wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Black Box ya Precision Air namba PW 494 -5H-PWF iliyopata ajali ipo wapi?

    Salaam, Kwa Pamoja Wakina Majaliwa wote tumewasikia na maelezo yao mmoja akiongelea kuhusu hali ilivyokuwa chini ya maji na Majaliwa Mwingine akielezea hali ya hewa ilivyokuwa mbaya. Tangu Majaliwa aseme Magufuli anachapa kazi wakati alikuwa anaumwa, simuamini tena na sitakuja kumuamini. "Rais...
  2. tpaul

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa kizazi hiki wanakera mpaka basi. Hivi wanaokotwa wapi hawa viumbe?

    Habari wanaJF? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Kwa mujibu wa utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni, usikilizaji wa redio na utazamaji wa TV umepungua sana miongoni mwa wafuatiliaji wa habari. Hili halijatokea kwa bahati mbaya bali ni kwa sababu ya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kamari kila kona ya nchi, Wachina wanapata wapi vibali?

    Hili ni tatizo linalomea matawi, na linatapakaa kila kona ya nchi. Janga la Kamari (Betting). Kila kona ya jiji la Dar-es-Salaam, Mwanza na Arusha, Mashine za kamari zimewekwa. Majuzi kati nilikuwa Shinyanga vijijini, watoto waodogo umri wa shule wamejazana ndani ya kachumba kadogo wanacheza...
  4. Mamaya

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Mabasi Dar Express inakwama wapi?

    Hii kampuni ina jina kubwa kutokana na Ubora wa huduma ambazo iliwahi kuzitoa hapo siku za nyuma ikambatana na kuwa na mabasi mazuri yenye kiwango, ofisi nzuri na wahudumu wanaojali wateja. Kwa sasa sijui ni kitu gani kimewakumba hawa jamaa, kwanza kabisa utunzaji wao wa magari umekuwa ni wa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Najaribu kufikiri kama Albert Einstein angelikuwa hai mpaka leo, elimu ya sayansi kuhusu dunia ingekuwa imefika wapi?

    1. Special theory of relativity 2. General theory of relativity 3. Time dilation 4. Warping of spacetime 5. Spacetime continuum 6. E=mc2 7. Gravity as bending of spacetime 8............................................... Hivi vitu ni vigumu kuvielewa.......
  6. K

    JamiiForums Tanzania Upigaji wa Wachina Katika Mikataba ya SGR Uko Wapi?

    Kipchumba Murkomen kafanya kweli huko Kenya. Sasa watu wanajiuliza, ule upigaji mkubwa uliokuwa ukisemwa kuhusu unyongaji wa mikataba ya kichina upo wapi? Bandari ya Mombasa iliyodaiwa kuwekwa rehani haionekani popote. Na kama kuna chembechembe zozote za upigaji, ni dhahiri kabisa kwamba ni...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kijana aajiriwe sawa, Je, Jeshi la uokozi waende wapi?

    Unajiuliza, huyu kijana anayepewa ajira kwenye Jeshi la wanamaji, Jana asingekuwepo kungetokea nini ili hali jeshi la uokozi lipo tu tangu nchi ipate Uhuru! Kwa nini wasifukuzwe kazi kwanza hao waliokuwepo Jana na kazi ilikuwa ni yao?
  8. P

    JamiiForums Tanzania CCM, mna matatizo ya ubongo.? Miaka miwili kaburini, eti bado anaiba kodi za watanzania

    Kuvaa viatu vya mpambanaji na mtu wa vita, yapaswa na wewe uwe mtu wa vita ikiwezekana Mara mbili yake, kama alikuwa haruhusu sharubu zake ziguswe, kwa wewe iwe marufuku hata kusogelewa tu na kinyamkera chochote, kwani mazoea ni mabaya. Kwa nini imekuwa ni vigumu sana kuondoa umaarufu wa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ile tume iliyoundwa kuchunguza kisa cha moto wa soko la kariakoo ilifikia wapi?

    Siyo mara ya kwanza kuundwa tume ya uchunguzi kufuatia majanga yanayotokea, mbaya sasa hakuna majibu yanayotolewa kama matokeo ya uchunguzi wao. Ni kwamba hatupaswi kujua? Zinaundwa za nini, kujua nini na zinafanya kazi kweli? hatuoni kujifunza kutokana na makosa hivyo inatia wasiwasi juu ya...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wabunge akina Sanga na Shigongo mnapata wapi Jeuri ya Kukemea Ufisadi wakati nanyi mmeingia Bungeni Kifisadi?

