Wataalamu wa English kuna shida yoyote hapa?

Kingereza kama hicho anaandika masters wa lugha ,kwao wanaona kawaida ndio maana wanaojifunza kingereza cha wamarekani hawapo sawa kweny grammar ila ni kama wanajisifu fulani.
 
Kwanza nani kaitamka?

Maana kuna kauli zinakuwaga sahihi duniani kutokana tu na haiba ya mzungumzaji husika.

Zipo sentensi ambazo ni sahihi kisarufi, lakini zina makosa kwa sababu tu aliyeitamka hakidhi vigezo kadha wa kadha vya hadhi inayokubalika katika jamii.
Ebu pitia avatar yangu then imagine ndio nimeongea mimi hapa..😊
 
"I was today years old when I found out Babu wa Kitaa na Country Boy ni mtu na kaka yake".

Kumekuwa na mabishano kuwa hiyo sentence hapo juu ni sio sawa na wengine wanasema ipo sawa.

Wajuzi miongozo yenu inahitajika.
Kiswahili na Kiingereza havichangamani, hivyo si sahihi.
 
☑️ "I was [your age] years old when I found out..."
☑️ "Today, I was [your age] years old when I found out..."
Usifanye masahihisho yoyote. Sentensi ile iko sawa kabisa; haihitaji ubishi.
 
Back
Top Bottom