The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.
Wakati Tanzania Iphone ni kama Lulu, wanawake wanahongwa iphone haijalishi ni mdogo au mkubwa ila wanafuraha sana na kutamba wanatumia "latest Iphone"
Wenzetu unapewa simu unalipa $15 kwa mwezi ambazo ni TSHS 30,000 tu
Shida ni nini?
Hizi hapa ni bei kabla ya punguzo unapewa simu kwa mkopo...
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia anasimama mbele ya hadhara na kuwaambia wananchi waliomchangua kuingia bungeni waache majungu sasa tunajiuliza kiburi hiki na ulevi huu wa madaraka anautoa wapi Tulia hadi awaambie wanachi wake waache majungu?
FAMILIA ya WATU WAZURI HAWAFI baada ya Rais Samia kuingia madarakani ilimtengezea kitu kinaitwa SUKUMA GANG kwa lengo la kumtenganisha na watu wote waliowahi kufanya kazi kwa uadilifu na matokeo chanya na Hayati John Magufuli.
Watu hao ni miongoni mwao ni Job Ndugai, Polepole, Bashiru...
Nazidi kuamini baadhi ya maneno kuwa hapa Kuna watu wachache wanahujumu taifa kwa faida zao wenyewe
Inakua haina tofauti na kauli ya jamaa mmoja aliewahi sema mo atapatikana siku flani na kweli akapatikana
Hawa ndugu zetu tanesco kwa kweli wanatutesa Sana nawaza huu umeme ambao haukatiki na...
Nimemsikia waziri kutoka Zanzibar akisema kwamba Kuna kero moja kubwa imeondoshwa kwa tanesco wamekubali kuiuzia Zanzibar umeme Kwa shs 30 Kwa unit.
Huu umeme wa bei hiyo umetoka wapi?
Naam kwa wakazi wa Dodoma naomba mnisaidie na hili. Nahitaji kununua spare kadhaa za pikipiki yangu Yamaha DT 125, je, nitapata duka lipi apa Dodoma mjini?
Habari za mchana wadau wa jukwaa hili.
Nimeingia kahama kwa lengo la kuishi hapa baada ya kutoka Arusha. Nataka kufanya kazi ya mitumba (pointa).
Natamani sana sana kujua soko kuu la mitumba lipo wapi hapa Kahama ?
Asanteni!
Ni zaidi ya miaka nane sasa imepita toka Dr. Mwakyembe autangazie umma juu ya mradi wa treni ya kisasa kwa mkoa wa Dar es Salaam lakini mpaka leo hakuna taarifa yoyote kuhusu huu mradi ulifikia wapi. Pia Mwakyembe alisisitiza kuwa huyu baba alikuwa tayari kuleta hizo treni hata kesho yake tu.
Jana France imeumizwa na watu weusi kama ilivyoumizwa england mwaka jana.
Nashindwa kufahamu tatizo ni nini, siku zote pakishakuwa na mikwaju ya penalty ukiona wabantu wanasogelea sogelea mpira ni maharibiko tu yatakayotokea.
Hivi ni kweli kuwa mtu mweusi amelaanika?
Wakuu mwaka jana sjui juziii(sikumbuki vizuri) watu wa Heineken waliweka big screen pale kigamboni kuonyesha fainali ya UEFA Champions League.
Vipi mwaka huu hakuna sehemu watakayoweka big screen? Maana experience yake huwa ni nzuri saaaana, kuna muda kutokana na mashabiki wengi unahisi kama...
Wakuu, naomba msaada wa kupata vipimo vya HIV vinaitwa Determine Early Detect. Nikimaanisha ni famasi gani ama hospitali gani naweza kuvipata.
Natanguliza shukurani zangu za dhati kabisa.
Ahsante.
Habari ndugu wanaJF,
Zamani tunakua ilikuwa anga likiwa bright hasa nyakati za usiku, wakati unasubiri chakula cha usiku ili usisinzie baba alikuwa anatuambia nenda kahesabu nyota na zilikuwa nyingi mno na zilikuwa zikionekana katika makundi.
Sasa je, siku hizi zimekwenda wapi? Au Ni Mimi ndio...
Habarini wakuu.
Eti zile pesa ambazo mabenki yanadai kama riba zinatoka wapi? Mfano, benki kuu ndiyo kwa mara ya kwanza imeanza.
Imechapa pesa, tuseme 100bilioni. imekopesha pesa hizo kwa benki ya biashara kwa riba ya 9 % maana yake benki inatakiwa kurudisha bilioni mia moja na tisa...
Mwaka 2015 watia nia ya urais kupitia CCM Mwigulu Nchemba na Januari Makamba walikuwa na timu kubwa sana za vijana wa kuwashangilia mitandaoni ili kuuhadaa umma kwamba ni viongozi wanaokubalika sana na jamii na wanafaa kushika madaraka makubwa ya nchi.
Najiuliza leo Mwaka 2022 Makamba na...
Mwenye update za Clara Luvanga atujuze, huyu dada aliwezesha Serengeti Girls kufuzu India World Cup under 17.
Sasa hivi simsikii wala kumwona katika klabu yake ya Yanga Princess, wala sikumwona India na Serengeti Girls.
Tujuzwe, yuko wapi?
Nimeona kuna ligi ya kupambanisha miji humu JF. Leo nimeona nije na hii miji miwili midogo. Karatu iliyoko Kaskazini mwa Tanzania mkoani Arusha na mji wa Mbinga ulioko kusini mkoani Ruvuma. Sehemu zote mbili nimefika na ninazifahamu. Zinafanana sana kifursa.
Wewe mji upi mkubwa na upo na fursa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.