    Tena Wewe Sanga ( mwana Simba SC Mwenzangu ) nakujua ndani nje na hata ulivyoupata huo Ubunge wako hivyo nakuonya nyamaza sawa? Na Wewe Shigongo ndiyo kabisa una Dhambi za Kutosha na Madudu ya kila kupitia Kampuni yako ya Global hivyo nawe nakuonya nyamaza sawa? Halafu mlivyonikwaza zaidi...
  11. Poker

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi wala mihogo tunakwama wapi?

    Wakati wenzetu wakiendelea kuchanja mbuga huko kimataifa na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania, sisi wala mihogo kila siku ni visingizio na kutamba kumfunga Simba na unbeaten kwenye ligi ya mchongo. Sisi mashabiki lia lia wa mihogo fc tumechoka hii hali tunataka nasisi tuwe na mafanikio...
  12. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania Hakika niliwakumbuka sana!

    Habari za humu ndugu wana JamiiForums, Ninamshukuru Mungu kwakuwa hadi leo ni mzima, japo hapo siku chache nyuma nilipata ajali mbaya ambapo nilkuwa nikiendesha pikipiki, kwa bahati mbaya niliweza kukutana na lori japo lilinigonga kwa upande wa pembeni. Kikubwa cha kumshukuru Mungu pekee ni...
  13. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kituko: Binti asie na bikra ya kumpa thamani kiroho na kimwili anatoa wapi ujasiri wa kumkatalia mwanaume asijaribu mitambo mpaka waoane?

    Unakutana na binti hata kina single mama hana bikra kashatembea na na wanaume kadhaa ila ajabu ni kwamba anaanza kujiona kwamba yupo sawa na wenye bikra, anamwambia mwanaume hawezi kutoa mzigo mpaka amuoe !!
  14. britanicca

    JamiiForums Tanzania The voice from within aandikayo Pascal Mayala na akataja ka Neno Karma inanifikirisha hapa huyu mtu yuko wapi yapata week kadhaa ni tetesi

    Voice from the voice of within , inanifikirisha Hivi kweli Karma ipo? Na Kama ipo ndo ilimtafuna aliyemtwanga Risasi Antipass? Ndo ilimyoosha alomuua Lodilofa Kwa kisingizio cha mshtuko baada ya mkutano wake wa mabiti nyumba mithiri ya Meli ? Je Karma ndo imemtafuna aliyemuua Ben wa Rabiu...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuvaa jeans na raba Kanisani?

    Habarini. Ni sahihi kuvaa kofia, yaani cap church? wengi tunafahamu kuwa si sawa. Sasa vipi kuvaa jinsi na raba na tisheti church, ni sawa?
  16. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Amonia ya maji jijini Mwanza?

    Heshima kwenu wakuu. Napenda kuuliza, kwa hapa mwanza ni katika maeneo gani na katika maduka ya aina gani (category) naweza kupata ammonia ya maji? Na je bei yake ni kiasi gani? Asanteni sana
  17. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alipowaambia kuhusu makinikia, walimdharau. Yako wapi sasa?

    Jamaa mara baada ya kuwachanachana CCM, saa saba za mchana siku hiyo ya tarehe 7/9/2017 akapigwa risasi mchana kweupe. Mungu Mwenyezi alimnusuru na kifo yu hai leo, bila shaka huyu ndiye Rais ajaye wa Tanganyika. Pamoja na jaribio la serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli kutaka kumuua mkosoaji...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wapi Mzee wa likes mkwepu jr

    huyu mwamba anapenda sana kugonga likes za kutosha humu bila kinyongo, mkuu mkwepu jr hebu gonga like kwanza tuendelee kutambua uwepo wako
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Mwanamke ninayemhitaji kwa sasa. Nitashukuru nikimpata naye atakuja nishukuru baadaye na kujilaumu alikuwa wapi

    Nimeona tu niweke hili wazi kwa moyo mweupe kabisa. Duniani kwa sasa tumekuwa busy sana hatuna tena muda wa kufukuzia mapenzi na kusumbuana mchana na usiku kimapenzi. Mimi siwezi na niseme si mzuri wa kutongoza. Huwa nikimpenda mwanamke namwambia tu kuwa nakupenda naomba tuwe na mahusiano ya...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Miti ya Oak(Mialoni kwa kiswahili) inapatikana wapi kwa Tanzania?

    Habari wakuu. Eti hiyo miti inapatikana Tanzania? Sehemu gani?
Back
Top Bottom