kuuliza jambo baada ya kukutana na mtu aliyenipa mawazo kuhusu biashara hii ya madini. Wataalamu na wajuzi wote katika sekta hii ya madini naombeni...
  7. Oya Tusepe

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ndoto mpo wapi? Njooni mnipe tafsiri

    Habari wakuu. Nimeota naoneshwa na mtu wa kawaida tu na 60 60, ni kwamba 60 moja imeandikwa juu ya nyingine. Kisha akaniambia, KIJANA HUO NDIO MWISHO WAKO. Note: Ni kwa watu wenye uelewa wa ndoto pekee
  8. V

    JamiiForums Tanzania Ipi ni siku ya kwanza ya juma? nimeambiwa ni Monday kwetu tunaita Jumatatu. Ukweli ni upi?

    Tumekuwa na kawaida Kila Jumalipi tunaenda kanisani kusali Kwa sisi Wakristo na tukisisitizwa kuwa ni siku ya Bwana; kuwa alipumzika siku ya Saba. Je lugha yetu inanichanganya maana nafahamu juma mosi ndio mwanzo wa wiki, jumapili ni siku ya pili and so on. Nimegoogle ipi ni siku ya kwanza ya...
  9. fundi bishoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wataalamu wa IT naomba mnisaidie kuifunga simu isifanye kazi na kumtafuta aliyeniibia

    Wakuu kuna kisimu changu kimeibiwa sasa nimehangaika naona imekuwa mambo mengi kama mtu unaweza kuifunga isifanye kazi kama inawezekana nitashukuru Lakini pia kama utaitrack kama utamlipisha ukimkamata aliyeiiba hii simu ni wewe tu upendavyo mimi nimesamehe lakini roho inaniuma naweka na imei...
  10. Kisetuu

    JamiiForums Tanzania Wataalamu naombeni gharama zote mpaka kukamilika

    Naomba wale wataalamu wa ujenzi engineering wanipe gharama za mjengo kama huu
  11. Kisetuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba wale wataalamu wanisaidie kupanga

    Naomba wataalam wahizi mambo wanisaidie kupanga apa
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso aagiza timu ya Wataalamu kuchunguza madai ya maji yenye uchafu Sombetini Arusha

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com ambaye ni Mkazi wa Sombetini kusema kuwa kuna changamoto ya maji yasiyo salama kutoka kwenye mabomba ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA), hali ambayo ilikuwepo kwa miezi kadhaa nyuma na sasa imejirudia na kuwasababishia Magonjwa ya Tumbo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wabobezi waliochafuliwa na fitina za CCM

    1. Sospeter Muhongo. Huyu ni gwiji ktk taaluma ya miamba ya madini. Alikuwa zake South Africa miaka lukuki akiwa rais wa wanataaluma ya miamba Afrika nzima. Kikwete kaenda kumbembeleza aje atunasue kwenye sekta ya madini. Kufika hapa kapewa uwaziri lkn hakukaa muda mrefu akaangushwa na kundi...
  14. Nkaburu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua habari na taarifa potofu Mtandaoni-Taarifa tam tam au yenye kutia hasira.-Vidokezo kutoka kwa Wataalamu wa Saikolojia

    Je Ushawahi kukutana na Taarifa tamu tamu mtandaoni au taarifa ambazo zilikufanya ujisikie kutamani, hasira, chuki, au hofu? Basi hauko peke yako. According to Scientist, wataalamu wa saikolojia, watu wengi ni wahanga wa wa habari potofu mtandaoni. Hatahivyo, cha muhimu ni kutokupanic au...
  15. Trainee

    JamiiForums Tanzania Kilimo kinatesa sana siku hizi hebu wataalamu nisaidieni tatizo hili kwenye mazao ya chakula

    Zamani nakumbuka ilikuwa mchawi nguvu tu, chochote utakachopanda kinakubali na kinafika Siku hizi sasa mkulima ana vikwazo na maadui kibao! Hebu cheki mtu unalima mazao yako kisha kuna Viwavi Panya Njiwa Ndege Kware Panzi Mchwa Vibaruti Beetle Serikali Majongoo Konokono Halmashauri Mafuriko...
  16. L

    JamiiForums Tanzania China yaungana na Afrika katika mapambano dhidi ya UKIMWI kwa kutoa mafunzo kwa wataalamu wa Afrika

    Ikiwa tarehe Mosi Disemba ni siku ya Ukimwi duniani, mbali na kwamba dunia inakumbwa na majanga ya magonjwa mengine lakini janga la Ukimwi bado halijasahauliwa. Nchi mbalimbali zimekuwa na mipango ya kuhakikisha zinatokomeza kabisa ugonjwa huu. Wanasayansi wa sehemu mbalimbali wamekuwa wakikuna...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Nawaita wataalamu wa ndoto, wachawi , wajuvi wa mambo, wadadisi, wanazuoni, mafundi wa masuala ya kiroho. Mnipe jawabu ya hili jambo

    Suala langu: Nimekuwa nikisikia Mengi kuhusu ndoto, Wengine mara oohh sijui mlango wa kuyaona yaliyopo nyuma ya Dunia, Mambo yasiyoonekana etc. Wengine wanasema kuwa ndoto ni matukio ambayo tunayafanya kila siku...yanajikusanya. Swali langu:. Kwanini Hajawahi tokea Binadamu yoyote akaota...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mambo ya kiroho nawaomba haraka

    Habari! Hata Marais Kuna wakati huombana ushauri. Katika familia yetu tuko 8 kwa mama mmoja na kwa baba jumla tuko 17. So far, kuna brother wetu wa kwanza kabisa yeye ndiye mwenye pesa kuliko wote . Yeye ni mkulima mkubwa kidogo. Nikimaanisha mvuno mmoja million 20 hakosi. Pia ana kijiwe cha...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa online banking CRDB karibuni tubadilishane mawazo

    Habari za majukumu kila mmoja, Niko nchini Israel kwa sasa ila Huwa nikipata pesa huku (shekhel) Huwa nakutumia kwa kadi yangu ya visa ya crdb ambayo ninayo huku. Tatizo ni kuwa Sina uwezo wa kujua kama pesa yangu ipo kwa account yangu kama nilivyotuma. Ndipo wazo la online banking likanijia...
  20. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wataalamu wa Body language Unawezaje kusema Hayati Magufuli hakuwa anamaanisha haya aliyo kuwa anazungumza ?

    Nimepita mitaa fulani huko nimesikia kuna watu wanasema hayati JPM ukali wote ule ila alikuwa hamaanishi alivyokuwa akizungumza . Binafsi nimepitia video chache nikaona hayo madai hayana ukweli wowote na alikuwa na nia nzuri na hili Taifa . Kuna wale wataalamu wa body language mnasemaje ...
Back
Top Bottom