Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,288
- 23,152
Hili limenishtua sana. Morocco ni nchi ya Kiislamu kwa asilimia 99.9 inawezaje ruhusu ulimwaji wa Bhangi kwa kusema ni zao la Biashara? Hapa mbona kama wanatuchanganya?
Afghanistan wale makobaz wa kaptula wao wanalima cocaine kabisa acha bangi.Hili limenishtua sana. Morocco ni nchi ya Kiislamu kwa asilimia 99.9 inawezaje ruhusu ulimwaji wa Bhangi kwa kusema ni zao la Biashara? Hapa mbona kama wanatuchanganya?
View attachment 2379385