wasio na chama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Mtozi Nyanda, Wabunge 19 wasio na chama waalike kwenye The Big Agenda tuwasikie

    MTOZI! Ni mda muafaka sasa wafuatao waalikwe kwenye kipindi chako ili uwasukumie maswali. Wabunge 19 Spika Mahera Waziri wa Sheria Msajili wa Vyama Takukuru Katibu wa Bunge Mwanasheria wa Serikali Hao watu ni mhimu sana kuwapanga kwenye vipindi vyako vya mijadala. Hata kama unawagwaya
  2. Erythrocyte

    Kuliko Aibu ya kufukuzwa bungeni wale Wabunge wasio na chama wanaojiita wa Viti Maalum ni vema Wakajiuzulu wenyewe

    Wakati mwingine inabidi kubadili mbinu za Usaliti ili kuendelea kutafuna hela za ccm na za umma , Mipango ya Mwendazake kwa Covid 19 ni kama imeondoka naye , Ule ulinzi waliokuwa wanapewa na Msigina Katiba aliyekwenda haupo tena , mipango ya kuwaengua kwa aibu imekamilika . Ili kuepuka jambo...
  3. K

    Kwanini Zito yupo kimya sakata la uvunjwaji Katiba lilifanywa na Spika kupitia wabunge 19 wasio na chama?

    Zitto ni mwepesi sana kutetea na kukosoa uvunjwaji wa Katiba. Ni mchambuzi wa siasa na hoja za maendeleo, Ni mchambuzi wa masuala ya uchumi. Suala la akina mdee linagusa engo zote ambazo Zitto ni mbobezi Kama ifuatavyo; Kwanza, linakosa usimamizi na utetezi wa kisiasa kwa sababu mfumo wa nchi...
  4. Replica

    Naibu Spika Dkt. Tulia: Jesca Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya Spika haina taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako

    Mbunge Kishoa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amelalamikia kunyimwa nafasi ya kufanya mikutano ya kisiasa kabla hajaondolewa kwenye chama chake. Naibu spika akalazimika kuingilia kwa kusema haihitaji kuwa naye bungeni kama hana chama cha Siasa kwani ni takwa la kuwemo...
  5. Elius W Ndabila

    Hawa Wabunge wasio na chama wapo Bungeni kwa sheria ipi? Nani anawalipa?

    WABUNGE WALIOJIPELEKA BUNGENI NANI ANAWALIPA? Na Elius Ndabila 0768239284 Jana baada ya Mchango wa Mhe Halima Mdee Bungeni ambao binafsi niliupenda sana kutokana na umahili wake wa kujenga hoja, baadae alisimama Mhe Kunambi na Mhe Jerry Silaa ambao ni Wabunge wa CCM kujaribu kupinga hoja zake...
Back
Top Bottom